majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Asiyetaka tozo ya kizalendo atupe njia mbadala ya kupata fedha

    Spika Ndugai amesema wabunge wameshapitisha tozo ya kizalendo kwenye miamala ya simu na sasa ni sheria hivyo asiyeitaka atupe njia mbadala ya kutufikisha 2025 Roho wa Bwana akamshukia mtumishi wake Jerry Slaa mbunge wa Ukonga naye akajibu; Wabunge tuanze kulipa kodi. Labda kama Spika ana swali...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama tunachelewa kuja na Majibu ya 'Tozo Umiza Komoa' kwanini hatukuchelewa pia Kuamua ianze Kutekelezeka ili tuitathmini zaidi?

    Na mlichosahau tu ni kwamba Watanzania wa leo si tu kuwa Wamesoma ( Wameelimika ) bali pia ni Werevu ( wana Akili ) mno ya Kuchakata, Kudadavua na Kupapambua Masuala ( Issues ) tena huenda kuliko walioko Ukumbini Dodoma achilia mbali na Yule mwenye Makazi yake Feri Magogoni na Chamwino. Nasikia...
  3. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Nimekwenda DAWASCO Kimara, majibu nimepewa hadi nimemkumbuka mwenda zake

    Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee, huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka. Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee, may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late.
  5. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani ya kumuuliza Mwanamke ambayo yanaweza kukupa majibu hapa napendwa au natumika?

    Wakuu katika mahusiano kuna wakati kama mwanaume inabidi ujitafakari katika mahusiano ujue kama unapedwa kweli au unatumikaa ktk hayo mahusiano Sometime unaweza ukawa unajiuliza hivi hapa napedwa kweli au nalazimisha maana kama mimi niko na mpenzi ila Sijui kama napedwa au nalazimia mfano...
  6. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania MAJIBU: Niagize Nissan Murano, Dualis au Xtrail?

    NICHUKUE IPI KATI YA NISSAN MURANO, DUALIS NA XTRAIL? Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari 1. Nissan Murano Injini bora ya hii ni ile yenye Cc 2500 inayokadiriwa kwenda Km 10.6/L. Katika safari ndefu hii inasifika kufanya vizuri zaidi ya hizo nyingine sababu ina uzito mkubwa wa tani...
  7. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Najiuliza maswali sipati majibu!

    Kila nikimuona huyu mtu najiuliza maswali sipati majibu. Nilianza kumuona siku za mwisho za Hayati akiwa na bango kama hilo likimsifia Hayati. Sasa hivi namuona na bango la Mama.
  8. msovero

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu: serikali ije na majibu ya kueleweka juu ya walimu wangapi wa shahada 'degree' iliowaajiri

    Miongoni mwa mambo yanayotakiwa kutupiwa jicho ni ubaguzi uliopo kwenye utoaji wa ajira kwa kada mbali mbali ikiwemo ualimu Serikali ya awamu ya tano chini ya utawala wa hayati Magufuli imekuwa ikitoa ajira za ualimu kwa upendeleo na ubaguzi bila kuzingatia usawa na elimu za waombaji...
  9. mussa m roman

    JamiiForums Tanzania Admission 2021/2022: Majibu yanaweza kutoka mwezi wa ngapi?

    Habari, Naombeni kufaham kutokana na uzoefu wenu, Kwa tulioomba vyuo vya afya 2021/2022 kupitia website ya NACTE majibu yanaweza kutoka mwezi wa ngapi?
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watoto waliozaliwa Awamu za Kikwete na Magufuli wana Majibu ya Kukusababishia ukaishi Gerezani Segerea milele?

    Mtoto unamuhangaikia Kumsomesha Usiku na Mchana halafu unamuuliza unataka kuwa nani baadae anakujibu anataka kuwa Mpiga Debe Msamvu Bus Terminal. Huyu huyu Mtoto ukipiga na ukamvunja vunja na Kumuharibu kwa Hasira Serikali ya Mama Samia haitakuelewa na labda hata Kukusamehe isikushtaki? Halafu...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tunataka majibu: Ni nani aliyemtishia Nape Nnauye kwa Bastola?

