Utamu wa maisha..

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,223
56,875
Ni pale unapovuta hewa safi yenye rutuba ambayo inapita kwenye mapafu yenye afya njema, huku moyo wako ukidundadunda kwa shangwe na mwili wako ukiwa tulivu bila kashkash!.. no stress, no harmful idea in you also no devil emotions!.

Utulivu fulani hivi Hadi unausikia uti wa mgongo ume relax, akili imeswafika na hujala kuvimbewa halafu ka Hali ka hewa kaubaridi kasiko kera!.. na ndipo hapo mtu unaamua kula burudani tamutamu kama hii...



Mziki mtamu unapita masikioni mpaka kwenye mifupa nakufika mpaka kwenye seli za damu...😂
Ukiwa kwenye hii hali kusema kweli uhai ni mtamu!..

Enjoy unapoweza ku enjoy mengine yakikushinda yawache kama yalivyo, walimwengu wana mengi nyie. Pumua pumzi yako swafi bila hofu maisha mafupi haya jamani.

 
Kuna UTI sugu mkuu halafu Kuna sindano za ng'ombe...😂
😂 😂 😂 majuzi wakati nasaliti chama, "kanyonya kanyonya weee, ikasimama vyema, akataka kuikalia, ghafla nikakumbuka Azuma, nikaweka mkono kukwepa isiingie, nikasema condom iko wapi ? akamwambia mwenzie azilete"
mchezo ukaendelea
 
😂 😂 😂 majuzi wakati nasaliti chama, "kanyonya kanyonya weee, ikasimama vyema, akataka kuikalia, ghafla nikakumbuka Azuma, nikaweka mkono kukwepa isiingie, nikasema condom iko wapi ? akamwambia mwenzie azilete"
mchezo ukaendelea
Ungeisha kibiriani...😅
 
Mkipigika ndio mnakuwa motivesheni spika eti oooh nyama Ina kolestro sana,mara muziki mtamu,...kupigika Kwa zamu mkuu.
 
Kuna Mheshimiwa mmoja aliwahi kusema "Ukipata shilingi 100,000 basi hakikisha shilingi 70,000 unakula maisha alafu 30,000 ndiyo ufanyie maendeleo".

Kwa niaba ya Wazee wenzangu, naunga mkono hii kauli.

Mwili haujengwi kwa tofali 🤗
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom