DOKEZO Mamlaka za Uhamiaji tusaidieni Bukoba Mjini, kuna raia wa kigeni anatishia maisha ya watu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

DodomaTZ

Member
May 20, 2022
71
107
Jeshi la Uhamiaji Tanzania tunawashukuru kwa kazi nzuri, tunaomba msaada huku Bukoba Mjini, kuna jamaa mmoja raia wa Uganda anaishi Mtaa wa Kagondo, aliua mtu kwa kumchoma na moto, jamaa huyo ni Mwalimu wa chekechea anaitwa Karangwa Pascal.

Alikamatwa yuko Polisi Bukoba sasa hivi ni wiki mbili hajapelekwa Mahakamani, wanataka kumuachia arudi uraiani ili aendelee kututesa. Pia huyu Mganda anajifanya Mchungaji, akaanzisha Kanisa katika Wilaya ya Kamachumu Muleba anatapeli watu, anawanyang'anya ardhi zao.

Huyu jamaa ni katili sana kwa jamii, alibuni vitambulisho, anajiita Bimpenda, alikula njama na mzee mmoja wa Ngara kuwa ndiye baba yake.

Sisi kama wakazi wa Rwamishenye, Mtaa wa Kagondo tunaomba Uhamiaji mtusaidie mhamiaji haramu anatutesa majirani zake, anatushikia mapanga kutishia kutuua.

Mtusaidie, ataendelea kutuua atumalize. Mganda huyu ni tapeli, ni gaidi, ameshajimilikisha mali kupitia utapeli halafu ni katili sana kwenye vitendo vyake. Tunaomba msaada wa haraka kama ni kurudishwa arudishwe, yuko Polisi kwa kesi ya mauaji.
 
Jeshi la UHAMIAJI Tanzania tunawashukuru kwa kazi nzuri, tunaomba msaada huku Bukoba Mjini, kuna jamaa mmoja raia wa Uganda anaishi Mtaa wa Kagondo, aliua mtu kwa kumchoma na moto, jamaa huo ni Mwalim wa chekechea anaitwa Karangwa Pascal.

Alikamatwa yuko Polisi Bukoba sasa hivi ni wiki mbili hajapelekwa Mahakamani, wanataka kumuachia arudi uraiani ili aendelee kututesa, pia huyu Mganda anajifanya Mchungaji akaanzisha Kanisa katika Wilaya ya Kamachumu Muleba anatapeli watu, anawanyanganya ardhi zao.

Huyu jamaa ni katili sana kwa Jamii, alibuni vitambulisho, anajiita Bimpenda alikula njama na mzee mmoja wa Ngara kuwa ndiye baba yake.

Sisi kama wakazi wa Rwamishenye, Mtaa wa Kagondo tunaomba UHAMIAJI mtusaidie mhamiaji haramu anatutesa kama majiran zake, anatushikia mapanga kutishia kutuua.

Mtusaidie, ataendelea kutuua atumalize Mganda huyu, ni tapeli ni gaidi, ameshajimilikisha mali kupitia utapeli halafu ni katili sana, vitendo vyake, tunaomba msaada wa haraka kama ni kurudishwa arudishwe, yuko Polisi kwa kesi ya mauaji.
Kijiji chote wanaogopa kuuawa na mtu mmoja wanayemfahamu....

Halafu mnakuja na hoja lufufu kuwa wanaume wa Dar dhaifu🤣
 
Huyo mlitakiwa mmalizane nae wenyewe na sio kulalama !! Yaani mgeni anawasumbua kwenu kiasi hicho !!! Hili alikubaliki na sijui mnasubiri nini mpaka saa hii !!!
 
Nendeni mkalalamike pale Uhamiaji mkoa wa Kagera.

Hayo malalamiko yenu yanatosha kabisa mkiwa na ushahidi huyo mtu kufukuzwa nchini hata kama mahakama itamwachia huru kwa kuua bila kukusudia.

Ikiwa tu sio raia wa Tanzania maana wabongo mko vizuri kipengele Cha majungu na fitna.
 
Kijiji chote wanaogopa kuuawa na mtu mmoja wanayemfahamu....

Halafu mnakuja na hoja lufufu kuwa wanaume wa Dar dhaifu🤣
Sio kijiji chote jamaa ndie mwenye tatizo nae so anataka tatizo lake liwe la kijiji chote. We kamalizane nae bana.
 
Jeshi la Uhamiaji Tanzania tunawashukuru kwa kazi nzuri, tunaomba msaada huku Bukoba Mjini, kuna jamaa mmoja raia wa Uganda anaishi Mtaa wa Kagondo, aliua mtu kwa kumchoma na moto, jamaa huyo ni Mwalimu wa chekechea anaitwa Karangwa Pascal.

Alikamatwa yuko Polisi Bukoba sasa hivi ni wiki mbili hajapelekwa Mahakamani, wanataka kumuachia arudi uraiani ili aendelee kututesa. Pia huyu Mganda anajifanya Mchungaji, akaanzisha Kanisa katika Wilaya ya Kamachumu Muleba anatapeli watu, anawanyang'anya ardhi zao.

Huyu jamaa ni katili sana kwa jamii, alibuni vitambulisho, anajiita Bimpenda, alikula njama na mzee mmoja wa Ngara kuwa ndiye baba yake.

Sisi kama wakazi wa Rwamishenye, Mtaa wa Kagondo tunaomba Uhamiaji mtusaidie mhamiaji haramu anatutesa majirani zake, anatushikia mapanga kutishia kutuua.

Mtusaidie, ataendelea kutuua atumalize. Mganda huyu ni tapeli, ni gaidi, ameshajimilikisha mali kupitia utapeli halafu ni katili sana kwenye vitendo vyake. Tunaomba msaada wa haraka kama ni kurudishwa arudishwe, yuko Polisi kwa kesi ya mauaji.
Wahaya wote wa Kamachumu na Muleba mumemshindwa?
 
Back
Top Bottom