majeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Yule Sniper Bora Duniani wa Canada (Wali) aliyeenda Vitani Ukraine kupigana na majeshi ya Urusi aelezea namna alivyopambana Ukraine

    Wali ni mwanajeshi mstaafu wa kikosi maalumu cha Jeshi la Canada (The Royal 22nd Regiment). Baada ya Zelensky kuomba msaada wa wapiganaji toka Duniani kote, Wali aliamua kuitikia wito huo. Vyombo vya habari mbali mbali Ulimwenguni vilielezea wasifu wa Wali kwenye field yake kuwa ni sniper namba...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Vikosi vya Majeshi ya Tigray vyaondoka Mkoani Afar

    Msemaji wa chama cha Tigray People's Liberation Front (TPLF),alikaririwa na vyombo vya habari akidai Aprili 25, 2022 majeshi yao yaliondoka Mkoani Afar, akiongeza kuwa anatumai kwamba msaada wa chakula unaohitajika sana unaweza kuwasili Tigray. Vikosi hivyo vimekuwa vikishikilia Mkoa wa Afar...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye majeshi ya Urusi yameuteka mji muhimu wa Mariupol

    Hatimaye majeshi ya Urusi yameuteka mji mhimu wa Mariupol. Umuhimu wa tukio hili ni kuwa hii inawakilisha kushindwa wa wanazi mamboleo wenye itikadi kali. Wanazi hawa waliokuwa wanaulinda mji huo ndio walikuwa lengo la Putin la "denazification". Kwa hiyo lengo hilo linakuwa limetimia. Lakini...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM wanavunja sheria kuwa na jeshi la green guard. Sheria ya vyama vya siasa imezuia kuwa na majeshi

    Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimezua wazi wazi vyama vya siasa kuunda vikundi vya majeshi. CCM wanakaidi hii sheria na wanaunda majeshi
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasema imekomboa eneo zima la Kyiv

    Ukraine imesema imechukua udhibiti wa eneo zima la Kyiv baada ya wanajeshi wa Urusi kurudi nyuma kutoka katika baadhi ya miji muhimu karibu na mji huo mkuu. Naibu waziri wa ulinzi Ganna Maliar ameandika kwenye ukurasa wa Facebook hapo jana kwamba miji ya Irpin, Bucha, Gostomel na eneo zima la...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Majeshi ya nchi za Afrika hukaa tayari nyakati za uchaguzi kama vile vita inaanza?

    Mzee Kalinga alijaribu Kumuuliza hilo swali Mzee Sanga wakati akiwa anatafuna mkate wa kikinga na maziwa fresh ili apate nguvu kuendelea na safari yake ya ukinga milimani. Mzee sanga akamweleza kwanza sababu kubwa chaguzi za Afrika akatania kidogo hata Tanzania ipo hua haziko huru na haki na...
  7. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Manaosubiri NATO kuingiza majeshi Ukraine katika mgogoro huu mtasubiri sana.

    Kwanza kabisa tukubali kuwa Urusi ni mwamba. Pia tukubali kuwa ni kweli hii ni operation maalumu kama Wanavyoiita wao Urusi. Ni kweli lengo la Urusi ni kuiodhiofisha kijeshi Ukraine na ni kweli Sasa Ukraine imedhoofika kabisa kijeshi kwa sababu kambi zake zote muhimu zimeharibiwa na miundimbinu...
  8. 5

    JamiiForums Tanzania Zelensky: Urusi Sasa yaamua kuhamisha majeshi yake na kulinda Donbas baada kipigo kizito

  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais samia: Majeshi yataongezewa fedha katika bajeti ijayo ili wasijikite kwenye shughuli za uzalishaji

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa bajeti ya mwaka wa fedha 2022/23 wameongeza fedha kwa majeshi ya Ulinzi na Usalama ili wapunguze muda wanaotumia kushughulika na shughuli za uzalishaji. Rais amesema hayo alipokuwa Msalato, Dodoma akizindua Kiwanda cha Samani cha Jeshi la Magereza ambapo...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkuu wa Majeshi Urusi, Jenerali Valery Gerasimov

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Urusi General Valery Gerasimov ameongoza kwa mafanikio makubwa operesheni kadhaa za kijeshi Chechnya, Syria na Ukraine. Aliye na Picha zake na wasifu wake anakaribishwa
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania 17 wajeruhiwa katika shambulizi la hospitali ya kujifungua Ukraine - maafisa

