Nilikutana na mwenza wa maisha Dating sites

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,565
32,212
Katika harakati za maisha tunakutana na mengi. Maendeleo ya Teknolojia yametuletea hizo zinazoitwa dating sites.

Binafsi nilipata mwenza wa maisha Dating site (jina kapuni - Kwa kuzingatia sheria za JF) tumefunga ndoa, fungate Dubai Hadi Leo tunalea familia vizuri tu.

IMG-20230326-WA0010.jpg
 
View attachment 2708704
Demu wa dating site bongo Lazima ustuke. Rangi 2, full make-up, kigodoro, haelewek
 
Katika harakati za maisha tunakutana na mengi. Maendeleo ya Teknolojia yametuletea hizo zinazoitwa dating sites.

Binafsi nilipata mwenza wa maisha Dating site (jina kapuni - Kwa kuzingatia sheria za JF) tumefunga ndoa, fungate Dubai Hadi Leo tunalea familia vizuri tu.

View attachment 2708704
Hongeta mkuu, mpenzi apatikana popote
 
Hongera sana mkuu.

Ni kubadilisha tafakuri tu, watu tulioko JF ndio hao hao tuko mtaani, JF haina special species wake.

Kwa mantiki hiyo hata dating sites hazina special species wake, ndio sisi hawa hawa. Kama ni malaya ni malaya mtaani pia, kama sio malaya sio malaya.

Kwa watu ambao tuko busy sana na pilika pilika za maisha dating sites zimekuja kuturahisishia maisha kwa karibu 90%.

Watu wamezoea wanakutana bar, kanisani, kwenye sherehe nk, sasa tusioenda kanisani, kwenye sherehe ama vinginevyo dating sites zinatukutanisha kwa urahisi.

Mimi naweza kusema, kwa miaka 7 iliyopita, sijawahi date mwanamke ambae sijakutana nae kwenye dating sites, hakuna. Na wote naokutana nao ni watu wema kabisa, watu wazuri kabisa.

Mkuu nikutakie kila la heri.
 
Back
Top Bottom