Updated List: Haya ndio makabila yenye wasomi zaidi Tanzania

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
1. Wachaga - Kama kawaida yao sio watu wa kujisifia iwe ni biashara, maendeleo ya vijini kwao, n.k. Kiufupi hawa suala la elimu wapo Mbali tangu enzi za ukoloni, Mkoa wa Kilimanjaro ni mdogo ila ndio unaongoza kwa shule nyingi hasa maeneo ya uchagani, Kitu cha ziada ambacho wengi hawakijui ni kwamba wana mwamko wa shule za kimataifa na hata miji wanayoishi ya Moshi na Arusha kuna shule hizi nyingi kama St Constatine, Braeburn, INternational school of Moshi, Kennedy house, n.k. Kwenye shule hizi watoto utaowakuta kutoka Tz ni wachache ila majority huwa ni wachaga, sio suala la mzazi kuwa na pesa pekee bali na mwamko wa kuwapa watoto elimu ya kimataifa, na hata zile nafasi za udhamini watanzania kusoma bure huwa ni watoto wa kichaga. Ikumbukwe shule hizi ni tofauti kabisa na hizi za Necta, huku ukisoma kuna guarantee kubwa kusoma vyuo bora duniani, Luhgha za wazungu walimu ni wazungu, connections nzito za watoto wa wazito, n.k.

2. Wahaya - Yes, Ni nani asiewajua watu hawa waliowekewa kizuizi na Nyerere kwa alama za kufaulu darasa la saba ? Hawa watu wanaipenda shule jamani, Shida ni kwamba kuna changamoto za kiuchumi mkoani Kagera, wapo wengi wanaotamanigi kuendelea na shule na uwezo upo ila inawalazimu waendelee na maisha mengine, halafu pia wao na makabila mengine wana mwamko mdogo sana na International schools, Mhaya mwenye pesa za kutosha atapeleka mtoto wake Kaizarage ya Bukoba ama saint Francis huko Mbeya yani hana mwamko kabisa kujua kwamba kuna shule International.

3. Wanyakyusa - Ughonile, Nimeishi nao so nawajua vizuri hawa kina Mwakyusa, Mwakatobe, Mwakyembe, Bukuku, n.k., wazazi wa kinyakyusa hasa wamama wanaasa sana watoto wasome, wapo tayari kujinyima kwa lolote mtoto asome shule nzuri, Nakumbuka nikiwa Mbeya mtu anaweza kuresit form 4 hata mara 3 kutafuta credit, hawana jambo dogo kwenye elimu !! kuhusu uwezo darasani wanao wa kawaida ila wapo wachache nishawai kutana nao ni ma genius, Kwa sasa Mbeya ndio mkoa inaoongoza kwa vyuo ukiitoa Dsm, Kuba shule za kiingereza 4 za serikali za msingi, Shule za Sekondari zipo nyingi

4. Wasukuma - wasukuma wapo wengi sana hii nchi ila tatizo maeneo yao mengi hawaipi elimu kipaumbele, mikoa waliyojazana wasukuma kama Simiyu, Geita, Shinyanga, n.k elimu haipewi uzito na shule ni chache, Mwanza ndio inawabeba.... Laiti wasukuma wangejiongeza kielimu lingekuwa ni tishio kubwa sana hapa nchini maana katika kila watanzania sita kuna msukuma moja, Huenda mkoloni hakupeleka elimu usukumani alishaona watadominate sana, na pia licha ya Mwanza kuwa jiji la pili kwa ukubwa Tz hawana chuo kikuu.

5. Wakerewe - wakerewe wapo katika kisiwa kidogo cha Ukerewe, kwa mipaka ya ramani kipo mkoa wa Mwanza lakini kiuhalisia kipo mkoa wa Mara, wakerewe ndio wanaongoza nchi nzima kwa kuwa na maprofesa wengi zaidi wenye phd za kutafuta darasani, Sababu ya kuwa namba tano ni idadi yao (population) kuwa ndogo.

Bonus....

Watu wa Mara - sijajua ni kabila lipi kati ya wajita, wakurya, wajaluo au wazanaki lakini nimesoma vyanzo mbali mbali kwamba mkoa huu ni kinara wa kutoa wasomi wengi, Majimbo kama Musoma vijijini ule mchujo tu wa kupata mbunge wa kupitishwa ni phd tupu.

Makabila mengine ni Wapare, wamasai wa Meru, Wamatengo wa Ruvuma, n.k.
 
Hao ndio waliolifikisha Taifa hapa lilipo kutokana na wizi, hujuma, undugunization, umimi na ulimbikizaji wa mali za umma.

Kwenye nafasi nyeti nyingi zinazosemwa zinahujumu umma utakutana na makabila hayo kwa kiwango kikubwa.

Mungu mrehemu mwl JK popote alipo.
 