    Takriban watu 17 wamejeruhiwa na shambulizi la angani la Urusi kwenye hospitali ya Mariupol, kulingana na utawala wa kijeshi wa Ukraine katika eneo la mashariki la Donetsk. Wafanyikazi na wanawake walio katika harakati za kijifungua walikuwa miongoni mwa waliojeruhiwa, maafisa walisema. Pavlo...
  12. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi awasamehe waliofukuzwa JKT, watakiwa kurudi jeshini

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo ametoa msamaha kwa vijana 853 kati ya 854 (mmoja alifariki) waliofukuzwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Aprili 2021 kwa makosa ya kinidhamu. Jenerali Mabeyo ameagiza vijana hao warejeshwe katika kambi za JKT tayari kuanza mafunzo. "Vijana wa...
  13. Sajo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC)

    Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC). Jenerali Mabeyo kwa sasa ana umri wa miaka 65, inawezekana ndiyo anastaafu na maandalizi ya mrithi wake yameanza. Inasemwa kuwa mtu anayeshika nafasi ya CDF ni mwenye cheo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Australia aonya waAustralia wasijaribu kwenda pigana na majeshi ya Russia nchini Ukraine

    Waziri Mkuu wa Australia kawaonya raia wa nchi yake wasijaribu kusafiri kisirisiri kwenda kupewa silaha na rais wa Ukraine ili kupigana na majeshi ya Russia. Onyo hilo la Waziri Mkuu limejiri baada ya rais wa Ukraine kuomba msaada wa raia wa nchi nyingine waende Ukraine wakasaidie kupambana...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Idara za usalama za dunia na majeshi ya mataifa makubwa on High Alert, Pray for World

    Hali imebadilika katika uwanja wa mapambano Euro wamefunga anga lao kwa ndege aina yeyote ya Russia. Marekani anaenda kutangaza jambo zito kwa dunia usiku wa leo. Russia ameviambia vikosi vyake vya silaha za maangamizi kuwa tayari. Wakati hayo yanatangazwa German na Euro wanapeleka vifaa vya...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Urusi v Ukraine: Marekeni yaongeza majeshi katika nchi za NATO. Wanajeshi 7,000 kwenda Ujerumani

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameagiza Wanajeshi 7,000 kupelekwa Ujerumani ili kuweza kusaidia kuimarisha kuzuia uvamizi wa Majeshi ya Urusi Wanajeshi hao pamoja na Vifaa wezeshi wataenda Ujerumani kuwahakikishia Washirikia wa NATO kuzuia uvamizi wa Urusi na kujiandaa kuunga mkono matakwa...
  17. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Bunge la Urusi lamruhusu Rais kupeleka majeshi mahala popote Duniani

    Bunge la Urusi limempa Rais wa n hi hiyo nguvu ya kupeleka majeshi yake mahala popote Duniani pale itakapo hitajika. Bunge hilo limefikia uamuazi wake Leo 22.02.22 siku moja mara baada ya Urusi kuyatambua majimbo yaliyokua yanapigania kujitenga na Ukraine. Kwa mtazamo wangu hii nayo ni moja ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

    Rais Putin asaini waraka wa kuamuru majeshi ya Russia kuingia Ukraine kulinda amani ktk majimbo-yenye-uasi ya Luhansk na Donetsk Rais Vladimir Vladimirovich Putin wa Russia amesaini tamko rasmi/ decree kuamrisha majeshi ya Russia kuingia nchi Ukraine katika majimbo Luhansk na Donetsk, ambayo...
  19. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa baadhi ya majeshi ya Urusi yaliyokuwa Belarusi kwa ajili ya mazoezi ya Kijeshi yaanza kurudi, baada ya mazoezi kuisha

    Urusi na mahodari Sana wa mchezo unaotumia akila Sana wa CHESS. Wamefanikiwa kuzima propaganda za west kuwa Urusi ingeweza kuivamia Ukraine ndani ya mda mfupi Sana. Urusi tayari imefanikiwa kupeleka ujumbe kwa west kwamba kwa ajili ya kulinda usalama wake iko tayari kwa lolote like,kuharibu...
  20. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Urusi kupeleka majeshi yake na silaha nzito nchini Cuba na Venezuela kama Marekani itaendelea na kujiingiza Ukraine

    Huenda dunia ikarudi tulikotoka 1962,baada ya uoga wa Marekani dhidi ya USSR na kuamua kupeleka silaha za nyukilia nchini uturuki ili kuivizia USSR, nayo USSR haikua mvivu, ikapeleka silaha zake nzito nchini Cuba ili kuidhibiti Marekani. Leo Tena Marekani na mpango wake wa kutaka kuikaribia...
Back
Top Bottom