maji

  1. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Rais Samia kaelekeza Bonyokwa iongezewe fedha ili maji yatoke Saa 24

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa eneo la Bonyokwa Jijini Dar es Salaam lina kero ya kutopata Huduma ya Maji kwa takriban Wiki 5, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema maelekezo yametolewa kwa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha wakazi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Wahandisi nauliza: Kwanini Tanzania hatutengenezi mfumo maji na taka mapema tunapojenga msingi?

    Nimezoea kuona bongo watu wakibomoa bomoa msingi au kuta walizojenga ili wapitishe mabomba ya maji na choo. Hivi haiwezekani kutengeneza plan ya maji safi na taka na kujenga mfumo maji na taka mapema kabisa katika hatua ya kujenga msingi ili kila kitu kiwe sawa?
  3. JamiiForums Tanzania Naishi Mbagala Nzasa kwa Mwarabu, katika eneo ninaloishi pamoja na wakazi wenzangu hatuna huduma ya maji ya DAWASA

    Mimi naishi Mbagala Nzasa kwa Mwarabu, katika eneo ninaloishi pamoja na wakazi wenzangu HATUNA huduma hii ya maji. Mipango ya kikalikenye imefanyika mara kadhaa, wafanyakazi wanaojiita kutoka DAWASCO kupita na kuandikisha majina yetu na kuahidi kupatikana kwa huduma hiyo muda si mrefu. Tatizo...
  4. JamiiForums Tanzania Eti suprise unimwagie maji. Kisa birthday yaani nitakuvunja mbavu

    Hii tabia siipendi. Nani kasema ni kumwagiana maji, mambo ya kubatizana yanaanzia wapi.
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Tabata Bonyokwa hatujaona tone la maji wiki ya tano sasa, DAWASA mnatuona manyani?

    Ni mambo ya ajabu sana huku tulipofikishana. Septemba 21 mwaka huu DAWASA iliuhakikishia umma wa Tabata kuwa kutakuwa na uhakika wa maji, lakini mpaka leo navyopandisha mnakasha huu kuna baadhi ya mitaa maji kwetu yamebaki kuwa ndoto. Hata kama ni mgao, ndio wiki nne na zaidi? Hapana kwakweli...
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya maji ya mvua na maji ya chemchemi, yapi ni masafi zaidi?

    Habari waungwana. Eti kati ya maji ya mvua na maji ya chemichemi yapi ni masafi na salama zaidi.
  7. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani raisi Samia amekiweza? Mbeya hakuna maji wiki ya pili hii

    Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q. Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja. Ni kipi Rais anakiweza?
  8. JamiiForums Tanzania From the Horse's Mouth: Mabwawa yote ya Umeme hayajajaa Maji na muda wowote Viwanda vifafunga Uzalishaji

    Leo hii GENTAMYCINE nimekutana na Mmoja wa Watu kutoka TANESCO na waliokuwa katika Team Maalum ya kwenda Kugagua Mabwawa yote ya Mtera, Kidatu na Kihansi ambao wamerejea Dar es Salaam Siku ya Juzi ( Alhamisi ) Alichoniambia Mtendaji huyo Mwandamizi kutoka TANESCO ni kwamba pamoja na Mvua...
  9. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuchimba kisima maji kipindi cha masika?

    Ni sahihi kuchimba kisima cha maji kipindi cha mvua? Sikuwa na mpango wa kukichimba muda huu, lakini mtu anayelihudumia shamba langu kwa sasa kaniambia anaweza kukichimba kwa bei nafuu hadi ayakute maji. Nilipomwambia kuwa visima vianvyochimbwa nyakati za mvua zinaweza kuishiwa maji wakati wa...
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa. Akitembelea miradi mbalimbali DC Victoria amesema kuwa Lengo la ziara hii ni kuhakikisha kuwa Wana-Ludewa wanapata huduma ya Maji bora, safi, salama na yenye kutosheleza...
  11. JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame

    Ni Aibu Sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame. Tuna week ya tatu sasa mvua kubwa zinanyesha kila mahali nchini halafu unashangaa Dar haina maji. Nimepita mikoani mvua kubwa sana zinaendelea kunyesha lakini umeme unakatwa Tu. Huu ni Ujuha na kiwango kikubwa cha...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kama Maji Maji au Mau Mau ilikuwa halali, iweje lawama kwa wapalestina?

