Nasikia Mkuu wa Majeshi huku Venezuela ameshapita umri wa kustaafu lakini bado yupo ofisini

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,267
2,519
Hivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!!

Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye kwenye ujenzi wa Taifa hilo.

Hii kitu ingetokea huko nyumbani Tanzania watu wangepiga kelele sana, Watanzania mjifunze kwa wenzetu huku!

Nisalimieni sana huko nyimbani, naskia Manara kahamia Yanga😂
 
Nisalimieni sana huko nyimbani, naskia Manara kahamia Yanga
Mimi nasikia mkùu wa hayo mageshi ndio ameshika usukani wa kuendesha hili gari
 
Venezuela ni Shiiida....Yaani Watu wake hawajielewi Kabisa..! Fikiria Mwenyewe inawezekana Vipi We Chairman anang'ang'ana na Kiti Mwaka wa ishirini lakini Watu wake Wamebung'aaa macho tu ...!
Venezuela ni kiboko hebu waza wananchi hawana haki na Nchi Yao!!!..imefikia Hadi huko Bungeni jamaa kaamua kupeleka Marafiki zake!!.. Venezuela ni Nchi nyingine yenye vituko Eti Vijana wa huko wao wanashangilia kila kitu hawajui zuri wala baya wao vigelegele tu!!..Eti nasikia huko mpangaji ndio analipa Kodi ya Jengo!!..Tena nasikia huko watoto wa Darasa la Saba huwa wanafaulu wote na baadhi hawajui kuandika wala kusoma!!
 
Venezuela bwana.
 
Attachments

  • 2921807_Spika_aicharukia_Serikali-_Makao_makuu_sasa_ni_Dodoma_mnatumia_fedha_vibaya_kwe.mp4
    13.2 MB
Venezuela hii Venezuela Mkuu? 😂😂😂😂😂
Hivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!!

Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye kwenye ujenzi wa Taifa hilo.

Hii kitu ingetokea huko nyumbani Tanzania watu wangepiga kelele sana, Watanzania mjifunze kwa wenzetu huku!

Nisalimieni sana huko nyimbani, naskia Manara kahamia Yanga😂
 
Hivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!!

Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye kwenye ujenzi wa Taifa hilo.

Hii kitu ingetokea huko nyumbani Tanzania watu wangepiga kelele sana, Watanzania mjifunze kwa wenzetu huku!

Nisalimieni sana huko nyimbani, naskia Manara kahamia Yanga
Rais wenu mwanaume au mwanamke?
 
Ingekuwa Tanzania ungeona dada mwingine mwenye matako makubwa anaitwa Besta akishangillia
 
Back
Top Bottom