Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,356
- 40,237
Maisha ya kijijini ni mazuri sana kuliko maisha ya mjini. Kijijini kuna vivutio vingi vya asili,na watu wake wana utu na umoja ukilinganisha na mjini.
Kijijini kuna hewa safi inayomuwezesha mwanadamu kuishi miaka mingi. Kijijini kuna watu wenye faraja.
Kijijini wana hofu ya mungu. Kijijini kuna umoja. Kijijini wapenzi wanapendana kikweli kweli.
Kijijini hudumisha mila za kusimuliana hadithi mbalimbali. Kijijini usaidiana kwenye shida.
Kijijini ukiwa na uhakika wa kupata mahitaji yako muhimu ni kuzuri n.k
Je, wewe unatamani kurudi kijijini?