Japo Maisha ni magumu ila unaweza kujifunza mbinu mbalimbali Kama kijana ili kupunguza ugumu wa Maisha.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,001
45,511
Kama kijana mahala popote ulipo hakikisha unayapambania mahusiano mazuri na watu wenye umuhimu kwako.


Jinsi ambavyo unayapambia mahusiano ya kimapenzi ili yakupe short pleasure as the same pambana mara kumi yake kupambania kujenga mahusiano mazuri na watu wako wa muhimu.

Usikubali mtu afahamu wewe ni mtu wa kuomba na kutangaza habari za shida , no unaweza ukawa unaishi mtaani kwako hakikisha unakuwa na duka lako moja ambalo unanua kila kitu hapo na kukopa ,hii itakufanya ujiondoe kwenye kundi la kukosa chakula na kulala na njaa.


Kumbuka ili mtu akukope unabidi kuwa na mahusiano naye mazuri ikiwemo kuheshimiana ,na kumuungisha mara kwa mara .

Watu wako wa kazini au wateja wako wako katika Biashara ishi nao vizuri kwa kuwaonyesha unawathamini na kuwajali .

Hakikisha unajiondoa katika kundi la watu wanomba hela ukipenda kuwaomba hela watu basi watu wataanza kutoshika simu zako we omba kazi tu .

Kuhusu Mwanamke Kama kijana wa kiume Wanawake kwanza hawanaga huruma na mtu so usitegemee kujiingiza bila mikakati na ukadhani utatoka salama . Kuna vijana wengi tatizo lao la afya Akili limeanzia huko na leo wamepoteza kila kitu na kufa huku bado unaishi.

Kumbuka Afya yako ya Akili ndo kila kitu, then kuwa imara kiroho Sana
 
nchi imekuwa ngumu hii kutokana nasisi vijana kuwa wazembe.
kilo yanyama shilingi elfu kumi nawatu bado hawastuki tuu.

kwamba tumeshindwa hadi kufuga kwawingi ili angalau tupate Mlo wanyama japo kwawiki mara mbili?

kunawengine nyama tuu mwezi unapita hawajala
Unaweza Kununua nusu au robo

Pia tatizo la Afya Akili ni kubwa Sana hivyo hata Kama utapata hela unajikuta haujui vipaumbele vyako ni vipi Katika MAISHA.
 
Vijana tunasubiri tuwezeshwe ,

Ingali tunamtegemea atuwezeshe naye anasubiri awezeshwe na waarabu wa DP
 
NAKAZIA
Ila hawatakuelewa, Nguvu ya Genye na mvua hizi, unapigia mbuzi gitaa
😤
20231105_104402.jpg
 
Back
Top Bottom