Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 572
- 535
ONGEZEKO LA BAJETI YA WIZARA YA MAJI
Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuipa kipaumbele sekta ya maji kwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Maji kutoka Shilingi bilioni 898.28 mwaka 2025/2026 hadi kufikia Shilingi trilioni 1.12 mwaka 2026/2027, hatua inayolenga kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi pamoja na kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maji nchini.