    Mnamo tarehe 23 mwaka 2017 Mbunge wa Mtama Ndugu Nape Nnauye alitishiwa bastola hadharani na mtu asiyejulikana. MARCH 23, 2017, Rais John Magufulli aimteua Harrison Mwakyembe, aliyekuwa Waziri wa Sheria na Masuala ya Katiba, kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Sanaa na Michezo, nafasi iliyokuwa...
  12. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makamu wa Rais Riadha Tanzania John Bayo kuhusu Vyeti, BMT wakosa majibu

    Olympic Games ni mchezo unaotazamwa na kufuatiliwa na watu wengi zaidi duniani (zaidi ya bilioni 4), wenye mamlaka na madaraka ya kimichezo wanapokataa kutoa majibu marahisi wasitegemee medali za Tokyo Olympics. Huu ni mwaka muhimu wa Olimpiki, BMT na Wizara ya Michezo wanapaswa kutatua kero...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Asante Profesa Ndalichako kwa majibu yako kwa Erick Shigongo

    Habari wakuu, Natumaini kila mmoja anaendelea vyema. Leo nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni. Pia nina uhakika wa uhuru baada ya kutoa maoni kwa sababu huu uzi haugusi mamlaka za kidola bali viongozi wachache wanaopotosha umma. Jana nilitazama video iliyokuwa...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Michango ya Wabunge, maswali na majibu ya Mawaziri ubora wake uko chini kabisa

    Sielewi ni kwa sababu gani hali iko hivi, lakini ni wazi kwamba ubora wa walioko mjengoni uko chini. Watu wanashindwa hata kuunda maswali yanayostahili kuulizwa bungeni. Maswali mengi ni ya kuulizia miradi ya shule, urefu wa barabara, visima vya maji, n.k. vya kiwango cha wilaya na majimbo...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoweza kusababisha mahari ya unayemuoa kuwa juu

    MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MAHARI KUWA KUBWA Na, Robert Heriel Baada ya huyu msanii Kudai kuwa mahari yake ni zaidi ya 500Mil(Milioni Mia tano) kwa anayetaka kumuoa. Nimeona tujadili kidogo kuhusu suala la mahari Mahari ni zawadi itolewayo wakati wa kuposa au kuposwa kwa lengo la shukrani...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Wanawake hebu nipeni majibu...

    .
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Maswali ya Muungano yanayokosa majibu ya kweli kwa vijana

    Maswali ya Muungano ambayo vijana wetu wa sasa wanakosa majibu yanayowatosheleza kutoka kwa wazazi wao ni haya: 1. Kwanini Tanganyika haipo lakini Zanzibar ipo? 2. Kwanini kuna Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar lakini hakuna Rais wa Tanganyika? 3. Kwanini Zanzibar wana ligi yao na hawamo...
  18. TUJITEGEMEE

    JamiiForums Tanzania Naomba Majibu Tafadhali: 'Mfumo imara' ni nini?

    Siku kadhaa na hasa miaka kadhaa iliyopita, nilianza kusikia habari za 'mfumo imara' kuwa ndiyo unaofaa zaidi kuliko 'kiongozi imara'. Mwanzoni sikutilia maanani. Lakini, siku za hivi karibuni hili fungu la maneno la 'mfumo imara' limejizolea sifa ya kutajwa mara kwa mara kwenye mitandao mingi...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbogwe amtaka Naibu Waziri wa Maji kuacha majibu ya kwenye makaratasi, ahoji vilipo visima 26 alivyotaja

    Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amemtaka Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi kutofuata mambo ya kwenye makaratasi, na kufuatana naye ili akamuoneshe visima 26 ambavyo amesema vipo. Katika swali lake, Mbunge huyo alihoji Serikali ina mpango gani wa kupeleka maji ya Ziwa...
  20. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania msipotoshwe na hoja za kiukaguzi (Audit queries) maana sio hitimisho kuwa ni ufisadi, zikipatiwa majibu ukweli hujulikana

    Huu ni utaratibu wa kawaida katika kufanya ukaguzi wa matumizi, au taratibu za ujenzi. Kwamba mkaguzi ataibua hoja ya kuwa na wasiwasi juu ya anachokagua pale panapotokea kuwa hakuna vielelezo vya kile anachohoji ili kuthibitisha. Hivyo baada ya kuibua hoja hizo majibu ya uhakika huwa...
Back
Top Bottom