majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

    Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako. Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Haya ndio Majina maarufu zaidi duniani

    Mohammed - 133,349,300 Maria - 61,134,526 Nushi - 55,898,624 Jose - 29,946,427 Wei - 17,145,807 Ahmed - 14,916,476 Yan - 14,793,356 Ali - 14,763,733 John - 14,323,797 David - 13,429,576 Li - 13,166,162 Abdul - 12,163,978 Ana - 12,091,132 Ying - 12,047,080 Michael - 11,471,765 Juan - 11,372,603...
  3. S

    JamiiForums Tanzania kama kweli kuna watu wamepewa 10%, ni suala la muda tu majina na viwango walivyopewa vitavuja

    Hii ndio imani yangu kwasababu sio kila mtu anapenda dhuluma, unyonyaji na wizi wa kiwango hiki. Isitoshe, wako ambao watakuwa hawajapata mgao na hawa hawatakii kimya. Tusisahau pia vita ya kisiasa baina ya wanasiasa wenyewe wa humu ndani kuelekea 2025, hivyo lazima walipuane na wapinzani ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Pombe huwa haina majina mabaya

    Wanywaji hili mnalifahamu vizuri kuwa pombe hainaga majina mabaya, majina yake ni mazuri mfano; Common, Washington, Kiboko, Mamba. Sasa na wewe kama unafahamu majina mazuri yanayosumbua huko baa share hapa tuzidi kudumisha utamaduni wa Mwaafrika ndugu zangu.
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania OMBI: Tamisemi iweke wazi majina ya vyeti ambayo vimeonekana kuwa vilishatumika katika ajira za serikali, yaani vinatumiwa na mtu zaid ya mmoja!

    Jana wazir kairuki alisema kua, katika mchakato wa maombi ya ajira kuna watu waliwasilisha vyeti ambavyo vilibainika kuwa vimeshatumiwa na watu wengine, wapo kwenye ajira hivyo maombi yao yalifutwa automatic Namuomba waziri kairuki aweke bayana vyeti hivyo ambavyo vimetumika zaidi ya mara moja...
  7. JamiiForums Tanzania Majina ya kificho ya Marais wa Marekani (Code names) na maelezo ya maana yao

    Hapa ni orodha ya majina ya kificho ya Marais wote 45 wa Marekani, pamoja na maelezo ya maana yao: 1. George Washington - 711 - Hii ni nyongeza ya kulingana na nambari ya maduka ya Liquor ya Mount Vernon. 2. John Adams - Calvin - Jina la kificho lililobadilishwa kutoka jina la Adams 'Calvinist...
  8. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Kwa wale walimu na wa afya tukutane hapa uku tukisikilizia PDF soon litashushwa hapa. Iwe tetesi ama laa karibuni wakuu. Nimesikia wiki ijayo linatema hapa pdf mishale ya tarehe 15 hapo June
  9. JamiiForums Tanzania Zijue nchi za Africa na majina yake bandia

    Some AFRICAN Countries and Their Slogans! • South Africa – Rainbow Nation 🇿🇦 • Rwanda – Land of a Thousand Hills🇷🇼 • Madagascar – The Red Island 🇲🇬 • Lesotho – The Kingdom In the Sky 🇱🇸 • Egypt – The Gift of the Nile 🇪🇬 • Burkina Faso – Land of the Upright Men🇧🇫 • Ghana- The gateway to...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanaojiunga na JKT kwa mujibu wa sheria hayafunguki, nisaidieni mwenye llink inayofunguka

    Majina ya waliochaguliwa kujinga na JKT kwa Mujibu wa sheria hayafunguki. Mwenye link inayofunguka anisaidie please
  11. E

    JamiiForums Tanzania UDSM toeni majina ya washindi wa Merit scholarship 2022/2023

    Kama ilivyo kawaida kwa vyuo vingi vya elimu ya juu kutoa ufadhili kwa wahitimu wa ngazi mbalimbali za elimu, chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kina utaratibu wa kutoa ufadhili kwa wanafunzi wa ngazi ya shahada za awali na shahada za uzamili. Katika mwaka wa masomo 2022/2023, dirisha la...
  12. JamiiForums Tanzania Yafahamu majina ya Mungu na maana zake

