Madhara ya Mitindo ya maisha Nowdays

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
357
621
Vijana wengi wa siku hizi wanaongoza kwa kwenda na Fashion kitu ambacho kinawafanya kukwepa majukumu kutokakana na madhara ya mitindo ya maisha

KUMBUKA: "Unaweza kukwepa majukumu, ila sio madhara ya majukumu unayoyakwepa"
 
Tusipangiane jinsi ya kuishi hunilishi hunivishi kwani vp!🤣🤣🤣

Wahafidhina mtateswa sana na hii mitoto ya 2000 bahati mbaya sana mmekubali kucheza ngoma yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom