maji

  1. JamiiForums Tanzania Wizara yatimua mkandarasi mradi wa maji Nyang’hwale

    Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Anthony Sanga amesitisha mkataba na mkandarasi Kampuni ya PET Cooperation Ltd na Al Baruwani Investment Ltd kwa kuwa ameshindwa kukamilisha kwa wakati Mradi wa Maji wa Nyamtukuza wilayani Nyang’hwale mkoani Geita. Msimamizi wa mradi huo, Meneja wa Wakala ya Majisafi...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania iwe upande gani Kama Ethiopia na Misri zinapigania maji ya mto Nile?

    Ethiopia Ni chanzo kikuu Cha maji ya mto Nile, pamoja na Uganda na Tanzania kwa kiasi fulani. Misri na Sudan Ni nchi ambazo zinategemea maji ya mto Nile kwa kunywa, matumizi ya nyumbani, kilimo, ufugaji na viwanda. Vita kamili inanukia Kati ya Ethiopia na Misri kupigana kwaajili ya matuzi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wadau, naombeni kujua hasara na faida za "ingredients" zilizopo kwenye maji

    Wadau natakunguliza shukrani kwenu kwa majibu ntakayopata naamini ntakuwa nimejifunza jambo, mfano; TDS 40, CALCIUM 4, MAGNESIUM 12, SULPHATE, CLORIDE na nyinginezo. Naomba kujua kwanini zipo zinawekwa kwenye maji, na zina faida au hasara gani? na zinatengenezwa na nini? Kwenye chupa za maji...
  4. JamiiForums Tanzania Maajabu ya jimbo la Kawe: Halina propoganda za kuletewa Maji, Barabara wala Umeme; akili tu ya mtu wa kujenga Taifa

    Wana JF, Jimbo la Kawe ni jimbo lililosheheni viongozi wengi vichwa, mpaka sasa kuna Mawaziri wakuu wastaafu watatu, makatibu wakuu karibu wote. Jimbo hili linataka mtu kichwa tu, si kwa kuwa na hela nyingi eti utafanya kampaini, la hasha. Lenye vituo vya mafuta, lina migogoro ya ardhi tu...
  5. JamiiForums Tanzania Wanasiasa Maji Moto huu ndio mwaka wenu

    WANASIASA MAJI MOTO NDIO TUNAWATAKA, MAJI BARIDI WAPUMZIKE TU Na, Robert Heriel Watanzania tumeshachoka na wanasiasa maji baridi, tunahitaji mabadiliko makubwa kwa wale wanaotuwakilisha. Mwanasiasa akiwa zii hata anaowaongoza huwa zii! Mwanasiasa akiwa kapooza hata wananchi wake huwa mapooza...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ya Tanzania ichimbe mafuta yake kabla teknolojia ya kutumia maji, solar na gesi kweye magari hazijafika

    Nina hofu kuwa mafuta yatashuka thamani siku si nyingi hivyo tungechangamka kuchimba mafuta yanayosemekana yamegunduliwa katika bahari ya Hindi. Mfano baadhi ya nchi jirani wameanza kutumia gesi katika magari yao hivyo ni hatari kwa solo la mafuta. Uganda wanaanza kuchimba siku si nyingi japo...
  7. JamiiForums Tanzania Mashimo ya choo ya kisasa yasiojaa maji, njoo nikujuze

    Kwa lugha ya kitaalam tuayaita septic tank,. Huu mfumo hujumuisha septic tank na soakaway pit, hii septic tank ina sehemu ya kutolea maji ambapo yanakwenda moja kwa moja hadi kwenye soakway pit, kazi ya soakway pit ni kuyafyonza,kuyanyonya ua kuyanywa haya maji.. kinachofanyika kweye soakway pit...
  8. JamiiForums Tanzania Dagaa wa maji chumvi kutoka tanga

    Kwa jina naitwa Francis maimu napatikana mkoani tanga,ni muzajii wa dagaa wabichi na wakavu wanaovuliwa kwenye bahari ya hindi Tunauza kuanzi kilo hadi guni la kilo 100 kwa bei ya jumla ambayo ni shilingi 6500 Napatikana kwa mawasiliano no 0672844844 NIPE DILI
  9. JamiiForums Tanzania Ufaransa yaikopesha Tanzania zaidi ya Tsh. bilioni 500 kwa miradi ya REA na maji Mwanza

    Leo Bwana Dotto James kapokea mkopo mpya wa zaidi ya shilingi bilioni 500 toka ufaransa kwa ajili ya miradi ya umeme wa REA na miradi ya maji jijini Mwanza. Chanzo: RFA habari === Ufaransa yaipa Tanzania bil. 600/- za miradi mitatu SERIKALI ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD)...
  10. J

    JamiiForums Tanzania DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

    Mambo ni moto Mtela (katikati) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe RAIS MAGUFULI AMTENGUA KATIBU TAWALA WILAYA YA KISARAWE Rais wa John Pombe Magufuli, amemtengua Katibu Tawala wa Kisarawe, Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi, aliyekuwa Afisa Tawala wa Wilaya kuchukua nafasi...
  11. JamiiForums Tanzania Rais amefanya ziara Kisarawe na kuzindua Mradi mkubwa wa Maji Wilayani humo

    Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Leo Atafanya Ziara Wilayani Kisarawe Kuzindua Mradi Mkubwa Wa Maji. Ambao Utawanufaisha Wakazi Wa Kisarawe Hadi Maeneo Ya Ukonga, Pugu Bila Shaka Tutaaambiwa Mapya Mengi Kuhusu Maendeleo Ya Nchi Yetu. Pia Wakazi Wa Pembezoni Mwa Barabara Atakayopita...
  12. JamiiForums Tanzania Utofauti wa mita za maji

    Poleni na majukumu. jamani anaeweza kuniambia u tofauti kati ya mita ya biashara na ya nyumbani ya maji kwenye upande wa malipo wa uniti za maji.au hamna utofauti . Natanguliza shukrani
  13. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Maji kutoka Ziwa Victoria mpaka Dodoma

    Katibu Mkuu Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo amesema Wizara hiyo inatarajia kufanya utafiti mkubwa na usanifu wa mradi mkubwa wa maji wa kuchukua maji kutoka Ziwa Victoria kupeleka Mkoani Dodoma kwa kupitia Mkoani Singida katika mwaka wa fedha wa 2020/2021>>”hii itaondoa kabisa shida ya maji...
  14. JamiiForums Tanzania Tatizo la maji Tanga mjini

    Heshima kwenu wote. Sisi wakazi wa kata ya Pongwe jijini Tanga yapata siku 10 sasa hatupati maji kabisa hasa katika maeneo ya Pongwe kusini (Sanawari) maji hayatoki hata tone moja.Hatujapata taarifa yeyote kuhusu tatizo la maji kama hapo nyuma ilivyokuwa na matengenezo nk Tumeenda kwenye ofisi...
  15. JamiiForums Tanzania Kutoka Kibamba - Dar es Salaam: Tanki la lita milioni 10 za maji limekamilika

    Uongozi wa Magufuli ni wa vitendo vinavyoweka alama
  16. JamiiForums Tanzania Emergency: Mgonjwa aanze kuongezewa damu au maji?

    Ikitokea hivyo na wewe ni mtoa huduma ya kwanza; ya pili au ya mwisho? Mtu kapungukiwa maji na damu.
  17. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu majoka makubwa yapandishwayo angani kutoka kwenye maji

    Majoka hayo hupandishwa kutoka kwenye maji iwe ya bahari, ziwa au mito na huonekana yamefungwa minyororo mikubwa sana inayopitiliza kwenye mawingu. Ni matukio nadra lakini huweza kushuhudiwa hasa na watu wa mahali fulani. Vimbunga vya kwenye maji vinajulikana na wala mtu hawezi kuvichanganya na...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kuondoa trafiki wenye vitambi barabarani ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu; Haiwezekani bila kubadili mfumo

    Nitaeleza kwa kifupi Sana! Maana nafahamu watu wengi wanapenda mijadala ya pombe na umbea kuliko kuchangia mijadala ya haki na katiba! JE; KITAMBI NI KOSA LA ASKARI AU LA MFUMO WA KAZI? Watu wengi huwa wanashabikia mambo bila kuangalia kanuni za kazi zikoje!? kazi ya Utrafiki siyo nyepesi Kama...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya CCM miradi ya watu kama maji mpaka wakope ndio itekelezwe? Lakini majengo hutolewa taslimu?

    Serikali ya ccm sijaelewa njiani hugawa cash sana kuliko kuzingatia bajeti iliyopangwa katika eneo husika na siku hizi anatembea nazo hasa kwe ye nyumba za ibada na kugawa maburungutu na haijulikani zinatoka wapi. Katika maongezi na Waziri Mkuu wa India nimegundua kuwa miradi ya maki ya nchi...
  20. JamiiForums Tanzania Majibu gani ya kukera umewahi kukutana nayo katika kutongoza?

    Samtaimz Katika harakati za kusaka vipochi manyoya huwa tunakutana na miiba, ingawaje baadhi yao mwisho wake huwa tunafanikiwa lakini mwanzo unakuwa mgumu. Sitosahau siku moja nilipomtongoza mwanamke mmoja (LIVE) mbele ya macho yake. Jibu alilonipa mpaka mzee mwenyewe akalala. "Kalale kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…