    YAFAHAMU MAJINA YA MUNGU NA MAANA ZAKE #Adonai ni neno la kiebrania,, kwenye Biblia tunayoyotumia huwez pata ila kwenye biblia ya Kiebrania Ni maneno (majina ya kumuinua au kumsifu Mungu) yako Machache kwenye Biblia Mfano wa majina hayo 👇 Tambua Majina ya Mungu na Maana zake Majina haya yapo...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

    Leo tarehe 20 Mei 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan ataongoza uzinduzi rasmi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa JMT na watumishi wengine watahamia katika Ikulu hiyo. Sherehe hiyo ya kihistoria inatarajiwa kuhudhuriwa na takribani watu 2,500...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Nimekamata Ujumbe Katika Simu ya Mke Wangu Akimtumia Mama Yake Majina ya Wanawake Anaohisi Kuwa ni Michepuko Yangu, Nimeshangaa na Kufadhaika.

    Msaada wenu tafadhali. Amechambua jumbe zangu katika simu yangu, kila jumbe ya kike iliyokuwa tata kidogo kwake amelitafuta jina la namba hiyo na sasa amemtumia mama yake majina yote. Hili nimeligundua leo baada ya kuinasa katika siku yake.....bila shaka alijisahau kuifuta. Majina haya...
  15. JamiiForums Tanzania Watoto wenu acha kuwapa majina ya watu maarufu mnawakosesha bahati zao

    Kuna watoto wanapewa majina ya watu maarufu sijajua wazazi uwaga wanaza nini • Kijijini kwetu hata hapa mjini kuna watu wanatumia majina ya watu maarufu na ni majina yao sahihi waliopewa na wazazi wao. Kwa mfano kuna wanaume wanaitwa .William, Mkapa, Nyerere, Kikwete, Riziwan , Mwinyi...
  16. JamiiForums Tanzania Tatu bora na Tatu chafu za majina ya kike

    Nimekaa nikafikiria hili swala. Kuna majina fulani ya kiislam hayo hata aitwe nani basi utakuta ni binti mwenye tabia nzuri sana. Ila pia kuna yale majina ambayo menyewe tu yanamaanisha fujo, dishi limeyumba, cha wote, pichu mkononi kuendelea... NITAANZA NA TATU BORA 1)AMINA Wanawake wenye hili...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini watu hawawapi watoto wao majina haya?

    Herode Farao Pilato Nebucadreza Etc... Ongezea na wewe majina ambayo watu hawapendi kuwaita watoto wao........ Wasalaam 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  18. JamiiForums Tanzania Virefu vya majina ya wasanii

    VIREFU VYA MAJINA 1. K.R. _ KAKA RASHID 2. J.O.S.E.P.H. - JIFUNZE, ONA, SEMA, ELIMIKA, PITIA, HAMASIKA 3. LANGA - LYRICAL AND NATURALLY GIFTED AFRICAN 4. RAF MC - REALITY AND FEELING MC 5. BINAMU - BILA IMANI NA AKILI MAISHANI UTAFELI 6. MAFIA - MSANII AMBAYE FANI IMELALA ASILIA 7. MAWENGE -...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini ndugu zetu wazaramu wanawapa watoto majina fikirishi?

    Amani iwe nanyi Wakati tunakua, bado Dar es Salaam ilikua na wazaramu wengi na nilibahatika kusoma na watu wenye majina kama SIKITU, SIWATU, SIWAZURI, TABU, MATESO, HAVINITISHI, SIKUDHANI, KIDAWA, CHAUREMBO na majina mengi ya namna hiyo. Sasa, sijui hekima ya wazee wa kizaramo ilikua ina...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kupewa majina ya wapigaji Invoice kutoka USD 37 milioni mpaka USD 86 milioni

    Hizo ni pesa nyingi sana zinaweza kumjengea kila Mtanzania mkazi wa Dar es Salaam nyumba ya vyumba vitatu iweje watu wachache mgawane mgao mkubwa hivyo? Hapa watu wa kuwahusisha ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Waziri wa Fedha pamoja na baadhi ya maofisa wa Ikulu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…