Kiduku hapendi hizi taarifa zitoke nje ya nchi. Huruhusiwi kupiga picha.Huwezi linganisha na maisha ya wale ndugu zao wa Korea Kusini. Hapa inadhihirisha kwamba ukomunisti ni kama utumwa fulani hivi + umasikini huku watawala wakijifanya mungu watu.
hayo masanamu ukipiga picha kwa nyuma kazi unayo, utaomba poView attachment 1350937
Sanamu ya muasisi wa Taifa na mtoto wake Dear Leader. Ukifika hapa ni lazima kuabudu ndiyo ishara ya heshima.
Mkuu kwani nyuma kuna nini?hayo masanamu ukipiga picha kwa nyuma kazi unayo, utaomba po