majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanaotuhoji kwanini ' tunaojitambua ' vyema Vichwani tumempenda Rais Samia majibu yao yapo katika hii Nukuu yake...

    " Uwekezaji nchini Tanzania umekuwa ni tatizo na kwakweli mabadiliko makubwa yanahitaji hapa. Makampuni yanafunga, Wafanyabishara wanashindwa kuendelea huku Uchumi wa Tanzania ukiathirika pakubwa, Ajira nyingi Kutoweka, Mzunguko wa Pesa kuwa Mgumu kupelekea Kilio cha kila Siku kwa Wananchi kuwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania TCRA na Waziri Ndugulile, wanyonge mliotuumiza jana tunahitaji tu kupata majibu ya haya maswali yetu

    1. Baada ya Kuamuru jana kuwa Vifurushi vya zamani virejeshwe na viendelee je, ni Saa ngapi hilo litafanyika kwani mpaka sasa bado havijabadilika? 2. Je, wale ambao Jana walinunua Vifurushi vyenu vya Ukatili na Kutukomoa mtawasaidiaje na kuwafidia kutokana na Upuuzi wenu? 3. Ni saa ngapi...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tumemuomba Mungu na kulia sana kwa kuondokewa na Shujaa wetu sasa tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu

    Bado tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu. Tumemwomba Mungu na kulia sana kwa kuondokewa na shujaa wetu sasa tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu. Hakika Mungu amesikia kila kona ya dunia ikiomboleza. Ngoja tusubiri, majibu ya Bwana
  4. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Ni kanda ya Magharibi pekee haijawahi kuwa na kiongozi wa kitaifa - wanasiasa mna majibu? Nielimisheni!

    Wabobezi wa siasa, nijengeeni uwezo! Kanda ya Magharibi - yenye mikoa ya Kigoma na Tabora ndiyo haijawahi kuwa na kiongozi wa kitaifa - nalenga Rais au Makamu wa Rais au Waziri Mkuu. (a). Orodha ya Marais tangu 1961 - 2021 = Mwl Julius K Nyerere (kanda ya ziwa); Mzee Ally Hassan Mwinyi...
  5. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Hoja dhidi ya Hoja: Maswali Sahihi Huleta Majibu Sahihi: Tatizo la Kudhania Kutoonekana kwa Magufuli

    MASWALI YASIYO SAHIHI HULETA MAJIBU YASIYOSAHIHI: TATIZO LA KUDHANIA Na. M. M. Mwanakijiji Katika hoja yangu ya wiki iliyopita nilijikuta nami nimechokosa udhanifu (assumptions) katika kujenga hoja hiyo na hivyo kuingia kwenye mtego wa maswali yasiyo sahihi. Mtu anapouliza kitu anafanya hivyo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hujaajiriwa na mitandao, majibu yao kwako yanadhalilisha nafasi yako ya Uwaziri. Kaa kimya...

    Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua. Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni. Hii Hali...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Majibu niliyopewa Wiki Mbili na Leo pia na Mtabibu wa zamu juu ya Mpwa wangu yamenichanganya naombeni Msaada wa Kuyaelewa tafadhali

    Alilazwa Wiki Mbili zilizopita All - Rounder nikaambiwa kuwa Mpwa wangu HE IS IN COMA hivyo nitulie tu Wahangaike nae waweze kuona kama wataokoa Maisha yake japo Daktari Mmoja aliniuma Sikio na kuniambia nijiandae Kisaikolojia kwa lolote lile. Leo muda mfupi tu nimetoka Kumtizama Mpwa wangu...
  8. Francis12

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

    WAPI ALIPO RAIS WETU? Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimeitaka serikali ya nchi hiyo kujitokeza na kueleza alipo rais John Magufuli na hali magufuli na yuko katika hali gani. Kauli ya Chadema inakuja wakati ambapo kuna siutafahamu juu ya alipo rais Magufuli. Mara ya mwisho...
  9. Just talker

    JamiiForums Tanzania Unafikiri kwanini umeumbwa uishi, lakini badae unatakiwa ufe?

