maisha

  1. JamiiForums Tanzania Siasa ni maisha

    Ni ukweli kuwa baadhi ya vijana wengi nchini kutokana na ukosefu wa ajira, wamepelekea kuwa wafuasi wa baadhi ya vyama vya siasa kwa lengo la kutarajia kupata ajira
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kumpa hela mama mkwe wako wa zamani ni sawa au niache kabisa kujipendekeza?

    Wakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takribani mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana kwa mambo fulani fulani ambayo sioni haja ya kuanza kuwachosha kuyaelezea. Ila sasa mama yake alikuwa ni mtu mwema kwangu kiasi kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Kupanga ni kuchagua, msinipangie maisha

    Nipo tu naenjoy bonge la flat screen
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini ndege za Abiria hazina "Ejection Seats" kama ndege za kivita kusaidia kuokoa maisha ikitokea ajali?

    Ndege za kivita "fighter jets" na baadhi ya Helicopter za kijeshi zina seat special za kuokoa maisha ya rubani na crew member wengine ikitokea ndege imepata tatizo kubwa litakayopelekea kuanguka. Kwahiyo rubani ata activate mechanism ya kueject, sehemu ya juu ya ndege itafunguka na kisha seat...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Vijana Acheni Maisha ya Gharama Kubwa Mkipata Fursa za Ajira

    VIJANA ACHENI MAISHA YA GHARAMA KUBWA MKIPATA FURSA ZA AJIRA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewasihi vijana wenye taaluma za Kihandisi kujipanga, kuwa na subira pamoja na utayari wa kujitoa, sambamba na kuacha kuishi maisha ya gharama kubwa na yenye tamaa mara tu wapatapo...
  6. JamiiForums Tanzania Njoo ufunguke kitu kinachokupa wakati mgumu

    Habari za mchana marafiki zangu wa Faida njoo UFUNGUKE Ka Kero kanakokupa WAKATI MGUMU katika harakati zako za kila siku Mimi kwakweli Nina KINYAA SANA mwepesi mno kutapika sasa kitu kinachonipa WAKATI MGUMU nikawa harakati njaa ikauma nikaona nitafute genge au mgahawa nikikuta wahudumu na...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha ya Ndoa Takatifu: Changamoto na suluhisho katika jamii ya kisasa

    UTANGULIZI. Maisha ya ndoa takatifu yanamaanisha maisha ya ndoa ambayo yanafuata na kuheshimu misingi ya dini, imani, na maadili ya kiroho. Mwanza tuangazie mambo kadhaa muhimu: 1.Uaminifu. Wanandoa wanapaswa kuwa waaminifu kwa kila mmoja katika kila hali. Uaminifu hujenga imani na heshima kati...
  8. JamiiForums Tanzania Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
  9. JamiiForums Tanzania Kwenye maisha Kuna mambo lazima ukubali kua huna na huwezi kuyapata KAMWE.

    Ushawahi sikia watu wanaitwa "resentful" ? Hawa ni watu ambao kuna vitu hawana, wengine wanavyo, wao wanaamini wangepaswa kua navyo, sasa matokeo yake wanakua na chuki na husda. Ni lazima ukubali kua kuna mambo huna na huwezi kuanayo au kuyapata asilani. Kwa mfano 1. Muonekano wako, kama we ni...
  10. JamiiForums Tanzania Uzinzi/ Uasherati ni gharama!

    Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno! MOJA WAPO YA GHARAMA YA UZINZI/UASHERATI! 1. Gharama ya Vyumba vya kufanyia Uzinzi/Uasherati wenu 2. Gharama za vyakula vya watu wawili (Chako nacha Mzinzi/Muasherati mwenzio) 3. Gharama za vinywaji vya watu wawili ( Vyako navya Mzinzi/Muasherati...
  11. JamiiForums Tanzania Wewe ni Wewe!

    🫵Wewe ni wewe katika maisha ni wewe ukilia ni wewe ukifurahi ni wewe ukibakwaa ni wewe maana kila kitu kipo juu yako ni wewe. 🫵Ukiwa bora ni wewe ukishindia dagaa ni wewe jikubali katika haya maisha ni wewe acha kudandia mtumbwi ambao sio wako wewe. 🫵Naongea na wewe maana unaiga maisha yana...
  12. JamiiForums Tanzania Matukio yaliyowahi kutokea katika Maisha halisi ukaamini uwepo wa Mungu

