Mzozo wa Urusi v Ukraine: Marekeni yaongeza majeshi katika nchi za NATO. Wanajeshi 7,000 kwenda Ujerumani

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,402
Rais wa Marekani, Joe Biden ameagiza Wanajeshi 7,000 kupelekwa Ujerumani ili kuweza kusaidia kuimarisha kuzuia uvamizi wa Majeshi ya Urusi

Wanajeshi hao pamoja na Vifaa wezeshi wataenda Ujerumani kuwahakikishia Washirikia wa NATO kuzuia uvamizi wa Urusi na kujiandaa kuunga mkono matakwa mengine katika ukanda huo dhidi ya Urusi

Hatua hiyo inamaanisha jumla ya Wanajeshi 12,000 wamepelekwa au wameamrishwa kupelekwa Ulaya kutoka Marekani na Wanajeshi wengine 2,000 wa Marekani waliokuwa Ulaya wamesogea karibu na Mashariki kwa nchi za NATO

Wanajeshi hao wanajiunga na wengine 80,000 waliokuwepo Ulaya. Wanajeshi hao pamoja na Wanajeshi wa nchi Wanachama wa NATO walioko Ulaya wanafikisha idadi ya zaidi ya Wanajeshi Milioni 2
======


President Joe Biden has directed that 7,000 U.S. service members be deployed to Germany to enhance deterrence of Russia. 

Secretary of Defense Lloyd J. Austin III has ordered the deployment of those 7,000 service members. The major unit in this tranche of troops is the 1st Armored Brigade Combat Team, 3rd Infantry Division, Fort Stewart, Georgia, said a senior defense official speaking on background. 

Enabling units will also deploy. The troops will be going to Germany "to reassure NATO allies, deter Russian aggression and to be prepared to support a range of other requirements in the region," the official said.  

This means some 12,000 U.S. troops, total, have deployed or been ordered to deploy to Europe from the United States and another 2,000 troops in Europe who have moved closer to NATO's eastern flank. They join 80,000 U.S. service members based in Europe. Adding in the service members of NATO members on the continent, this brings the number to more than 2 million, the official said. 

Some of the U.S. troops deploying are from the group Austin put on a heightened state of readiness in January, the official said.  

The troops will deploy to Germany initially, the official said. They could be repositioned to other NATO countries as needed. "We expect them to depart [the United States] in coming days," the official said. 
 
Nadhani nipo uninformed...,
Did Russia ever say he wants to attack NATO ?
Deterrence of Russia to where ?

After all this was what Russia was always against NATO to settle in UKRAINE just as US would have raised alarms if Russia forces would have been stationed in Cuba.....

The Cold War is getting Warmer....
 
Kitakachotokea mwishoni Putin atakuja kuvamiwa kwakwe mwenyewe na NATO ,Asijione ni bingwa
 
Hizo ni mbinu za kujikosha kwenye uso wa dunia kuonyesha wako active na hii vita..... waache uoga waende Ukraine wakamuokoe dogo kabakiwa na mji mmoja tu wa kyiv yote imekombwa na russia
 
Propaganda TU,
Wanahofu Putin atawatwanga na majirani zake ukraine
 
Hizo ni mbinu za kujikosha kwenye uso wa dunia kuonyesha wako active na hii vita..... waache uoga waende Ukraine wakamuokoe dogo kabakiwa na mji mmoja tu wa kyiv yote imekombwa na russia
Zelensky kabakwa bila kilainishi
 
Kitakachotokea mwishoni Putin atakuja kuvamiwa kwakwe mwenyewe na NATO ,Asijione ni bingwa
Hivi unafikiri ni rahisi hivyo.. russia wamejiandaa na vita ya kumtafuta USA kwa miaka 70.. US anajua hilo ndo maana kila mahali anapotia maguu akitokea tu russia US anayeyuka.. refer kule Syria na venezuela.. ko hawezi kabisa kumvamia urrusi..
 
Hizo ni mbinu za kujikosha kwenye uso wa dunia kuonyesha wako active na hii vita..... waache uoga waende Ukraine wakamuokoe dogo kabakiwa na mji mmoja tu wa kyiv yote imekombwa na russia
Hapa sio kuhusu capability..., hapa ni kuhusu consequences..., kitendo ya NATO / US kuingia moja kwa moja its an all out War jambo ambalo litakuwa point of no return....

Bora Russia ana kisingizio kuwaokoa na kuwalinda Pro Russians waliopo kwenye majimbo machache ya Ukraine na wanaotaka kuwa under Russia..., Na mwisho wa siku Russia yupo ready watu wapige kura na waamue ni wapi wanataka kwenda....

US / NATO itaendelea na Vita vyake vya Propaganda (which most of the time works) hao Ukraine na maisha yao kuwa disrupted no one cares....
 
Hivi unafikiri ni rahisi hivyo.. russia wamejiandaa na vita ya kumtafuta USA kwa miaka 70.. US anajua hilo ndo maana kila mahali anapotia maguu akitokea tu russia US anayeyuka.. refer kule Syria na venezuela.. ko hawezi kabisa kum amiable urrusi..
Sio Russia, US wala China ambao wapo tayari au wanafurahi Vita between them...., the costs are huge...., tena huenda kuna baadhi ya US people wanafurahia hizi sanctions, na Russia kuwa starved inawapa opportunity.....

Unadhani CUBA akiamua kumkaribisha Russia pale ingawa haina uhusiano wowote na US (USA watasemaje) ? This is beyond black and white.., there are so many grey areas
 
Back
Top Bottom