RESOLVED KERO DAWASA hawafungui maji Kimara mpaka tuwapost JF?

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nimekua nikileta kero ya DAWASCO hapa mitaa ya Kimara Suka kutokupata Maji sawa wiki hii sijapost kabisa na hawajafungua. Sasa hawa jamaa watakua wanafanya haya mpaka LINI ? Kimara imewakosea ?
wanawasha kukiwa na MBIO ZA MWENGE
 
Nimekua nikileta kero ya DAWASCO hapa mitaa ya Kimara Suka kutokupata Maji sawa wiki hii sijapost kabisa na hawajafungua. Sasa hawa jamaa watakua wanafanya haya mpaka LINI ? Kimara imewakosea ?
UPDATE: SIKU NIMEPOST TU HAPA HAIKUPITA MASAA 2 MAJI YAKAANZA KUTOKA
 
Back
Top Bottom