Idara za usalama za dunia na majeshi ya mataifa makubwa on High Alert, Pray for World

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,223
11,289
Hali imebadilika katika uwanja wa mapambano Euro wamefunga anga lao kwa ndege aina yeyote ya Russia. Marekani anaenda kutangaza jambo zito kwa dunia usiku wa leo.

Russia ameviambia vikosi vyake vya silaha za maangamizi kuwa tayari. Wakati hayo yanatangazwa German na Euro wanapeleka vifaa vya kivita Ukraine.

UK hajaongea jambo lolote wala Marekani under carpert inasemekana mataifa haya pamoja na mataifa siwezi kuyataja wapo ktk vikao vizito vya siri.

Maana kule China nako kuna nuka while Korea kukiwa nako na harufu ya ICBM.... Test jana.

Ombea dunia, mimi tangu asubuh nasali
 
Hali imebadilika ktk uwanja wa mapambano Euro wamefunga anga lao kwa ndege aina yeyote ya Russia.
Marekani anaenda kutangaza jambo zito kwa dunia usiku wa leo...
Unashadadiashadadia mambo ya wengine kwa kufuatilia kwenye vyombo vya Habari vya magharibi nakujifanya unajua intelligence saaana.

You took the life of an innocent person. Your filthy dirty hands full of innocent blood.

Tunamtaka Ben wetu awe Hai au mfu. We just want to give our Ben a decent burial.

NYAU ww
 
Hali imebadilika ktk uwanja wa mapambano Euro wamefunga anga lao kwa ndege aina yeyote ya Russia.
Marekani anaenda kutangaza jambo zito kwa dunia usiku wa leo...
Kiduku aliona mbona Russia anapata all the attention na yeye amekuwa kama irrelevant/ignored? . Akaona ngoja arushe kombora moja kama kusema na mimi bado nipo :)

Putin naye akaanza tishia kwa nukes eti ooh, yule ambaye ata interfere atapata madhara makubwa hajawahi kuona. Waziri wa Mambo ya Nje wa France akamtolea uvivu akasema, huyu Putin hajui kuwa hata sisi NATO tuna nukes!!
 
Wahenga wamesema; "Ndugu wakigombana shika jembe ukalime wakipatana nenda ukavune".

Ukraine na Russia ni mtu na nduguye kihistoria--- NATO wazingatie jambo hilo ili kuepusha madhara makubwa kwani bora nusu shari kuliko shari kamili.
 
Unashadadiashadadia mambo ya wengine kwa kufuatilia kwenye vyombo vya Habari vya magharibi nakujifanya unajua intelligence saaana.

You took the life of an innocent person. Your filthy dirty hands full of innocent blood.

Tunamtaka Ben wetu awe Hai au mfu. We just want to give our Ben a decent burial.

NYAU ww
Ndugu yangu, haya si "mambo ya watu wengine". Likitokea la kutokea hubaki.
 
Back
Top Bottom