Hivi Tanzania tuna submarine kweli? Tukivamiwa kupitia chini ya maji itakuwaje?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Naelewa tuna jeshi la wanamaji ila sina uhakika kama tuna subamrine hata moja au tunazo wakuu ila ni top secret?
 

Attachments

  • a45e909325d6c0339c96014d4a0ffea9.jpg
    a45e909325d6c0339c96014d4a0ffea9.jpg
    17.3 KB · Views: 4
Kama wameshindwa kibanda cha mlinzi kukijengea kwenye kambi ndio wataweza kuunda submarine.........unadhani hiyo kitu kama ushuzi ukila maharage imo.........wewe
 
Hivi ilitokeaje Tanzania ifanye ikulu karibu na bahari, mliskia au kuona wapi kitu kama hicho.
Pale ndio pazuri ndio maana pale jirani kukawekwa ulinzi kamili wa bahari rada ya adhini na nchi kavu.
Naomba niishie hapo
 
Back
Top Bottom