lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,546
- 1,984
Mimi naishi Mbagala Nzasa kwa Mwarabu, katika eneo ninaloishi pamoja na wakazi wenzangu HATUNA huduma hii ya maji.
Mipango ya kikalikenye imefanyika mara kadhaa, wafanyakazi wanaojiita kutoka DAWASCO kupita na kuandikisha majina yetu na kuahidi kupatikana kwa huduma hiyo muda si mrefu.
Tatizo ni nini? Kwann wanatufata na kutusumbua wakati wanachotuletea ni POROJO.!!
Maji tunayotumia ni maji ya visima toka kwa wananchi wenzetu , hivi bila wao sijui INGEKUWAJE? hivi ile NDO aliyotuliwa mama kichwani ni eneo GANI?
HIVI yale mambo ya kuchimba chimba na kupitisha bomba la maji huku mtaani kwetu ni kwa ajili ya NANI?
Ile kauli maji yameisha sambazwa asilimia 90 % hapa nchini huwa INAHESABIWAJE?