maisha

  1. JamiiForums Tanzania Maisha ya miaka mitatu, Mtusi na Mnyaturu mkoani Morogoro

    TRUE STORY Hello members nipo hapa kushare true story inayonihusu mimi na mrembo wangu tuliopendana sana na jinsi tulivoishi kwa miaka mi3 morogoro mjini na mpka tulipoishia. Karibuni. Nitakuwa natumia codes za aina tofauti kulingana na ambacho nitatakiwa kuhide na mm nitatumia jina Camavinga...
  2. JamiiForums Tanzania Japo Maisha ni magumu ila unaweza kujifunza mbinu mbalimbali Kama kijana ili kupunguza ugumu wa Maisha.

    Kama kijana mahala popote ulipo hakikisha unayapambania mahusiano mazuri na watu wenye umuhimu kwako. Jinsi ambavyo unayapambia mahusiano ya kimapenzi ili yakupe short pleasure as the same pambana mara kumi yake kupambania kujenga mahusiano mazuri na watu wako wa muhimu. Usikubali mtu afahamu...
  3. JamiiForums Tanzania Mtiririko wa maisha yetu kwa ufupi!

    Huu ni mtiririko wa maisha yetu kwa ufupi! Upo katika hatua ipi? Wakati mwingine maisha ni ubatili! Tuishi kwa amani kwani tuna muda mfupi sana hapa duniani! Credit: Instagram.
  4. JamiiForums Tanzania Maisha ya Luhaga Mpina mashakani sana. Anakoelekea siyo kuzuri

    Namuangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania ambayo hata haina habari. Angejilia zake maisha....aaenjoy tu life na pesa za Ubunge anapata. Ana...
  5. JamiiForums Tanzania Sipingi Rashford kuenjoy maisha, ila kwenda kuparty baada ya kupigwa goals 3, daah!

    Kiukweli jamaa kazingua. Hapo sasa ndio tuje tuelewe mentallity za wachezaji waliopo katika hiki kikosi kisichoeleweka. Yeah they lose and they do not care
  6. JamiiForums Tanzania Utamu wa maisha..

    Ni pale unapovuta hewa safi yenye rutuba ambayo inapita kwenye mapafu yenye afya njema, huku moyo wako ukidundadunda kwa shangwe na mwili wako ukiwa tulivu bila kashkash!.. no stress, no harmful idea in you also no devil emotions!. Utulivu fulani hivi Hadi unausikia uti wa mgongo ume relax...
  7. JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha halisi ya familia zetu hasa msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jinsi ya kujitambua kuwa wewe ni paratrooper msimu huu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya 1. Ni pale vikao vya familia vitakapoanza bila kujali uwepo wako na vikaweza kuendelea hata ukisusa. 2. Ni pale utakuwa mtu pekee atakayehitajika wakitaka kuchinja mbuzi au kufanya shughuli yoyote...
  8. JamiiForums Tanzania Ni nani anayetaka kuweka maisha yake hatarini kwa sababu ya kuhoji tu?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Nauliza hili swali hapa, ila nina uhakika hakuna atakaekuwa tayari kujitokeza kunijibu. Hii ni kwa sababu wengi wanatumiwa ili mkono uende kinywani, lkn umafia wa yule anaewatumia wanaujua vizuri sana. Hapa nazungumzia ule upande wa kondoo kutembea kichwa chini...
  9. JamiiForums Tanzania Nimeamini Maisha si kombolela, nimepata akiba ya Tsh. Milioni 14.7 mwaka huu

    Mwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo...
  10. JamiiForums Tanzania Sehemu za kazi mtu anaweza akakuchukia tu akazuia kila fursa unayostahili!