    Ndugu Wana JF, Nataka tushirikishane kuhusu matukio ambayo yaliwahi kutokea yakafanya niamini uwepo wa Mwenyezi Mungu. Mimi binafsi, kama muumini wa dini ya RC, kuna kipindi mdogo wangu aliwahi kusumbuliwa sana na ushirikina. Kwa kuwa imani yangu ilikuwa 50 kwa 50, nilikuwa nampeleka mpaka kwa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tatizo la Afya ya Akili linapaswa kuchukuliwa kwa umakini ili kuokoa maisha ya vijana

    Afya ya akili ni ule uwezo wa mtu kuweza kuendana na Hali ya maisha ya Kila siku kuanzia kufiri Hadi utendaji wake wa kazi. Inapokuwa ni tatizo la afya ya akili,hapo akili inakua imeathiriwa mfumo wake wa utendaji kazi,mfumo wa maisha na hata tabia hubadilika. Tatizo hili limekua ni mwiba kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwangu mimi naona mbona maisha mazuri tu

    Mimi bwana sometimes naona kama mfumo tuliopo mzuri kiasi fulani kwani mbona watu wanafanya wanakula, na bado wanacheka na bado wanashabikia mpira na bado wanaenda kule Dubai. Mbona kama mambo yamekuwa mazuri jamani si tukubali tu au unaweza kuhisi labda nina tatizo la stress.. Hapana...
  15. JamiiForums Tanzania Sikuwahi kutegemea haya, hatimaye leo yamenikuta

    Wakuu habari ya muda huu. Sisi wengine kama ilivyo kwa wengi, hapa ndipo pa ku-share issues tunapohisi ku-release baadhi ya mambo yakituzidia. Mchana wangu umeharibika ghafla sana.😅 Kulingana na tides za kibiashara safari hii (ofcourse ni mambo ya kawaida tu), landlord wangu hatimae leo...
  16. JamiiForums Tanzania Maisha ya Hamis Kichwa yanasikitisha sana baada ya kustaafu kazi ya Polisi

    Angalizo:- Habari hii ni sanaa ya picha na haiendani na uhalisia wa maisha, Wala jina la mtu yoyote. Hamis Kichwa, alikuwa maarufu sana hapo Oyster Bay Police akisifika kwamba ndiye Israel mahiri kwa majamba konki ambao inatakiwa tu watangulizwe. Hamis Kichwa mtu wa Tanga, alikuwa anasifika...
  17. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ilegeze kamba maeneo yafuatayo kuchochea kasi ya ukuaji uchumi nchini na kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi

    UTANGULIZI Toka Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) kupata uhuru bado matatizo makuu ya nchi ni yale yale Ujinga, maradhi na umaskini, bado hakujawa na mikakati toshelevu yenye kuchochea mabadiliko chanya ya kasi kukabiliana na matatizo hayo na kulipeleka taifa mbele kiuchumi kwa kasi kama Mataifa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maisha ni safari kadri unavyosimama sana vituo visivyo vyako ndivyo unavyojiongezea kuchelewa kufika

    UKIANZA KUFANYA MAMBO KUKIMBIZANA NA UMRI JUA KUNA KITUO SIO CHAKO ULISIMAMA SANA Akitokea mtu anakwambia alimaliza shule ya msingi na miaka 20 jambo la haraka ambalo kama usipomuuliza basi utajiuliza ni hili "KIPI KILIMCHELEWESHA? MAISHA NI SAFARI KADRI UNAVYOSIMAMA SANA NDIVYO...
  19. JamiiForums Tanzania Tafuta fedha, elimu na cheo lakini usisahau kuwa maisha ni ubatili, acha kujitesa kwa vitu vipitavyo

    • Kiasi cha fedha unachokisotea kuna watu walizishika na wengine ni fedha ya kuhonga au ya kufanyia birthday tu. • Elimu unayoisotea kuna mtu atakupa karatasi kwamba umehitimu, maana yake yeye alishapita hiyo level na hakuridhika nayo. • Cheo kikubwa duniani kwasasa ni Urais, ni cheo ambacho...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ni safari kadri unavyosimama sana ndivyo unavyojiongezea kuchelewa kufika

    UKIANZA KUFANYA MAMBO KUKIMBIZANA NA UMRI JUA KUNA KITUO SIO CHAKO ULISIMAMA SANA Akitokea mtu anakwambia alimaliza shule ya msingi na miaka 20 jambo la haraka ambalo kama usipomuuliza basi utajiuliza ni hili "KIPI KILIMCHELEWESHA? MAISHA NI SAFARI KADRI UNAVYOSIMAMA SANA NDIVYO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…