MEGATRONE
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 966
- 1,809
Habari zenu wakuu,
Kuna changamoto imekuwa inajitokeza nyumbani naomba mawazo yenu! Home kuna tank la litre 5000 ila limekuwa likiisha maji hata kama maji hayajatumiwa! Unakuta tank tunajaza mpaka juu lakini linaisha fasta bila hata matumizi!
Mvua zilinyesha kama siku 3 zimepita tank likajaa full ila leo hamna maji kwenye tank! Kuna mtu kanambia kuna tatizo la valve kwahyo maji yatakuwa yamerudi idara ya maji! Nakaribisha maoni yenu!
Asante!
N.B: Nyumba inabakigi na mdada wa kazi peke( kwahyo matumizi ya maji ni madogo mno).