    Unafikiri kwanini umeumbwa uishi, lakini badae unatakiwa ufe. Yaani umezaliwa unaishi lakini piga ua pamoja na mali zako badae unatakiwa ufe. KWANINI ???? Ni KWANINI..... wew haujiulizi sababu. Mimi nakataa kuwa tumeumbwa duniani ili kumtukuza mungu na kumuabudu, kwasababu mungu hana kitu...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ataka Majibu ya uchunguzi wa dawa ya Corona iliyoletwa na Kabudi kwa ndege ya ATCL kutoka Madagascar uwekwe hadharani

    Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na vyombo vya habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama chake huko Kinondoni Nje ya Jiji la Dar es Salaam , ambapo pamoja na mambo mengine aliyozungumza , suala la Ugonjwa wa Corona lilikuwa na sehemu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Rais Magufuli, naomba muulizeni swali hili na awape majibu

    Wadau amani kwenu... Kuna jambo linanitatiza na kunisumbua sana kichwa. Nimedokezwa humu JF kuna watu al-maarufu kama "vipenyo" yaani watu kutoka Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ambao wana access ya kumfikia mzee baba. Ninaomba wanisaidie kumuuliza nini faida na manufaa yaliyopatikana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba majibu ya haya Maswali yangu Mawili tu tafadhali

    1. Je, kati ya Goli alilofunga Balama Mapinduzi dhidi ya Simba SC na alilofunga jana Jose Miqquissone dhidi ya Al Ahly ni lipi ni Tamu na la Kiufundi ambalo hata Benki ya Dunia ikikudai Mkopo wake inaweza Kukusamehe? 2. Je, anayeongoza katika Msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania na Yule anayeongoza...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Je, mamlaka husika zinatoa majibu ya uongo kwa wanaopima Covid 19?

    Hizi tuhuma zimekuwepo kwa muda mrefu kuwa watanzanzania au raia wa nje wanapotaka kwenda nje hutakiwa kupima Covid-19 na kupatiwa cheti kuonyesha kuwa hawana maambukizi. Lakini kumekuwa na na tetezi zinazogaa mitandaoni kuwa mamlaka husika hapa Tanzania hazitoi majibu sahihi. Na mara zote...
  14. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Mdau aliyeuliza tofauti ya Toyota Harrier na Rav 4 Old Models

    Tofauti ya Harrier na Rav 4 Old Model 1. Uundwaji na Moboresho Harrier iliundwa baadae miaka ya 1998 ikadumu mpaka 2002 wakati Rav 4 iliundwa miaka ya 1995 ikadumu mpaka 1999. Hivyo Harrier ilifanyiwa maboresho kwenye upande wa luxury haswa kwenye viti kua na mfumo wa umeme na uchaguzi wa...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), naomba majibu ya maswali haya...

    1. Jamii ya watanzania haipendi kujisomea. 2. Wanafunzi wa Tanzania hasa O level hawawezi kujisomea bila usimamizi wa mwalimu. 3. Familia nyingi Tanzania hazina uwezo wa kuwanunulia watoto vitabu ili wajisomee nyumbani. 4. Shule pia hazina vitabu kabisa vya kutosha. 5. Shule zilifungwa muda...
  16. safuher

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na majibu ya jeuri ama kuyasikia akijibiwa mtu? Let us share

    Binafsi nimewahi kukutana na majibu ya ajabu akijibiwa mtu na mengine nikijibiwa mimi. Leo naomba tushee pamoja baadhi ya hayo na wewe utashea pamoja hapo chini. Kuna siku nilipata kuona sehemu fiulani kwenye foleni jamaa aliibia foleni kwenda mbele basi wadau wakaja juu aaah si ungewahi tokea...
  17. S

    JamiiForums Tanzania WanaCCM hawamuelewi Rais anasema kwenye maono gani, wao ni kupiga makofi tu

    Ilikuwa mnafanya siri na kuudanganya umma leo Mwenyezi Mungu amewaadhiri vibaya sana sana hamna pa kujificha. Tena si kuudanganya umma wa Watanzania bali kuidanganya dunia nzima. Mnacheza na Mwenyezi Mungu atu dua zetu zimekubaliwa. Mmekwiba kura sawa tumepotezea, lakini kumsingizia Mwenyezi...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania China: Kipimo cha corona kupitia haja kubwa kina ufanisi zaidi

    China imeanza kutumia aina mpya ya kuchukua sampuli za kipimo Cha Corona kupitia sehemu ya haja kubwa. Mamlaka zinasema aina hii ya kipimo ni ya kuaminika zaidi na haraka. Kipimo hiki kinahusisha kuingizwa kwa kifaa maalumu chenye pamba kama sentimita 1 ama 2 katika njia ya haja kubwa kisha...
  19. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi yoyote ile ya halali nifanye wakati huo nikisubiri majibu ya kampuni za ulinzi nilizo omba

    Mkuu kampuni gan umeomba Mbona garda ukiomba unaanza mafunzo hapo hapo haina kusubili subili hovyo hovyo
Back
Top Bottom