FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,801
- 46,917
Nasikia huko bila dollar 200 hujapata bado..., halafu nasikia matrafiki wa huko hawachukui rushwa kabisa, ukifanya kosa ni faini na inaingia kwenye rekodi.., tena huko hata ukimzaba mkeo kofi unalala ndani.., ukitembea upande usio wako barabarani (wanaita J walking sijui) unalala ndani, mkilala zaidi ya wawili chumba kimoja mnapigwa faini kwa kuzidisha allowed density ya nyumba, na hata kama ni watoto wako unaambiwa umewashindwa so wanaenda kulelewa na welfare/ustawi;
Ukiendesha gari huku umekunywa hata bia tatu tu unalala ndani, ukikutwa ume-install pirated software kwenye laptop yako unalala ndani, ukikutwa unaingizia watu movie kwenye flash unalala ndani, ukikutwa umepanga biashara bila leseni unalala ndani, ukimnyanyapaa au kumsema vibaya shoga au msagaji unalala ndani kisha mahakamani, ukikutwa popote pale bila kitambulisho cha taifa (cha fingerprint) unalala ndani, ukioverspeed mjini unalala ndani, ukichelewesha child support (matunzo ya mtoto) unanyang'anywa driving license kisha unalala ndani halafu mahakamani, mijaji ya kule haili rushwa, hivyo ni jela miezi sita. jamani, si gereza lile??!
Ukikutwa unasikiliza mziki kwa sauti kubwa unalala ndani, ukikutwa mbwa wako amekonda au hajaogeshwa basi unashtakiwa kwa ukatili kwa wanyama na utalala ndani, ukikutwa unachoma nyama kwenye park ya umma bila kibali unalala ndani, ukikutwa umepaki gari sehemu ya wrong parking basi gari lako utalikuta yard na faini yake unaweza kununua gari lingine hapa bongo.., kule bila dollar 3000 hujanunua nguo za kubadilisha hata wiki, hakuna manzese wala karume kule.., kule kama sio milionaire sahau kuhusu kununua au kujenga nyumba, kwanza hujengi hata banda la mbwa kama huna kibali, kama sio milionaire sahau kuhusu kumiliki hata ekari 10 za kulima hata matembele, kule mnaishi kwenye vi-appartment kama vitundu vya ndege ghorofani, na kwa wale wenye vikazi vya kueleweka ndio wanachukua mortgage kwenye nyumba wanazoishi, ambapo unailipia kidogo kidogo hadi inakuwa yako, na ukiishia kati unanyang'anywa na pesa yote inakuwa imeenda, kule bila milioni 300 hujampeleka mtoto chuo level ya degree.., sio huku eti ada milioni 1 na degree nje nje..,kule usipofanya pruning ya majani ya uwani kwako faini ni dollar 50 kwa kila siku yanapokuwa umeyaacha marefu au la unalala ndani,
maisha gani hayo? si jehanam hiyo?!
Mbaya zaidi, ukikutwa umenunua huduma ya mdada kwenye states ambazo biashara hiyo imeharamishwa basi faini yake ni dollar 3000 au jela miezi sita, halafu mipolisi ya kule haichukui rushwa sijui upoje? yaani unasukumwa ndani, kule ukiacha mazingira ya nje ya nyumba yako hovyo kiasi mbu na wadudu wengine wakawa wanazaliana humo unaweza kunyang'anywa nyumba kwa kuendanger public safety na utalala ndani.
Bado sijamaliza, ngoja ninywe maji...;
Kule ukikamatwa umemchapa mtoto kwa fimbo au chochote kile unashtakiwa kwa ukatili kwa watoto, utanyang'anywa hao watoto na utalala ndani, kule watoto kisheria wanafundishwa LGBT rights na wanakuwa promoted kutowabagua na kutoogopa kuwa mashoga, na ukimzuia mtoto kuwa shoga unasukumwa ndani, na ukimzuia mtoto kushiriki tamasha la ngono la kutoana bikra linaolandaliwa mashuleni kila mwaka, wanaita PROM NIGHT basi utalala ndani, unachoweza kufanya ni kumpa condom tu basi, ila kutoana bikra ni haki ya kilazima..