Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewakumbusha wateja juu ya umuhimu wa kuzingatia zoezi la usomaji na uhakiki wa mita mara baada ya kupokea ujumbe wa usomaji mita kwenye simu zao ili kuongeza uwazi na ufanisi katika utoaji wa huduma.
Zoezi la usomaji mita...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha zoezi la kufufua na kuboresha kisima cha kuzalisha maji cha Keko Bora kilichopo Mtaa wa Bora, Kata ya Chang’ombe, Wilaya ya Temeke, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa...
"Tulipika chakula kwa maji ya mafuriko" —Huu ni ushuhuda wa kusikitisha wa mmoja wa wasafiri waliokwama usiku kucha katika eneo la Korongo la Fisi, wilayani Simanjiro.
Wasafiri hao waliokuwa wakisafiri kutoka Arusha kuelekea Kiteto kwa basi la Simanjiro Express, walifika eneo hilo majira ya saa...
Mvua kubwa iliyonyesha Nairobi usiku wa Ijumaa imeleta madhara makubwa baada ya mafuriko kuharibu major water pipelines, na kusababisha water shortage kwa estates zaidi ya 15. Kulingana na Nairobi City Water, maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Buruburu, Kariobangi, Dandora, Mathare, Eastleigh...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeungana na Wanawake Dunian kote katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kata ya Mburahati, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es salaam huku ikisisitiza ujumbe wa jamii kudhibiti upotevu wa maji.
Maadhimisho haya...
Mimi ni Mkazi wa Kimara Kilungule kwa Mkua. Kero yangu inahusu DAWASA mara ya mwisho maji kutoka ilikuwa tarehe 30/10/2025.
Je, ni kwamba hii mamlaka imetusahau kabisa? Maana tuliambiwa mgao wa maji umeisha tumesubiria lakini wapi, je hii huduma kwetu ndiyo basi?
Napata tabu sana nanunua ndoo...
Anonymous (c723)
Thread
dawasa
kilungule
kimara
majimaji ya dawasa
mara
mara ya mwisho
mwisho
oktoba
ya mwisho
Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Nairobi imeleta maafa makubwa baada ya watu 23 kuthibitishwa kufariki kufuatia mafuriko yaliyosomba baadhi ya maeneo ya jiji. According to emergency reports, zaidi ya magari 70 yamesombwa na maji huku nyumba na biashara nyingi zikiharibiwa na mafuriko. Rescue...
Mwaka 2023 watafiti kutoka Tel Aviv University walifanya majaribio kwa mimea, Walichukua mimea kama nyanya na tumbaku, wakaweka vifaa vya kurekodi sauti zisizosikika kwa masikio ya binadamu, waliweka karibu na mimea hiyo. Kisha baadhi ya mimea waliiacha katika hali ya kawaida, lakini mingine...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Arusha halipi malipo ya watumishi kwa wakati.
Watumishi wanalalamika kwa kukaa na madokezo miezi kadhaa bila kulipa na hata akipigiwa simu anajibu 'msinifundishe kazi'.
Kuna kero nyingi na Waziri yupo "busy" na Mamlaka nyingine. Waziri uje Arusha na ukae na...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema huduma ya maji katika maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo Magufuli Hosteli imeanza kuimarika na huduma kuwafikia Wananchi.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa DAWASA, Everlasting Lyaro amesema wamehakikisha upatikanaji wa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), inaendelea na zoezi la upimaji tafiti na kuandikisha wateja wapya wa Mtaa wa Msumi, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo wanaotarajia kunufaika na huduma ya majisafi baada ya kukamilika kwa utekelezaji wa mradi wa maji Msumi.
Mradi wa...
Kumekuwepo na ukosefu wa maji katika Hostel za Ubungo za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tunapoishi Wanafunzi wa Uzamili (Postgraduate Students) ambao tunasoma Master's Degrees na Ph.D!
Kipindi hiki hali imekuwa mbaya zaidi na tunalazimika kununua dumu moja la Lita 20 kwa Tsh. 1,000 ambayo ni sawa...
Anonymous (b213)
Thread
hosteli
maji
masters
moja
ndoo
ubungo
udsm
wanafunzi
Mrussia hakutaka kujimaliza kama SIMPS wengi mnavyofanya
Alisikika tu akisema:
"Hello.
How are u doing?
You look good.
I'm from Russia
My English bad
Come with me."
Magetoni mademu wanapewa kikombe cha maji wanalombwa.
Kama wewe unataka kuhudumia na kupay bills, valentine gifts, dinner dates...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imefungua dawati la huduma kwa wateja katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa lengo la kusikiliza, kutatua na kutoa suluhu ya changamoto za wateja juu ya huduma za majisafi.
Afisa Huduma kwa Wateja wa DAWASA Kinondoni...
Kwanza kabisa mnatakiwa kukubali kuwa hamkubaliki. Kwamba utawala huu wa CCM haukubaliki.
Kuna Mwalimu mmoja leo amenifuata na kuniuliza wewe si mwanaCCM? Mbona kila mnachofanya mbona wananchi hawamkubali mama?
Nikamwbia mimi sio kada wa CCM na haijawahi kutokea nikawa kada CCM.
Hoja kubwa...
Wakuu nimekutana na hii hoja, nimeona niiweke hapa iwafikie wadau wengi zaidi, na DAWASA kama wanaweza kujibu itakuwa vizuri zaidi.
Majuzi tuliamka tukakuta mita yetu ya maji haipo. Cha kushangaza, mita tatu zilizo karibu hazikuguswa. Wazo la kwanza lililotujia ni kwamba huenda DAWASA wameitoa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea kusisitiza usomaji wa dira za maji shirikishi ili kupunguza dhana ya baadhi ya wateja kuhusu kubambikiziwa bili za maji kila mwezi zisizo akisi matumizi yao.
Hayo yamebainishwa na Meneja wa DAWASA mkoa wa kihuduma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.