majeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Video: Mkuu wa Majeshi Mstaafu Tanzania, Jenerali Mabeyo aonekana akiwa na Papa Francis

    CDF mstaafu General Venance Mabeyo ameonekana ktk video clip iliyosambaa mitandaoni toka juzi aliwa Kanisa la Mt Petro akishiriki shuguli kadhaa za Kikanisa Nchini Vatican. Pamoja naye anaonekana na baadhi ya Maaskofu kutoka Tanzania na masister Haijafahamika zaidi ni shughuli gani lakini...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Zelensky athibitisha kuwa Bakhmut yote imetekwa na Urusi

    Deutsche Welle (DW) ya Ujeumani yaripoti kuwa Zelensky amethibitisha kuwa mji wa Bakhmut wote umeshatekwa na majeshi ya Urusi. Hayo yamejiri leo jumapili wakati Bwana Zele alipokuwa kwenye mkutano wa G7 na mabosi wake ambapo mabosi wake walimuuliza Zele kama Ukraine inamiliki walau kamtaa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Majeshi yakubaliana kusitisha Mapigano kwa saa 72 nchini Sudan

    Pande mbili zinazopigana Nchini Sudan zimefikia makubaliano hayo mapya ikiwa ni kutokana na majadiliano yanayoshinikiwa kutoka Mataifa ya Marekani, Uingereza, Umoja wa Mataifa na Nchi majirani. Sitisho hilo liliwekwa ili kuruhusu wananchi kuondoka pamoja na shughuli za kuwaondoa Raia wa Nchi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge wakemee kwa nguvu zote kigezo cha kujiunga na majeshi kwa sharti la kupitia JKT

    Kuna kitu hakiko sawa katika ajira za Tanzania hasa kwenye upande wa ajira za majeshi. Hivi walioweka kigezo cha mtu ili apate nafasi ya Uhamiaji, JWTZ, Police, Magereza, na Fire eti lazima awe amepitia JKT waliwaza nini na kwa manufaa ya nani? Kama tujuavyo siyo kila mtu au mhitimu yeyote...
  5. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Watanzania wenye asili ya Asia kwenye majeshi yetu kunasababishwa na nini?

    Hi? Nimekuwa nikijiuliza bila ya kupata majibu hivi hawa Watanzania wenzetu wenye asili ya Arabu na India mbona siwaoni jeshini sio Tanzania bara wala visiwani.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Uganda imesema itapeleka majeshi kwenda kuilinda Urusi dhidi ya mabeberu endapo uhitaji ukitokea

    General Muhoozi wa Uganda ameapa kuwa Uganda itapeleka vikosi vya wanajeshi wake kwenda kuilinda Urusi endapo mabeberu watatishia usalama wa Russia, the mother land. Marekani imesikitishwa na msimamo wa Uganda kuisapoti Urusi hadi kuwa tayari kupeleka wanajeshi wa Uganda huko Ukraine. Ikumbukwe...
  7. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa vijana kuwa na uzalendo na kufundishwa uzalendo wanapojiunga na majeshi ya ulinzi na usalama

    Kwanza nitoe pongezi kwa majeshi yote ya ulinzi na usalama kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na mipaka ya nchi yetu, Huu ni mtazamo wangu kwa jinsi ninavyotazamia haya masuala ya ulinzi na usalama. Kuna jambo ambalo kama serikali inabidi ilizingatie kwa maslahi mapana ya taifa, Jambo...
  8. Trubarg

    JamiiForums Tanzania UAE SWAT challenge, mbona Majeshi yetu hayashiriki?

    Haya ninmashindano ya umahiri katika uokoaji, yanahusika MAJESHI mbalimbali na tactical units. .wenzetu Kenya kwa mwaka huu wamepeleka vikosi vitatu, nchi zingine zilizopeleka MAJESHI Yao ni Rwanda, South Africa .nk. Nashauri MAJESHI YETU yawe yanashiriki pia Ili kujipima uwezo wao...
  9. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania itapeleka majeshi DRC?

    Kufuatiwa mgogoro wa DRC/Congo dhidi ya M23 ambao umepelekea nchi wanachama wa Africa mashariki kupeleka vikosi vyake kupambana na kundi hilo la kiasi ambalo DRC inaishutumu Rwanda kulisupport kifedha, kiinteligencia na kijeshi. Mpaka sasa nchi 5 kati ya 7 zimepeleka majeshi yake DRC /Nchi zote...
  10. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi nchini amesema nchi ipo salama

    Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini jenerali Jacob John Mkunda amesema Tanzania ipo salama. Jenerali Mkunda ameyasema hayo leo mjini Songea katika kikao cha kawaida cha makamanda wa vikosi kilichofanyika katika Brigade ya Kusini mjini Songea.
  11. marehem x

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa majeshi na vita. Menes Tarimo alikuwepo kwenye sanduku??

    Ni msiba wa yule jamaa aliyepigana vita nchini Ukraine. Hiv atakuwepo kweli au
  12. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Hongera Masuguri Mkuu wa Majeshi Mstaafu kwa kuongeza umri miaka 103

    Leo tarehe 4 Januari 2023, Mkuu wa zamani wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Jenerali David Musuguri ametimiza miaka 103 ya kuzaliwa, Jenerali alizaliwa tarehe 4 January, 1920. Ktk siku ya leo Watanzania tunakupongeza na kukuombea sana kwa Mwenyezi Mungu akupe Afya na Maisha Marefu zaidi na Zaidi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Sudani ya Kusini yaelekea Mashariki ya Congo kulinda amani

    ..Naona Jumuiya ya Afrika Mashariki imedhamiria amani ipatikane Congo. ..Sudani ya Kusini naye imetoa wanajeshi wake kwenda Congo kulinda amani.
  14. Gama

    JamiiForums Tanzania Wakati Zambia wakimlilia Kijana wao Nyirenda aliyefia vitani Ukraine; mzaliwa wa Rwanda aachiwa na majeshi ya Urusi

    Mzaliwa wa Rwanda Suedi Murekezi ambaye inasemekeana kuwa ni - US airforce veteran alikamatwa na majeshi ya urusi katika mwezi June akiwa nchini Ukraine ni mmoja kati ya askari 64 wa Ukraine walioachiwa na majeshi ya Urusi kupitia SWAP ya mateka wa kivita wa pande zote mbili. ===============...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zelensky anafurahia majeshi yake kuingia Kherson: Ukweli ni kwamba hawajaukomboa lakini Urusi imeamua kuuachia

    Rais Zelensky wa UKraine na mataifa ya magharibi kwa ujumla wanashangilia sana majeshi ya ukraine kuingia kwenye mji wa kherson wakidai wameukomboa. Lakini ukweli ni kwamba hawajaukomboa ila majeshi ya urusi yalitangaza kitambo kuwa yatauachia mji huo. Kwanza Ukraine wal;ikuwa hawaamini kama...
  16. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Urusi yaukimbia mji wa kherson.

    Wizara ya ulinzi ya urusi imesema majeshi yake yanajiondoa katika mji huo ili kupunguza madhara kwa vikosi vyake na kuokoa maisha ya raia wake. urusi iliuchukua mji huo kutoka ukraine kupitia kura ya maoni mwezi uliopita ya kujitenga na ukraine. ukiani haiitambui kura hiyo na imesema itatumia...
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kenya kuungana na majeshi mengine ya EA kwenye kufurusha majeshi ya M23, Drc kaskazini.

    It's so complicated, kwa mujibu wa BBC, Majeshi ya M23 yanayodhaniwa kufadhiliwa na Rwanda ambayo ni miongoni mwa nchi za EA, Hili limekaaje , na kwanini EA, Isimkaripie Rwanda kuacha kufadhili waasi hawa ambaye ni mwanachama wao.
  18. T

    JamiiForums Tanzania Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

    Rwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi wa Rwanda kwa madai ya DRC kwamba serikali ya rais Paul Kagame inawaunga mkono waasi wa M23. Msemaji wa serikali ya Rwanda, Alain Mukurarinda amesema kwamba “wakiamua...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab auawa na majeshi ya Marekani nchini Somalia

    Majeshi ya Marekani yamefanikiwa kumuua kiongozi muhimu wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab nchini Somalia. Kikundi hicho cha kigaidi kina mafungamano na kikundi cha kigaidi cha Al Qaeda ambaye kiongozi wake mkuu Bw. Osama bin Laden naye aliuawa nchini Pakistan na vikosi vya vya jeshi maalumu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Urusi yaendelea kutema moto; leo imeteketeza vituo vya kamandi za jeshi la Zelensky, na miundombinu ya nishati za Ukraine

    MK254 , huyu kamanda wetu mpya Sergei Surovikin ni ukoma aisee... Leo jumanne pia kampelekea moto mkali Zelensky kama nyongeza ya kisasi juu ya vitendo vyake vya kigaidi vya kulipua daraja la Crimea. Mvua za makombora ya leo zimechoma vituo vya kamandi za jeshi la Zelensky na miundombinu ya...
Back
Top Bottom