    Kulikoni? Au ni yale ya mkuki kwa nguruwe? Izingatiwe: 1. Binadamu wote ni sawa. 2. Suala la dini ni binafsi na la hiari. 3. Dini Kwa wenye nazo, kila mtu ana yake japo na wasiokuwa nazo pia wapo. 4. Unaongelewa je mgogoro kidini wakati kila mtu ana yake na imani disjoint, yaani zisizokutana...
  13. JamiiForums Tanzania Hii Ndo sababu Ziwa Natron lilioko Kaskazini mwa Tanzania kuonekana na "Rangi na Rangi ya Damu" (Nyekundu) Badala ya kuwa na maji meupe au blue

    Waswahili wanasema Tembea Uone! Tanzania Hasa katika Mkoa wa Arusha Na Hasa katika Hifadhi ya Ngorongoro kuna Ziwa Natron ambalo Asili ya ziwa hilo Ni Nyekundu mpaka Kufikia huko Duniani watu kuliita ziwa Hilo Deadly Lake. Kama unapanga kufanya utalii wa ndani Ngorongoro kwa kipindi hichi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Meli ya kivita ya USA yafukuzwa baharini na jeshi maji la Iran

    Jeshi la wanamaji la Irani limeiamuru meli ya kivita ya Marekani iliyobeba ndege za kivita zaidi ya 20 iondoke karibu na eneo la bahari la Iran na pia ishushe chini helcopter yake ya kivita ambayo ilikua ikifanya doria baharini. Baada ya ubishi kidogo,wakatii amri. Tazama tukio Zima la...
  15. JamiiForums Tanzania Watu wa Gaza wala nyama ya punda na kunywa maji ya chumvi kwa njaa. Misri ikipeleka misaada bila ruhusa ya Israel itapata hasara gani

    Tajiri mmoja wa Gaza ya kaskazini amesema wameishiwa na chakula na maji kiasi kwamba kuna baadhi ya familia zimelazimika kuchinja punda na kula nyama yake ili wabaki hai. Mbali na ushahidi huo picha nyingi za moja kwa moja zinawaonesha wananchi hao wakipanga foleni ndefu na kugombea mikate kitu...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tunavumilia tunachoka, hatuna umeme, maji, barabara mbovu, maisha juu, wapo busy na siasa safi

    watanzania wengi we are tired, tumechoka sana, . hii SERIKALI ya awamu hii is the worst government ever. EVERYTHING IS BROKEN, BADO SOCIETY TU, 2025 MBALI SANA WE ARE RUNNING OUT PATIENCE. SOME THING MUST BE DONE. WE CANT GO ON THIS WAY. WE NEED THIS GOVERNMENT OUT, BY ANY MEANS. WE NEED...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mita za kusoma maji, DAWASA toeni ufafanuzi wa kueleweka, mnawanyonya na kuwaibia wananchi

    Wakuu kwema? Suala la mita za DAWASA limekuwa ni changamoto na kero kubwa kwetu watuamiaji, na si kwamba ni watu wachache, malalamiko ni mengi ikiwemo na kwangu mdau lakini DAWASA wanakaza shingo. Nilishangazwa na mhudumu wa DAWASA kuona ni jambo la kawaida kwa familia ya watu watatu kuletewa...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Maji yanayotoka leo baadhi ya maeneo Dar. Asante CCM!

  19. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mahundi: Zaidi ya Watu 233,000 Kunufaika na Mradi wa Maji wa Mugango - Kiabakari - Butiama

    NAIBU WAZIRI ENG. MAHUNDI: ZAIDI YA WATU 233,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA MUGANGO- KIABAKARI-BUTIAMA. Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amewataka wakandarasi wa mradi wa maji wa Mugango - Kiabakari - Butiama waweze kukamilisha utekelezaji wa ujenzi wa mradi huo ili wananchi...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, kwanini bei maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L ipo juu kuliko Masafi 1.6L na Pangani 1.6L

    Mwenye kufahamu sababu ya tofauti ya bei ya maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L kuuzwa 700.00 wakati ujazo huohuo kwa Masafi 1.6L na Pangani 1.6L yanauzwa 500.00. Pia kwanini maji ya Pangani 1.6L hayana Stempu ya kieletronic juu ya mfuniko?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…