complex31
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 578
- 1,729
Habari,
Kwa takribani miezi miwili kwa vipindi tofauti tofauti maji ya DAWASA upande wa Mbezi Beach yamekuwa yakitoka na rangu nyeusi au yawe machafu ambapo ukikinga kwenye ndoo au tank baada ya muda kuna mchanga/ udongo “una-Settle” kwa chini kwa chombo ulichokikingia.
Mbali na hayo mimi pamoja na familia yangu tulianza kuwashwa baada ya kuoga, nilimuuliza pamoja na baadhi ya jirani zangu na wao pia walitoa malalamiko hayohayo ya kuwashwa na kutokea na vipele vidogovidogo vyekundu, swali langu kwa DAWASA ni haya maji ni safi kwa matumizi ya binadamu?
Kwa wenye hizi changamoto ni kitu gani naweza kutumia au kuweka katika maji kuondokana na hii kadhia? Mtoto wa jirani yangu pia mwenye miaka miwili amekumbwa na hili janga la kuwashwa baada ya kuoga.