    Ni maisha tu. Wanaoteuliwa kuwa Wakuu wa Vitengo au Idara wanajitahidi kuonyesha chuki zao na watendaji wa chini, wanadiriki kukutimba udidimie, ila Mungu ni Mkuu. Fikiria mtu akuchukie tu, tena idara za serikali ambapo anakuonesha waziwazi kukufungia vioo.
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa maisha

    Habari wana JF, Natafuta mwenza wamaisha umri kuanzia miaka 30, awe mwelewa, mcheshi, hofu ya Mungu, Upendo wa kweli, mahali popote, kabila lolote anakaribishwa. Mimi ni mwanaume mwenye umri miaka 38. Kazi nimejiajiri mwenyewe, dini ni mkristu. NB: Awe tayari kupima HIV.
  12. JamiiForums Tanzania Maisha ya Kamari yamefanya Vijana wawe wavivu, wazembe ,wasofanya kazi Kwa Bidii

    Vijana wakubet na Kamari wenyewe Hawa Cha kujishughulisha Tena na kufanya kazi. Atashinda Ndani Masaa 24 ni kula, kubet Kamari. Wenye Kazi nao, wamejikuta hawana Juhudi Tena ya kazi zao,kazi wanafanya tu ilimradi. Serikali ya Ovyo nayo inajisifu, Et Kamari imetengeneza Ajira asilimia. Taifa...
  13. JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii inatufanya tuishi maisha ya kufikirika, rasmi naanza maisha mengine

    Nilikuwa active sana mitandaoni, nilijifunza mambo mengi ya nadharia hacking hahahaha Online friends hahahaha. Affiliate marketing hahahaha. Nilivokuwa nazama zaidi kwenye mitandao na kutengeneza network ya watu wengi mtandaoni ndivyo upweke kwenye maisha ya kawaida ulivyoongezeka. Nimegundua...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa za utalii Zanzibar

    Maisha ya Zanzibar yapoje katika sector ya utalii, mim ni guide najua lugha kama English Kijerumani na Spanish, nianzie wapi kwaajili yakupata fursa Zanzibar?
  15. JamiiForums Tanzania Iringa: Jela maisha kwa kubaka na kumpa mtoto Ukimwi

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha mara mbili Mzee Selemani Gwabuga maarufu Msabato, sambamba na kulipa fidia ya shilingi milioni 25, kulipa faini shilingi milion 5 na kuchapwa viboko 11 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka Mtoto wa miaka 11 na kumuambukiza virusi vya...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa Mwili ule wa Kimbaumbau wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kumpeleka katika Oparesheni Kamata Jezi ni Kumhatarishia tu Maisha yake

    Tafadhali nawaomba Siku zingine msirudie tena au kama mnapenda awe anatumika katika Oparesheni zenu basi anzeni Kumlisha vyema ( Balance Diet ) ili Mwili wake uongezeke na mpeni Ratiba maalum ya kwenda Gym Kuujenga na Kuukomaza Mwili wake akienda tena katika Oparesheni zingine asiwe anapepesuka...
  17. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Kijana wa miaka 24 ahukumiwa jela maisha kwa kosa la kulawiti mtoto wa miaka mitano

    Mahakama ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Oktoba 25, 2023 imemuhukumu kifungo cha Maisha jela, Pius Stephano Mbunda (24) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Tingi Wilaya ya Nyasa baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume (5). Akisoma hukumu hiyo ya kesi ya Jinai Na 31 ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ni Aya au story gani katika quran au Biblia zilizokusaidia wakati wa shida au kufaulu mitihani ya maisha?

    Lengo la hivi vitabu ni kukusaidia kuvuka hatua moja ya chini kwenda nyingine bora ya juu. Vikitumika nje ya hapo ni matumizi mabaya. Mimi Aya hii iliwahi kunisaidia kipindi ninaumwa na sikuwa na msaada wa karibu. Nilipona bila kwenda hospitali nikiamini Kila ninachokula na kunya hata kama...
  19. JamiiForums Tanzania Sipendi kuonekana mbaya kwenye maisha

    Lakini ili la leo limenisikistisha zaidi, though muhusika nimemuelekeza huku nacheka, kuna staff mwezangu anafikaga kuiacha familia yake home kwangu mimi naishi karibu na maeneo ya kazi, dah wananipa mazingira magumu sana jamani. Tuliwaigi kufanya dili la elfu 60,000 yeye ndo alifanya dili...
  20. JamiiForums Tanzania Kuwa na mzazi wa namna hii ni zaidi ya kero

    KUWA NA MZAZI WA NAMNA HII NI ZAIDI YA KERO. "NIMEKUBALI LAANA YA BABA" Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kijana mmoja tumekuwa tuliwasiliana Kwa takribani mwezi sasa. Amekuwa akiniomba msaada wa ushauri wa namna ya kukabiliana na yale yanayomkabili ambayo kwake anayaona kama ni matatizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…