Kongamano kubwa la PPP na Wizara ya Maji | Fuatilia ujue kwanini soon shida ya maji nchini itabaki historia

Kongamano kubwa la PPP na Wizara ya Maji | Fuatilia ujue kwanini soon shida ya maji nchini itabaki historia

Hazijaanza leo hizo ngonjera mkuu! 😁
Walishindwa akina Mwandosya, wasomi na mawaziri wa maji, wataweza hao wachumia tumbo wenye vipara! 😁
Lakini shida ya MAJI imepunguaa sana
 
Lakini shida ya MAJI imepunguaa sana

Maji hayakupaswa kuwa "nightmare" kwa taifa hili kwa miaka zaidi ya 60 uhuru! Bado watu wanakunywa maji na wanyawa kwenye mito na mabwawa vijijini. Bado mamilioni ya wanawake wanatembea umbali mrefu kufuata maji, maji yanachukua muda mwingi wa mwanamke vijijini huko.
 
Ni wapi huko watu wanakunywa Maji na Wanyama?
 
Sehemu zipo nyingi, maji yapo mijini tuu. Mkoa wa Rukwa pia una shida ya maji baadhi ya wilaya. Vyanzo vingi vinategemea mvua, kipindi cha kiangazi maji hayatoki kabisa.
Nadhani ungekwenda moja kwa Moja kwenye maeneo yenye shida
 
Mbona tuna JNHPP na extra Megawatts zaidi ya 1600 lakini kuna sehemu umeme hakuna na kwa walionao kila siku unakatika? TZ inahitajika kiongozi mzalendo hasa kuthibiti WAHUNI....Matatizo ya maji ,umeme ,maendeleo duni ni kwasababu WAHUNI wanahondomola ,wanatindinganya ,wanabananga mali za umma.
Lakini kwenye umeme na Maji tutafanya vizuri sana
 
Ni wapi huko watu wanakunywa Maji na Wanyama?

Tumbili ukishatupiwa ndizi kinachofuata ni mapambio tu.

Back
Top Bottom