Naomba majibu ya haya Maswali yangu Mawili tu tafadhali

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
1. Je, kati ya Goli alilofunga Balama Mapinduzi dhidi ya Simba SC na alilofunga jana Jose Miqquissone dhidi ya Al Ahly ni lipi ni Tamu na la Kiufundi ambalo hata Benki ya Dunia ikikudai Mkopo wake inaweza Kukusamehe?

2. Je, anayeongoza katika Msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania na Yule anayeongoza Ligi ya Mabingwa Afrika katika Kundi lake ambalo ni la Kifo pia nani Mwanaume wa Shoka na Mvulana wa Mundu?

Nayasubiri sana majibu yenu Wandugu.
 
Mimi nakujibu swali lako la pili kwanza kumbuka anaeongoza ligi kuu ni sababu moja tu inayomueka pale juu ni kua amecheza mechi nyingi kuliko huyu wa pili hivyo hiyo hampi sifa kuwa anaweza bali ni kazidi mechi za kucheza tu na hakuna lingine.

Huyu anaeongoza kundi la klabu bingwa Africa (kumbuka ni klabu bingwa najua unajua thamani yake tofauti na hiyo ligi kuu Tanzania bara) na kundi lenyewe lina miamba wa soka Africa kama As vita achana na Al Ahly ambae ni wa tatu duniani huku akiwa wa kwanza Africa, hivyo kuongoza kundi kama hili na huku mkiwa mmecheza mechi sawa (kumbuka hakuna aliezidi mechi) inatakiwa uwe kidume kweli kweli, dume la mbegu.

Asante
 
Muuliza maswali tayari una majibu halafu unauliza.Huna tofauti na anaeuliza rais wa Kwanza wa Tanzania anaitwa Nyere..(A) Idd Amin (B) re (C) Museveni
 
1. Je, kati ya Goli alilofunga Balama Mapinduzi dhidi ya Simba SC na alilofunga jana Jose Miqquissone dhidi ya Al Ahly ni lipi ni Tamu na la Kiufundi ambalo hata Benki ya Dunia ikikudai Mkopo wake inaweza Kukusamehe?

2. Je, anayeongoza katika Msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania na Yule anayeongoza Ligi ya Mabingwa Afrika katika Kundi lake ambalo ni la Kifo pia nani Mwanaume wa Shoka na Mvulana wa Mundu?

Nayasubiri sana majibu yenu Wandugu.
Acha kufananisha Goli bora kutoka kwa mchezaji Bora Louis Miqussoine against vigoli vya ajabu ajabu vya kubahatisha.

Halafu sababu ya Yanga anaongoza ligi ni moja tu, Simba ana majukumu mengine ya kimataifa.

Yaan Yanga anaongoza ligi yenye Mwadui, Ihefu, Prison, Police ndani wakati Simba anaongoza ligi yenye Al Ahly, Zamalekh, Esperance, TP Mazembe, Wydad Casablanca, Mamelod, etc ndani, unalinganishaje hapo bro?

IMG-20210224-WA0007.jpg
 
1. Je, kati ya Goli alilofunga Balama Mapinduzi dhidi ya Simba SC na alilofunga jana Jose Miqquissone dhidi ya Al Ahly ni lipi ni Tamu na la Kiufundi ambalo hata Benki ya Dunia ikikudai Mkopo wake inaweza Kukusamehe?

2. Je, anayeongoza katika Msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania na Yule anayeongoza Ligi ya Mabingwa Afrika katika Kundi lake ambalo ni la Kifo pia nani Mwanaume wa Shoka na Mvulana wa Mundu?

Nayasubiri sana majibu yenu Wandugu.
Ina maana jina la Gentamycin ndo hutolitumia tena? Kwa nini ulibadilisha jina ila ukaacha ubongo ule ule?
 
Mimi nakujibu swali lako la pili kwanza kumbuka anaeongoza ligi kuu ni sababu moja tu inayomueka pale juu ni kua amecheza mechi nyingi kuliko huyu wa pili hivyo hiyo hampi sifa kuwa anaweza bali ni kazidi mechi za kucheza tu na hakuna lingine.

Huyu anaeongoza kundi la klabu bingwa Africa (kumbuka ni klabu bingwa najua unajua thamani yake tofauti na hiyo ligi kuu Tanzania bara) na kundi lenyewe lina miamba wa soka Africa kama As vita achana na Al Ahly ambae ni wa tatu duniani huku akiwa wa kwanza Africa, hivyo kuongoza kundi kama hili na huku mkiwa mmecheza mechi sawa (kumbuka hakuna aliezidi mechi) inatakiwa uwe kidume kweli kweli, dume la mbegu.

Asante
Endi ze uzi iz clozd hiya
 
1. Je, kati ya Goli alilofunga Balama Mapinduzi dhidi ya Simba SC na alilofunga jana Jose Miqquissone dhidi ya Al Ahly ni lipi ni Tamu na la Kiufundi ambalo hata Benki ya Dunia ikikudai Mkopo wake inaweza Kukusamehe?

2. Je, anayeongoza katika Msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania na Yule anayeongoza Ligi ya Mabingwa Afrika katika Kundi lake ambalo ni la Kifo pia nani Mwanaume wa Shoka na Mvulana wa Mundu?

Nayasubiri sana majibu yenu Wandugu.
Ugonjwa wetu wa Simba na yanga kila mahali unalazimishwa

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Lile goli la Balama Mapinduzi lilikua ni goli la hatari sana! Liliwavuruga kabisa mbumbumbu fc kiasi cha kupoteana uwanjani! Apone haraka majeraha yake huyu kiumbe aisee!
 
Kama una akili zako timamu na IQ iliyokwenda shule uwezi linganisha ile bunduki ya mapinduzi balama na ule ushuzi wa konde boy. Manura mwenyewe anakili kua lile goli ni balaa magoli kama hayo alizoea kuyaona kwenye ligi za ulaya
Waarabu wanaijua Dar es salam young African vizuri ndio sababu kocha wao alisema timu iliyowafunga anasikia inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi hivyo akasema timu inayoongoza ligi itakua ni bora zaidi ya timu waliocheza nayo
 
Back
Top Bottom