hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 853
- 2,037
Nilikuwa active sana mitandaoni, nilijifunza mambo mengi ya nadharia
hacking hahahaha Online friends hahahaha. Affiliate marketing hahahaha.
Nilivokuwa nazama zaidi kwenye mitandao na kutengeneza network ya watu wengi mtandaoni ndivyo upweke kwenye maisha ya kawaida ulivyoongezeka.
Nimegundua kuwa nakosa interaction na connection in real life, sasa nafuta baadhi ya social media, nikiwasha data mara mbili kwa siku inatosha.
Natengeneza real friends, nahudhuria maeneo yenye mikusanyiko kama church. Nimeona hii angalau itapunguza uraibu wangu wa mitandao., Itapunguza introversion level yangu pia.