Majina ya hawa wasanii katika nyimbo hii..

Kiminyio 01

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
1,350
1,929
Wakuu kupitia nlivyoandika kuna mwenye idea ya hiyo nyimbo nimeshindwa kuiandika vyema nimeikutia mwishoni,sifahamu hasa namna ya kuiimba

Am so soulaa enheee,shwai issh Manish ndolee,tikiittk mandole tikiitk mandole am so soulaa ehh wishu badnlldole ...
 
😂😂😂😂 wakuu mpo Makin Sana kwa uandishi ule wa Lyric lakin bado wadau wameijua,,mmetisha San wadau
 
Wakuu kupitia nlivyoandika kuna mwenye idea ya hiyo nyimbo nimeshindwa kuiandika vyema nimeikutia mwishoni,sifahamu hasa namna ya kuiimba

Am so soulaa enheee,shwai issh Manish ndolee,tikiittk mandole tikiitk mandole am so soulaa ehh wishu badnlldole ...
Huu wimbo naujua sana, kabla hujapenya kwenye kuta lazima uuimbe ili ukienda kuwanga usinaswe
 
Back
Top Bottom