Maisha yamekuwa magumu sana awamu hii

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Siamini kuwa wanaolalamika kuwa maisha ni magumu wote walikuwa mafisadi.

Hembu tulete ushuhuda kama wewe
- Mfanyakazi
- Mkulima
- Muuza hoteli
- Muuza nguo
- Muuza genge Nk.

Tunaomba viongozi waweze kuchukua hatua hali mtaani ni worse.

Ushuhuda:
Nina kakibanda ulipaji wa kodi ni tabu mno kila siku wapangaji wanadai hawapati hela hivyo niwavumilie.
 
hali ni ileile tu hakuna kilichobadirika maana kama mfanya kazi mshahara anapata kama kawaida kinachobadirika hapo labda alikuwa mwizi au mla rushwa hao ndio wengi wanalalamika lakini sisi tuliozoea kula vya kuchinja vya kunyonga hatuviwezi yaani maisha tambarare tu kama kawaida
 
Hizi ni akili za fukara sio masikini. Na pili sijui kama hata shule ulienda, kama ulienda ulienda kukua mpk kidato cha nne ulipo feli ukaanza kuganga umasikini.

Kuna uhusiano mkubwa wa pesa kuwa katika mzunguko na kilio kilichopo mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtu ambaye yupo serikalini ukimwambia hali mbaya hawezi kukuelewa kwa kuwa pesa za mshahara wanapata kwa wakati..ila tulioajiriwa sekta binafsi,na amabao waliojiajiri wanaelewa hali ilivyo mtaani.

Ukweli ni kwamba pesa kwenye mzunguko imepungua sana biashara imekua ngumu mwaka jana mwezi wa tisa lilipita panga hapa kazini nashukuru hatukuguswa baadhi ya watu ila boss anaongea mpaka anatia huruma kwa sasa tunafanya kazi ili kulinda tu kazi lakini hakuna pesa (hatupati kwa wakati na kiduchu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa ipo nyingi tu, tena hata wengine wanaichezea.

Juzi nilisikia kwenye redio moja eti kuna kampuni moja huko Dar imeitisha Watu wapigwe picha wapewe elfu tano nasikia Mji mzima wakahamia hapo...sasa uliona wapi pesa inatolewa kimchezo hivyo kama sio pesa kuchezewa?

Na ili iwe fundisho hii Kampuni ilazimishwe izunguke mikoa yote ili isionekane kama Dar inapendelewa.
 
Maisha ni tight sana. Kuna madogo wako mtaani hawana ajira (nawapuuza wanaosema wajiajiri wakati wao wanaloga wasitoke kwenye hizo ajira, na mfumo wetu wa elimu unalazimisha hivyo).

Walioajiriwa hawapandishwi mishahara, sekta binafsi ina-underperform, mwisho wa siku kitaa hakikaliki. Wacha nisiseme sana nikalia.
 
Hizi ni akili za fukara sio masikini. Na pili sijui kama hata shule ulienda, kama ulienda ulienda kukua mpk kidato cha nne ulipo feli ukaanza kuganga umasikini.

Kuna uhusiano mkubwa wa pesa kuwa katika mzunguko na kilio kilichopo mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
huna lolote nyie ndiyo wezi wa mali za uma mlizoea kula rushwa na kuiba mishahara miwilimiwili ndiyo mnaoteseka kama unafanya kazi na unalipwa mshahara kwanini ulalamike hali ngumu na kila mwezi unaenda kukinga acheni ufala fanyeni kazi
 
bila shaka umefikiri mpaka mwisho, wewe ni genius kweli jamaa yangu..
Bila shaka pia wewe ni mtanzania mwenye zaidi ya 18yrs na unamiliki familia na ndugu pia..
 
Hizi ni akili za fukara sio masikini. Na pili sijui kama hata shule ulienda, kama ulienda ulienda kukua mpk kidato cha nne ulipo feli ukaanza kuganga umasikini.

Kuna uhusiano mkubwa wa pesa kuwa katika mzunguko na kilio kilichopo mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana naye mkuu,kuna watu wanaishi kama ndege hawana plani ya aina yeyote.
 
Mungu wa Tanzania? Huyu mla nguruwe? Hakika Allah atakupa pigo
Hiyo kutaja mafisadi ni ili kuhadaa umma na ndio maana mijadala huru na vyombo vya habari haviruhisiwi kuwa huru, kwani vikiwa huru watu wakatoa maoni yao, itamuudhi Mungu wa Tanzania kwani yeye ndio sababu hasa ya ugumu huu wa maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hali ni ileile tu hakuna kilichobadirika maana kama mfanya kazi mshahara anapata kama kawaida kinachobadirika hapo labda alikuwa mwizi au mla rushwa hao ndio wengi wanalalamika lakini sisi tuliozoea kula vya kuchinja vya kunyonga hatuviwezi yaani maisha tambarare tu kama kawaida
Kama kuna ongezeko la information na kipato kikabaki vile vile lazima kutakuwa na mabadiliko. Let's say mwaka 2015 bei ya kilo ya unga ilikuwa 800/ na 4 yrs hakuna salary incriminate na leo hii kilo ile ile ya unga imekuwa Tshs 1800/, utasemaje hakuna kilichobadilika? Kwa hiyo miaka 4 bidhaa na huduma mbalimbali zimeongezeka bei huku kipato kikabaki vile vile, lazima maisha yawe magumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom