maji

  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kimara Suka tunapata maji kwa saa 6

    Aweso hii Gaza ya Kusini anzia pale Over Mataa mlipoweka wanajeshi wa Uganda wale shuka mpaka Mbuzi Online Suka mlipoua boda akiwa na abiria ingia na hiyo njia hapo vuka uwanja mbele dukani mlipoua mtu akiwa dukani nenda mbele kidogo pandisha kimlima hayo maeneo mnafungua maji masaa 6 tena muda...
  2. pambe samanini

    JamiiForums Tanzania Maji yaliyotwama huchafua watu

    Mvua zinaponyesha mahali mbalimbali maji yake mengine hunywea chini ya ardhi, mengine hutelemka kuelekea bondeni kama mito, maziwa na bahari lakini yaliyo mengi pia hutwama. Maji yaliyotwama yakikaa muda mrefu hutengeneze uchafu, pengine matumizi yake huwa machache sana, na pengine kutotumika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania (KUMBUKIZI) Hili limeniuma sana: Marekani yatoa msaada wa MABOZA sita ya maji kwa Tanzania

    Marekani imetoa msaada wa maboza sita ya maji yanayojiendesha yenyewe ya lita 2400 kila moja, kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambayo yataipa uwezo wa kusukuma na kusambaza maji. Hii inaiwezesha JWTZ kusambaza maji safi na salama kwa maeneo ya vijijini ambayo hayana huduma ya...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mvua siku 3 tu hiyo SGR yetu imesombwa na maji

    Tukumbuke hapa majuzi Taifa halikuwa na maji kutokana na uhaba wa mvua Mvua zimeanza wiki hii zimesomba reli yetu ya ma trillions ya pesa za walipa Kodi masikini. Hii hii reli itahimiri hali ya hewa kipindi cha masika cha mwezi March Hivi kweli Engineer aliyeingia darasani atapanda nguzo...
  5. upupu255

    JamiiForums Tanzania DAWASA harakisheni Tegeta A, Kwa matope maji yanapotea bomba linavuja

    Katika harakati zangu za kutembelea ndugu jamaa na marafiki leo Mwaka mpya nimekutana na hii chamber ya maji ya Dawasa inavujisha maji kama mto maji mengi yanapotea hapa. Nilipouliza wenyeji wakaniambia eneo ni Tegeta A, Kwa matope
  6. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Shirika la Maji Tanzania

    Habari Tanzania Nawaomba wenye mamlaka na wale wataalamu wa mambo ya Sheria na watunzi wa sera; na wale wote wapendao maendeleo. Ikiwapendeza; Muunde Shirika la Taifa ambalo litajenga Mfumo wa Grid ya Maji ya Taifa na kuiunganisha nchi nzima. Alafu Mamlaka za Maji Vijijini na Mijini ziwe...
  7. Ntele Bhn

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa maji Dar: Tatizo sio maji, tatizo ni Uongozi

    Dar es Salaam, jiji kubwa na kitovu cha uchumi wa Tanzania, limeendelea kukumbwa na uhaba mkubwa wa maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu Jana nimemsikia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akiwa mto ruvu anadai tatizo la maji ni tatizo la kidunia.Pia Waziri wa Maji kwa Nyakati tofautitofauti...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maji marefu na manyaunyau style Gen Z hamuwezi elewa

    Salamaleko! 1. Gen z bado hamjui nini kilitokea hapo nyuma. Hamjui tulieni. 2. Kama mnataka kujifunza kaeni hapa nitawafunza. Lakini nawajua kwa ubishi wenu. Mniambie mnataka style ipi. 3. Mnataka Flow ya Habil na khabil, Mzee wa pekezake kizakezake akiacha mambo zao kwa Raha zao. Au 4. Au...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Aweso: Bili ya maji inayokuja iwe na uhalisia, watu hawakupata maji

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiongea na wananchi wa Bunju, ametoa wito kwa Mamlaka ya Maji DAWASA kutoa bili zenye uhalisia kutokana na watu kukosa maji. Pia soma > GE2025 - Mamlaka za maji kudaiwa kubambikia wateja bills imeanza kitambo, kwanini Samia achukizwe kipindi cha uchaguzi?
  10. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Wananchi kuchanga fedha kumaliza adha ya maji Njombe

