Tatu bora na Tatu chafu za majina ya kike

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,738
6,802
Nimekaa nikafikiria hili swala. Kuna majina fulani ya kiislam hayo hata aitwe nani basi utakuta ni binti mwenye tabia nzuri sana. Ila pia kuna yale majina ambayo menyewe tu yanamaanisha fujo, dishi limeyumba, cha wote, pichu mkononi kuendelea...

NITAANZA NA TATU BORA
1)AMINA
Wanawake wenye hili jina wengi wao wana tabia na roho nzuri sana. Pia ni waaminifu na wife material.

2)ZAWADI
Aisee sijawahi kuona zawadi mwenye kichwa kibovu, shida wengi wapole kupitiliza na wakishakuamini wamekuamini. Mara nyingi wanatumiwa na kuishia kuwa single mothers

3)MARYAM au MARIAMU
Hawa nao wachache sana kukuta dishi limeyumba.

Sasa tunakuja kwenye tatu za hovyo au tatu chafu.

1)MWAJUMA & MWANNE
Aisee nenda mwananyamala kaulize kuna kina MwaJ au Mwa4 wangapi kwenye vile vijumba vya bao 1 elf 5

2)AISHA.
Sasa hawa mpaka uwe mjanja sana kuona uhuni wao, wengi huwa ni marafiki wa madem zetu, wanapenda sana kuwaita mashemeji wao 'Shem darling'. Ukitupa swagg kidogo yuko radhi kumsaliti rafiki yake. Ukija ukaboronga anakuchomesha kwa dem wako kwamba ulimtaka na yeye. Ma-Aisha wamechangia sana kuvunja mahusiano na mimi nikiwa mmoja wa wahanga.

3)Ngoja nimchokoze Nakadori , ila hii ni category ya wenye vimajina fulani hivi sio vya kikristo wala kiislam lakin kuna muda unawaona na shungi, mara utakuta anaitwa muuu, mara juju, nk nk... wengi kawaida yao dera na pichu bila bra ndo sare yao ya kushindia.

Haya wataalam ongezeeni na nyie tatu bora na tatu chafu zenu
 
😀😀😀😀dah

Nashukuru nilipewaga jina lisilo common
Isije ikawa muuu. Hahahahahahaaa

Sababu nilikua bar kuna kadem kabarmaid juu kembamba keupe halaf kafupi ila kana mzigo hatari na baby face kwa mbali hiv. Sasa nasikia kila wakikaita ni "muu" "muu". Siku moja nikakapa offa nikatoka nako kula mzigo baada ya game nakauliza jina kamili kanasema Muuu, sikuamini nikacheki jina la usajili wa namba ni Muu H.... nikaishiwa pozi kabisa. Ila kale katoto ni kanajua matusi balaa kwenye 6*6
 
Uchokozi usio na tija
 
😀😀😀😀dah ko nimefanana nako
 
Back
Top Bottom