Sisi wakazi wa Buswelu Nyamadoke, eneo la Ibinza Msikiti wa Chini, Wilaya ya Ilemela Mkoa wa Mwanza, tunaomba Serikali na mamlaka husika kutusaidia kutufikishia mtandao wa mabomba ya maji ili nasi tuweze kuunganishiwa huduma ya maji safi na salama.
Kwa sasa, eneo letu halina mtandao wa mabomba...
Habai JFM,
Ile huduma adhimu ya uchimbaji wa visima bado inaendelea, faida ya kufanya kazi nasi ni hizi;
✔️ Survey bure
✔️ Kufunga pump ya maji bure
✔️ Finishing plumbing fitting bure
✔️ Kufwatilia vibali bure
Kazi ya uwakika popote ulipo bara na visiwani at easy, fast & affordable.
Call,sms...
Wananchi wa eneo la Pasiansi jijini Mwanza wamekumbwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa takribani wiki mbili sasa, hali inayosababisha usumbufu mkubwa katika shughuli zao za kila siku.
Kinachozua malalamiko zaidi ni kwamba mamlaka husika hazikutoa taarifa yoyote kwa wananchi kabla ya huduma hiyo...
Nimefanya tafiti nimegundua mwanamke anaweza ku squirt (katerero) na asifike kileleni!, na anaweza asi squirt na akafika kileleni!!.
Kiufupi ku squirt ni jambo tofauti nakufika kileleni!, na kufika kileleni ni jambo tofauti na ku squirt!.. japokuwa haya mambo mawili yanaweza kutokea kwa wakati...
OMBI LA KUOMBA MSAADA WA HUDUMA YA MAJI
MTAANI TERRYNITE STREET, SEGEREA MAGEREZA.
Sisi wakazi wa Mtaa wa Terrynite Street, Segerea Magereza, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu upatikanaji wa maji.
Tatizo:
Kwa muda mrefu tumekuwa tukipata maji mara moja tu kwa wiki, siku ya Alhamisi...
Anonymous
Thread
huduma
huduma ya maji
kuomba
magereza
maji
msaada
mtaa
mtaani
ombi
segerea
tuna
wakazi
Wakazi wa Eneo la Kimara Temboni mtakuja Tunapata shida ya Maji yapata sasa ni week ya tatu Maji hatuna .Ratiba ilikuwa kila jumamosi tena wanatoa Maji kuanzia saa kumi usiku na ikifika saa kumi na mbili maji yanakatika .
Watu wanateseka sana.
Tunaomba mamlaka husika itufikirie sisi wakazi wa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetangaza kuwepo kwa upungufu wa uzalishaji na usambazaji wa maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza kutokana na hitilafu ya umeme katika vituo vya uzalishaji na usambazaji wa maji.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa Juni 9, 2026, hali...
Tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji katika eneo la Kimara Stopover, Mtaa wa Bi Mtambo (upande wa kushoto ukitokea Kimara).
Kwa muda mrefu sasa wananchi wa eneo hili tumekuwa...
JamiiForums, tunaomba utusaidie kupaza sauti zetu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji inayowakabili wakazi wa Misongeni A (Misongeni Juu, eneo la Msikitini).
Tumekuwa tukikosa huduma ya maji kwa muda mrefu sasa baada ya bomba la maji kupasuka takribani miaka miwili iliyopita. Licha...
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ametoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa DAWASA kuhakikisha changamoto ya upatikanaji wa maji katika Jimbo la Segerea inapatiwa ufumbuzi wa haraka na wa kudumu. Akijibu swali la Mbunge wa Segerea (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, bungeni Juni 3, 2026, Mhandisi...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ni miongoni mwa taasisi zinazoshiriki Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa yanayoendelea katika Viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, yakiwa na kauli mbiu isemayo: “Dira 2050: Tuwajibike Kukijanisha Tanzania.”...
Msemaji Mkuu wa Serikali, ambae pia ni Katibu Mkuu, Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo ndugu Gerson Msigwa katika Taarifa yake ya Msemaji Mkuu wa Serikali ameeleza kuwa kukamilika kwa ujenzi wa Bwawa la Kidunda Mkoani Morogoro ambao umefikia asilimia 50 ya utekelezaji kutaenda kuondoa...
TAARIFA KWA UMMA
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyochapishwa kupitia ukurasa wa JamiiForums tarehe 01/06/2026 kuhusu maunganisho ya huduma ya maji Mbae Mashariki.
Hoja ya Mdau ~ Wakazi wa Mbae (Mtwara Majini) tumeomba...
Habari wakuu,
Kuna jambo limekuwa likinipa mtatizo sana, wakati nakuwa nilikuwa nikipenda sana kusaidia jikoni kwenye mapishi hasa siku ya ubwabwa Maharage, huku nikimuangalia Bi mkubwa akiandaa kachumbari ya kunogeshea ubwaubwa. Inshort hadi sasa napenda sana kachumbari
Niliona Bi Mkubwa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imeanza rasmi zoezi la kufunga Pampu 3 kati ya Pampu 7 zilizowasili mapema Mwezi Mei Mwaka huu zinazotarajia kuimarisha na kupunguza changamoto za kihuduma katika Mikoa ya Dar es salaam na Pwani.
Pampu hizo zitakazofungwa katika...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi madhubuti wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda, akieleza kuwa mradi huo ni miongoni mwa miradi mikubwa ya kimkakati Nchini inayotarajiwa kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya maji, kilimo, nishati na...
Kila mtu na anavyoonja ladha kinywani mwake, kuna sisi wengine samaki ni samaki tu bora atengenezwe vizuri hatuchagui maji bahari wala chumvi.
Ila kuna watu wanasema mara samaki wa maji chumvi sio mtamu kama wa maji bahari na wengine wanasema samaki wa maji baridi ni matamu kuliko wa maji...
Tunapenda kufichua kero kubwa inayowakabili wananchi wa maeneo ya Unyinga, Mamise na Unyakumi na maeneo mengine mjini Singida kutokana na ukosefu wa huduma ya maji takribani wiki tatu sasa
Kwa kipindi cha hivi karibuni, maeneo haya yamekuwa yakikumbwa na ukosefu wa maji kwa siku nyingi...
Anonymous
Thread
katika
kero
kichwa
kutoka
maeneo
maji
singida
suwasa
taarifa
ukosefu
ukosefu wa maji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.