OMBI: Tamisemi iweke wazi majina ya vyeti ambayo vimeonekana kuwa vilishatumika katika ajira za serikali, yaani vinatumiwa na mtu zaid ya mmoja!

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
Jana wazir kairuki alisema kua, katika mchakato wa maombi ya ajira kuna watu waliwasilisha vyeti ambavyo vilibainika kuwa vimeshatumiwa na watu wengine, wapo kwenye ajira hivyo maombi yao yalifutwa automatic

Namuomba waziri kairuki aweke bayana vyeti hivyo ambavyo vimetumika zaidi ya mara moja ili watu tujue,

Isije ikawa mtu unaomba unakosa kila mwaka kumbe cheti chako kuna mtu anakitumia sehemu nyingine pasipo wewe kujua,

nawasilisha
 
Ya ni kweli naunga hoja mkono. Ikiwezekana baada ya kutoka mkeka kama hivi basi hile system ya maombi ya ajira tamisemi ifunguke uko iweke status umekosa kwa sababu kaza wa kaza kuondoa sintofahamu hii unaweza ukawa unasubiri meli stand kumbe Kuna wahuni walishatembea na biti lako
 
Wawe wazi tu. Ikiwezekana waweke orodha ya waliokidhi vigezo ila pakupangiwa hamna, orodha ya waliotuma maombi yakapokelewa ila vigezo wamekosa au Kuna vitu wamekosea. Hii itasaidia kujua pa kuanzia.
 
Jana wazir kairuki alisema kua, katika mchakato wa maombi ya ajira kuna watu waliwasilisha vyeti ambavyo vilibainika kuwa vimeshatumiwa na watu wengine, wapo kwenye ajira hivyo maombi yao yalifutwa automatic

Namuomba waziri kairuki aweke bayana vyeti hivyo ambavyo vimetumika zaidi ya mara moja ili watu tujue,

Isije ikawa mtu unaomba unakosa kila mwaka kumbe cheti chako kuna mtu anakitumia sehemu nyingine pasipo wewe kujua,

nawasilisha
Kuna wale waliajiriwa na kufukuzwa so majina yao yanakuwepo kwenye database ya UTUMISHI wakiingiza majina checknamba inasoma automatically
 
Jana wazir kairuki alisema kua, katika mchakato wa maombi ya ajira kuna watu waliwasilisha vyeti ambavyo vilibainika kuwa vimeshatumiwa na watu wengine, wapo kwenye ajira hivyo maombi yao yalifutwa automatic

Namuomba waziri kairuki aweke bayana vyeti hivyo ambavyo vimetumika zaidi ya mara moja ili watu tujue,

Isije ikawa mtu unaomba unakosa kila mwaka kumbe cheti chako kuna mtu anakitumia sehemu nyingine pasipo wewe kujua,

nawasilisha
Hao Tamisemi hawana lolote hicho ni kisingizio tu na hawawez kufanya hicho unachokishauri maana wanajua hakipo Bali uongo tu.
 
Jana wazir kairuki alisema kua, katika mchakato wa maombi ya ajira kuna watu waliwasilisha vyeti ambavyo vilibainika kuwa vimeshatumiwa na watu wengine, wapo kwenye ajira hivyo maombi yao yalifutwa automatic

Namuomba waziri kairuki aweke bayana vyeti hivyo ambavyo vimetumika zaidi ya mara moja ili watu tujue,

Isije ikawa mtu unaomba unakosa kila mwaka kumbe cheti chako kuna mtu anakitumia sehemu nyingine pasipo wewe kujua,

nawasilisha
Umesema kwel kabisa hao walioajiriwa wafanyiwe verification ili kijulikane nani mwiz wa chet kat yao na sisi
 
Kuna lijanaa liliwahi niambia tuma sasa vyeti vyako vyoye pamoja na lisence kabisa Ili tuhakiki kisha Iwe Rahisi kupata TEMPORARY .
KUNA watu mmeajiriwa ila hamjui hilo.
 
Back
Top Bottom