maisha

  1. herzegovina

    JamiiForums Tanzania Mtandao, mtandao, mtandao. Je tumekabidhi maisha yetu kwa mtandao?

    1. Mshkaji wako amekukopesha pesa umrudishie baada ya wiki moja. Anakusisitizia kuwa hakikisha unamlipa kwa wakati kwa kuwa anataka kupeleka mtoto shule. Siku inafika, bahati mbaya unakuwa kwenye kikao kizito ofisini kwenu kinachochukua muda mrefu sana mpaka simu yako inazima. Jamaa kila akipiga...
  2. CONTROLA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Diamond : Sina ujinga wa kununua nguo Milioni 6 au 7 katika maisha yangu yote ila kwa Harmonize ni tofauti

    “Harmonize ana nguo ameshanunua kwa gharama ya Tsh. Milioni 6-7 na zipo zimekaaa kabatini, kitu ambacho mimi katika maisha yangu yote sijawahi kukifanya na wala ujinga huo kwanza sina” Hayo sio maneno yangu mimi ni maneno ya Diamond mwenyewe akimuongelea Harmonize Unajifunza nini katika...
  3. Mithros

    JamiiForums Tanzania Mfundishe mwanao kuwa na furaha; Usimfundishe kuwa tajiri.

    Habari wana JF, natumaini mtakuwa wazima. Hili litakuwa chapisho langu la kwanza humu jukwaani na ningependa kuongelea kuhusu impact ya hayo mambo mawili( furaha na utajiri) kwenye saikolojia ya mwanao. Kwanza nitatanguliza kisa hiki; Nina rafiki yangu wa kitambo mno---nadhani toka tunasoma...
  4. Showio

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu anayopaswa kuzingatia kijana katika maisha yake

    Naam! Nawaletea neno la siku; tupo likizo kidogo. 1. KUWA NA MARAFIKI AMBAO WANA FAIDA KATIKA MAISHA YAKO: Unaweza kuta mtu katika simu yake ana marafiki zaidi ya 200 lakini hawa wote anapopata tatizo au shida akianza kuomba msaada katika hao marafiki hata shilingi laki 5 haifiki, sasa kuna...
  5. Kassimu Mchuchuri

    JamiiForums Tanzania Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

    1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha. 3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi. 4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
  6. Analyse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

    Nilizaliwa miaka kadhaa iliyopita. Katika familia ya watoto 7, mimi nilikuwa wa 6. Kama watoto walivyo, nilikuwa mtundu kiasi ila sio mtukutu. Nakumbuka nikiwa darasa la 5,niliitwa mbele na ticha nikafanye swali la hesabu. Nikafanya swali kwa mbwembwe, nilikuwa nasumbuliwa na mafua, kabla...
  7. Apollo

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa Furaha na Mateso katika Maisha

    Maisha ni fumbo kwa kila mmoja wetu, na kila mwanadamu anaishi kwenye ulimwengu wake katika maisha yake. Fumbo la maisha ni kubwa na haijawahi kutokea mwanadamu ambaye ameweza kutoa mwanga kuhusiana na fumbo la maisha na jinsi ambavyo falsafa mbalimbali zimekuwa zikielezea. Ni fumbo ambalo tangu...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kijana jitambue: Fanya kitu sahihi kwa muda sahihi, ishi maisha yako

    Habari zenu wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja Mimi sio mgeni humu ila nimetumia ID mpya so niwatoe hofu ya hiyo username yangu. Mara nyingi vijana hawatambui ni vitu gani wanapaswa kufanya na kwa wakati gani. Kijana tambua kuwa muda unaoutumia sasa una matokeo mbeleni Ujana una...
  9. Walec

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea. Janga hili linawakumba wana vyuo wengi,unakuta mtu anamalza chuo akiwa labda ana 25 then anarud nyumbani, mbaya zaidi...
  10. Saidimakini

    JamiiForums Tanzania Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa.

    Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa. by Saidi Makini MAFANIKIO 1. Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi,ana pesa za kununua nguo lakini hana PESA za kununua kitabu kitakachomuongezea maarifa. 2. Siku Zote ana muda wa kuchart watsapp, kuangalia...
  11. MSEZA MKULU

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile. Hapa...
  12. Mbu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maishani...

    There was a blind girl who hated herself just because she was blind. She hated everyone, except her loving boyfriend. He was always there for her. She said that if she could only see the world, she would marry her boyfriend. One day, someone donated a pair of eyes to her and then she could...
Back
Top Bottom