1. Wachaga - Kama kawaida yao sio watu wa kujisifia iwe ni biashara, maendeleo ya vijini kwao, n.k. Kiufupi hawa suala la elimu wapo Mbali tangu enzi za ukoloni, Mkoa wa Kilimanjaro ni mdogo ila ndio unaongoza kwa shule nyingi hasa maeneo ya uchagani, Kitu cha ziada ambacho wengi hawakijui ni kwamba wana mwamko wa shule za kimataifa na hata miji wanayoishi ya Moshi na Arusha kuna shule hizi nyingi kama St Constatine, Braeburn, INternational school of Moshi, Kennedy house, n.k. Kwenye shule hizi watoto utaowakuta kutoka Tz ni wachache ila majority huwa ni wachaga kwasababu ya mwamko, sio suala la mzazi kuwa na pesa tu, na hata zile nafasi za udhamini wanazijaza wao, Shule hizi ni tofauti kabisa na hizi za Necta, huku ukisoma kuna guarantee kubwa kusoma vyuo bora duniani, Walimu bora wa kimataifa, connections nzito, n.k.

2. Wahaya - Yes, Ni nani asiewajua watu hawa waliowekewa kizuizi na Nyerere kwa alama za kufaulu darasa la saba ? Hawa watu wanaipenda shule jamani, Shida ni kwamba kuna changamoto za kiuchumi mkoani Kagera, wapo wengi wanaotamanigi kuendelea na shule na uwezo upo ila inawalazimu waendelee na maisha mengine,

3. Wanyakyusa - Ughonile, Nimeishi nao so nawajua vizuri hawa kina Mwakyusa, Mwakatobe, Mwakyembe, Bukuku, n.k., wazazi wa kinyakyusa hasa wamama wanaasa sana watoto wasome, wapo tayari kujinyima kwa lolote mtoto asome shule nzuri, Nakumbuka nikiwa Mbeya mtu anaweza kuresit form 4 hata mara 3 kutafuta credit, hawana jambo dogo kwenye elimu !! kuhusu uwezo darasani wanao wa kawaida ila wapo wachache nishawai kutana nao ni ma genius, Kwa sasa Mbeya ndio mkoa inaoongoza kwa vyuo ukiitoa Dsm, Kuba shule za kiingereza 4 za serikali za msingi, Shule za Sekondari zipo nyingi

4. Wasukuma - Wingi wao unawabeba nao waweze kuonekana, kuna wasukuma almost milioni 20 hapa Tz, Tatizo huko Simiyu, Geita, Shinyanga, n.k shule ni changamoto ila Mwanza wamejitahidi,

5. wajita - Wapo mkoa wa Mara na kisiwa cha Ukerewe, ndio wanaoongoza kwa kuwa na ohd nyingi zaidi Tz, Jimbo kama musoma vijijini huko wagombea wote walikuwa na phd, Ukerewe ndio wilaya inayoongoza kwa phd, wanaosoma wanafika mbali sana ila wanaopata access ya elimu bado wachache.

Bonus....

Wapare, Wamatengo, Wakurya
Eti Wamatengo na Wakurya

Unawaacha wapi Wakerewe, Wamasai, Waha

Hapo ondoa tu makabila ya kiswahili yale ya Ngoma, vigodoro na Mchiriku yaliyopo pwani...ila mengine sikuhizi km yanalingana tu
 
1. Wachaga - Kama kawaida yao sio watu wa kujisifia iwe ni biashara, maendeleo ya vijini kwao, n.k. Kiufupi hawa suala la elimu wapo Mbali tangu enzi za ukoloni, Mkoa wa Kilimanjaro ni mdogo ila ndio unaongoza kwa shule nyingi hasa maeneo ya uchagani, Kitu cha ziada ambacho wengi hawakijui ni kwamba wana mwamko wa shule za kimataifa na hata miji wanayoishi ya Moshi na Arusha kuna shule hizi nyingi kama St Constatine, Braeburn, INternational school of Moshi, Kennedy house, n.k. Kwenye shule hizi watoto utaowakuta kutoka Tz ni wachache ila majority huwa ni wachaga kwasababu ya mwamko, sio suala la mzazi kuwa na pesa tu, na hata zile nafasi za udhamini wanazijaza wao, Shule hizi ni tofauti kabisa na hizi za Necta, huku ukisoma kuna guarantee kubwa kusoma vyuo bora duniani, Walimu bora wa kimataifa, connections nzito, n.k.

2. Wahaya - Yes, Ni nani asiewajua watu hawa waliowekewa kizuizi na Nyerere kwa alama za kufaulu darasa la saba ? Hawa watu wanaipenda shule jamani, Shida ni kwamba kuna changamoto za kiuchumi mkoani Kagera, wapo wengi wanaotamanigi kuendelea na shule na uwezo upo ila inawalazimu waendelee na maisha mengine,

3. Wanyakyusa - Ughonile, Nimeishi nao so nawajua vizuri hawa kina Mwakyusa, Mwakatobe, Mwakyembe, Bukuku, n.k., wazazi wa kinyakyusa hasa wamama wanaasa sana watoto wasome, wapo tayari kujinyima kwa lolote mtoto asome shule nzuri, Nakumbuka nikiwa Mbeya mtu anaweza kuresit form 4 hata mara 3 kutafuta credit, hawana jambo dogo kwenye elimu !! kuhusu uwezo darasani wanao wa kawaida ila wapo wachache nishawai kutana nao ni ma genius, Kwa sasa Mbeya ndio mkoa inaoongoza kwa vyuo ukiitoa Dsm, Kuba shule za kiingereza 4 za serikali za msingi, Shule za Sekondari zipo nyingi

4. Wasukuma - Wingi wao unawabeba nao waweze kuonekana, kuna wasukuma almost milioni 20 hapa Tz, Tatizo huko Simiyu, Geita, Shinyanga, n.k shule ni changamoto ila Mwanza wamejitahidi,

5. wajita - Wapo mkoa wa Mara na kisiwa cha Ukerewe, ndio kabila wanaoongoza kuwa na ohd nyingi zaidi Tz, Jimbo kama musoma vijijini huko ni kawaida wagombea wote kuwakuta wana phd, Ukerewe ndio wilaya inayoongoza kwa phd, hawapo namba moja kwasababu wanaosoma wanafika mbali sana kielimu ila wanaopata access ya elimu bado wachache.

Bonus....

Wapare, Wamatengo, Wakurya
Kuna wasukuma 20m!?..
 
Hao ndio waliolifikisha Taifa hapa lilipo kutokana na wizi, hujuma, undugunization, umimi na ulimbikizaji wa mali za umma.

Kwenye nafasi nyeti nyingi zinazosemwa zinahujumu umma utakutana na makabila hayo kwa kiwango kikubwa.

Mungu mrehemu mwl JK popote alipo.
Muafrika hata aelimike ni ngumu kuwa muadilifu kwenye national resources.

Ndio maana hata majaji wenye elimu wanapokea rushwa huku wakijua kabisa ni kinyume na profession
 
Hao ndio waliolifikisha Taifa hapa lilipo kutokana na wizi, hujuma, undugunization, umimi na ulimbikizaji wa mali za umma.

Kwenye nafasi nyeti nyingi zinazosemwa zinahujumu umma utakutana na makabila hayo kwa kiwango kikubwa.

Mungu mrehemu mwl JK popote alipo.
Ukiona unalisema kabila fulani, jiulize hayo mazuri kabila lako linaweza kiyafanya.

Nyerere utamwona shujaa kwako ndio aliyetuletea CCM amayo imetufikisha hapa tulipo
 
Eti Wamatengo na Wakurya

Unawaacha wapi Wakerewe, Wamasai, Waha

Hapo ondoa tu makabila ya kiswahili yale ya Ngoma, vigodoro na Mchiriku yaliyopo pwani...ila mengine sikuhizi km yanalingana tu
Wandengereko, wazaramo na the like wapo busy kukata mauno na kushikana uchawi
Ajabu...........na ndio yanaongoza kutoa viongozi wakuu wa nchi!
 
Sema bn wachaga wapo smart sana kwenye kubebana unaweza Kuta padre mchaga wa shirika flan akapewa chance ya kusaidia vijana kumi jimboni mwake, akawachukua wachaga wenzake hata ambao hawajui mlango wa kanisa 😄
Ukweli ni kwamba hii keki ya taifa kwa kiasi kikuvwa inatafunwa kikabila, kama kwenu hamna ushirikiano itabidi ujipambanie sana kupata mgao wa keki
 
Eti Wamatengo na Wakurya

Unawaacha wapi Wakerewe, Wamasai, Waha

Hapo ondoa tu makabila ya kiswahili yale ya Ngoma, vigodoro na Mchiriku yaliyopo pwani...ila mengine sikuhizi km yanalingana tu
Wakerewe na wajita wameingiliana sana,

Wamatengo ni jamii ndogo hio ila ndio ya pili kuwa na percent kubwa ya kuelimika kwa mikoa ya kusini nyuma ya Wanyaki.

Wakurya wameelimika hasa hawa wa dsm, wengi wazazi wao wapo majeshini uwezo wa ada upo.

waha bado sana mkuu, labda kwa biashara wapo nyuma ya mkinga
 
16% of the entire tz population, yuko sahihi
Si kweli,pitia sensa ya watu kwenye mikoa ya wasukuma,tufanye wakazi wote humo wasukuma,wanafika 20m!?..20m ni mikoa minne iliyosheheni Kama dar...simiyu,shinyang,geita,mwanza hazifikishi watu 20m
 
Back
Top Bottom