maji

  1. JamiiForums Tanzania KERO DAWASA, Maji yana viambatanisho gani?

    Habari, Kwa takribani miezi miwili kwa vipindi tofauti tofauti maji ya DAWASA upande wa Mbezi Beach yamekuwa yakitoka na rangu nyeusi au yawe machafu ambapo ukikinga kwenye ndoo au tank baada ya muda kuna mchanga/ udongo “una-Settle” kwa chini kwa chombo ulichokikingia. Mbali na hayo mimi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maji ya Kilimanjaro hayana ladha tuliyoizoea, wajitafakari

    Maji ya Kilimanjaro hayana tena ile taste (ladha) ya miaka 10 iliyopita, mengi ni ya ladha ya chumvi.... Kampuni ya Kilimanjaro waonye waache uzembe... Hali kadhalika Kampuni ya Sequa maji yao ni muda mrefu wadau kadhaa wamekuwa wakiyalalamikia yananuka harufu ya udongo, kampuni hiyo ipo mkuu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Je, maji ya mvua huwa yanaweza kuharibika muda mfupi baada ya kukingwa kutokana na bakteria

    Wakuu Nimekuwa nikikutana na madai kwamba maji ya mvua huwa yanaharibika baada ya kuchotwa. Naomba kufahamu ni kwa nini maji ya mvua huwa yanaharibika baada ya siku kadhaa baada ya kukingwa,na pia huku mitaani kwetu tunayawekea chumvi kidogo kwa iman kuwa hayata haribika,je ni kweli chumvi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu maji aitaka Dawasa kufunga mkanda mapambano upotevu wa maji

    Baraza kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) limekutana kujadili na kuweka mwelekeo wa vipaumbele vya Mamlaka kuelekea mwaka wa fedha 2026/2027, likilenga kuimarisha utoaji wa huduma ya majisafi na salama kwa wananchi. Akizungumza katik kikao...
  5. JamiiForums Tanzania Ujenzi: Kuzuia maji katika jengo

    SEHEMU YA PILI Namna ya kuzuia maji katika jengo 1.Mfumo wa kuchepusha maji mbali na jengo 2.Uwepo wa gutter 3.Matilio zenye kuzuia maji 1.MFUMO WA KUCHEPUSHA MAJI KATIKA KIWANJA Njia hii inatakiwa kutumika katika kukabiliana na maji yanayogusa sehemu za chini katika jengo lako,sehemu hizo ni...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Changamoto Ya Maji maeneo ya Ubungo Msewe na Kimara Baruti

    Kwa kipindi cha Wiki 3 sasa Kumekuwa hatupati Huduma ya maji tulipiga simu kwa Dawasa namba ya huduma kwa wateja wanapokea na kusema watatuma mafundi imeishia hapo tukimpigia Meneja amekuwa hapokei simu, pia hakuna taharifa zozote. Pia soma ~ DAWASA: Pampu 8 zenye uwezo wa kuzalisha Lita 1,500...
  7. JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO DAWASA hawafungui maji Kimara mpaka tuwapost JF?

    Nimekua nikileta kero ya DAWASCO hapa mitaa ya Kimara Suka kutokupata Maji sawa wiki hii sijapost kabisa na hawajafungua. Sasa hawa jamaa watakuwa wanafanya haya mpaka LINI ? Kimara imewakosea? Pia soma ~ DAWASSA: Kimara Stop Over wameanza kupata maji baada ya maboresho ya miundombinu
  8. JamiiForums Tanzania RUWASA: Kata ya Nyaishozi na Kitongoji cha Akajiji (Kagera) wanapata maji, pampu ilikatika, imerekebishwa

    Kaimu Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Wilaya ya Karagwe, Eng. Justo Mtabuzi amesema Kata ya Nyaishozi ina Vijiji vitatu ambavyo ni Nyaishozi, Lukale na Nyakayanja, miradi hii ipo chini ya Chombo cha Utoaji Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii kiitwacho LUNYANYABIRWA...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Magomeni mitaa ya Mwinyimkuu, Mpanda, Takadiri, Mbegani na Ziota tuna shida ya maji ni miezi saba

    Magomeni mitaa ya Mwinyimkuu, Mpanda, Takadiri, Mbegani na Ziota tuna shida ya maji ni miezi saba tunaambiwa kuna mabomba yanatakiwa kubadilishwa lakini ni hadithi. Imagine tuko magomeni kwenye eneo la ofisi usika lakini maji ni mtihani, je hii ni haki hatupati huduma ya maji?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Salvator: Chanzo cha maji mradi wa Irujamate ulizunduliwa 2016 miaka 17 leo maji hayafika vijiji vya jirani, hii siyo haki

    Akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma leo Aprili 14, 2026, Mbunge wa Misungwi mkoani Mwanza, Silvery Salvator amerejelea kuhusu hotuba ya Waziri Mkuu kuhusu kusambaza maji vijijini kwenye vijiji 225 ambapo shilingi bilioni 449 zitatumika lakini katika Jimbo la Misungwi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Afya za Wananchi Kata Nyaishozi-Karagwe zipo hatarini, wanatumia maji ya madimbwi

    Wananchi wa vitongoji vya Kikungili, Omukajiji, Rushanje na Rwandalo Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe mkoani Kagera, tunakabiliwa wanalazimika kutumia maji yasiyo safi na salama kutoka kwenye madimbwi kwa matumizi ya nyumbani, kufuatia kuharibika kwa kisima walichokuwa wakikitumia takribani...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi anayejenga Barabara ya Mwenge - Tegeta ajitahidi kumwaga maji. Atatuua kwa vumbi

    Hebu Tusaidie kupaza sauti Mkandarasi anayejenga Barabara kutoka Mwenge Mpaka Tegeta a jitahidi kumwaga maji atatuua kwa vumbi.
  13. JamiiForums Tanzania Dagaa wanaochakatwa kwa kuchemshwa, virutubishi vingi vinapotelea kwenye maji

    Wanajamvi. Ninaishi kisiwa cha Mafia, mojawapo ya sehemu dagaa uono almaarufu dagaa wa nyama wanakopatikana kwa wingi. Katika usindikaji wa dagaa ili kuongeza muda wa kuhifadhi (shelf life), wachakataji huchemsha dagaa kwa chumvi nyingi ili wadumu muda mrefu bila kuharibika hadi kumfikia mlaji...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matosa - Goba (Dar) eneo la Shule ya Msingi More Light hakuna maji mwezi mmoja sasa

    Wakazi wa Matosa - Goba DSM, hususan eneo la Shule ya Msingi More Light, tumekumbwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Kila tunapouliza, tunaelezwa kuwa bomba linaloleta maji kutoka Uzalamoni limeharibika, hata hivyo, inashangaza kuona kuwa bomba hilohilo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Wajaziwa maji kwenye magari badala ya mafuta

    Baadhi ya watu wamedai kujaziwa mafuta kwenye magari yao ambayo yana maji kwenye kituo cha mafuta cha Total energies Shinyanga na walipomfuata meneja wa kituo hakuwapa majibu mazuri, Hata hivyo, jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga limesema kuwa wanafanya uchunguzi ambapo watawashirikisha EWURA na...
  16. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Wamiliki wa magari wadai kujaziwa maji badala ya mafuta kwenye kituo cha TotalEnergies

    Hii imetokea Huko shinyanga baada ya wamiliki wa magari kulalamika kujaziwa maji badala ya mafuta. Kama ingekuwa nje ya Tanzania Leo hii kampuni ingefilisiwa Kwa kitendo hiki cha hovyo na kama ni uzembe umefanyika kwenye kuhifadhi matenki ya mafuta basi huu ni uuwaji kabisaa!! Total energies...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada Wauzaji wa Pump za maji za Hydram

    Habari ndugu wana JF Naombeni msaada wa kujua muuzaji wa hizi pump kwa hapa Tanzania. Nimejaribu kusearch online sijapata muuzaji kwa hapa Tanzania. Mwenye kujua naombeni msaada wa maelekezo.
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Wenye visima wanaosambaza maji kwa wengine wanapaswa kushitakiwa

  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tulioomba kuunganishiwa Maji Moshono Arusha tunazungushwa, AUWSA wanadai hawana Mita

    “UKOSEKANAJI WA METER ZA MAJI ARUSHA”. Tumekuwa tunapitia changamoto kubwa ya kuunganishiwa huduma ya maji Arusha kwa kisingizio kutoka AUWSA kwamba hakuna meter. Baadhi ya Wakazi wa Moshono, Kata ambayo ipo hapahapa Arusha Mjini tumefanya malipo tangu January lakini hakuna Meter na hili...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mbezi Luis kuna shida ya maji unaenda mwezi sasa

    Wakazi wa Mbezi Luis kuna shida ya maji unaenda mwezi huu sasa, ukipiga simu kwa Wateja wanakuuliza maswali wanachukua na account number wanasema wanafanyia kazi ila hakuna chochote kinachofanyika na mwisho wa mwezi wanatuma bili kama kawaida.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…