    Wakazi wa Kijiji cha Nindi, Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, wamekubaliana kuchangishana fedha kiasi cha Shilingi Milioni 25 kwa lengo la kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama katika kijiji hicho. Baadhi ya wakazi wa Kijiji hicho, akiwemo...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watawala wafanye mariadhiano na reforms kwa future yao. Vinginevyo wanatwanga maji kwenye Kinu

    WATAWALA WAFANYE MARIADHIANO NA REFORMS KWA FUTURE YAO. VINGINEVYO WANATWANGA MAJI KWENYE KINU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Fikiria unapigana kufa na kupona kujenga future yako na kizazi chako ndani ya nchi yako. 2. Mungu anakubariki katika uhalali au uharamu wako unafanikiwa kujenga...
  12. Richard

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso, acha kulialia! Chukua mawili matatu kutoka katika nondo hizi

    Mie hapa New York pana kaubaridi (nyuzi joto kama 6 hivi si haba) na nimekula pilau ya Xmas ambayo kapika shemeji /wifi yenu alifundishwa na mama mkwe wake kupika pilau ya maana. Wakati huohuo nimeweka ile muziki ya Bongo Classics nakula muziki taratibu kushusha msosi. Lakini hapohapo nafikiria...
  13. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kama unajenga eneo Lenye asili ya maji pitia hapa tushauriane

    Habari Kama unajenga eneo Lenye asili ya maji pitia hapa tushauriane
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana

    Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana.
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Bila aibu Waziri mwenye dhamana ya Maji anakiri kuwa CCM kwa miaka zaidi 60 ipo madarakani na imeshindwa kutatua kero ya maji

    Nimeshangaa sana Juma Aweso Waziri mwenye dhama ya kuhakikisha kila mtanzania anapata maji salama anakiri mbele ya television ya taifa kuwa CCM imeshindwa kutatua kero ya maji hapa nchini. Ameulizwa swali kwa nini hamutumii maji ya bahari kuhakikisha kero ya upatikanaji wa maji hususani mjini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza katoni za maji, kuna faida kiasi gani.

    habari zenu jamii forums ningependa kujua faida ya kujua katoni za maji makubwa ya lita 1 na nusu Wanaouza wanaweza kuyaleta kwa gari zao, hakuna gharama za usafiri
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mvua imenyeshewa, maji yamelowana

    Kuna kitu kinaitwa combustion! Halafu kuna combustion chambers! Piston rings kwenye engine zikilegea engine itapiga kelele na kukosa nguvu .. Kwa maana ya kwamba combustion haitafanya kazi vizuri.. Lakini pia engine kukosa nguvu na kupiga kelele huchangiwa na mengi ikiwemo oil seal, oil...
  18. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania DAWASA kuruhusu huduma ya maji leo kwa wakazi wa Kimara, Ubungo, Mwenge, Masaki na Muhimbili

    TAARIFA MUHIMU KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA KIMARA, UBUNGO, MWENGE, MASAKI NA MUHIMBILI 21.12.2025 Ndugu wateja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA MAJI KIMARA tunapenda kuwajulisha kuwa huduma ya maji imefunguliwa na maeneo yafuatayo yatapata huduma;- Kimara Mwisho, Korogwe, Bucha, Kona...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Maji na umeme umekushinda umebaki na mdomo “ Who are You” !

    Huyu Mama na Chama cha Mafisadi hadi leo watu hawana maji mji mkubwa watu wana nunua maji na mgao wa umeme. Tusishangae hawashindi mpaka kuiba kura maana ni nani mwenye akili zake atawapigia kura watu ambao hawawezi kuleta maji na kutegemea mvua kwa miaka 60! Walisema tutauza umeme nje leo kuna...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya maji

    Hv inawezekanaje miaka 50+ tunategemea maji ya mvua, je tuko serious kweli watu million 60+ serikali yetu haina moango wala haikuwahi kujioanga kuwa na cyanzo vya maji vya uhakika nje ya mvua. Nachojua mimi ardhini kuna mikondo ya maji inayotembea kwa pressure ya hali ya juu mno. (Nmechimba...
Back
Top Bottom