maisha

  1. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Tujadili: Wapi wana amani ama wanafurahia maisha kati ya wanandoa na walio nje ya ndoa?

    Habarini WanaJukwaa Pendwa la MMU! Katika Pita pita yangu nimekutana na Msuguano Mkali wa Juu ya Raha ya Kuwa na Ndoa ama Kutokuwa kwenye Ndoa. Kuna Wengine Wamesema Ndoa ina Raha saana maana Ndiyo Utimilifu wa Maisha wenyewe. Wamedai kuwa Ukiwa Nje ya Ndoa maanake kunakuwa kama Kiungo...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Iran: Watu 81 wapoteza maisha kutokana na homa ya mafua

    Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua nchini Iran. Naibu Waziri wa Afya wa Iran Ali Riza Reisi, ameliambia shirika rasmi la habari la Iran wiki iliyopita, kuwa watu elfu 8 333 wamefika mahospitalini wakilalamika kandamwa na...
  3. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Simplify your life | Rahisisha maisha yako

    Je, una malengo? Kama unayo, basi jaribu kurahisisha maisha yako. Kivipi? Jaribu kupunguza mambo ambayo yataathiri hayo malengo yako. Mambo ambayo kwa namna moja ama nyingine hayana mchango wowote ule katika malengo uliyojiwekea. Mambo kadha wa kadha ambayo uwepo wake katika mwenendo wa...
  4. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Harakati Zako Za Kutafuta Furaha Ndiyo Zinakuzuia Usiwe Na Maisha Bora

    Kikwazo cha kwanza kwa mtu kuwa na maisha bora ni furaha. Tumedanganywa sana kwamba kuna njia fulani ya kuwa na furaha ya kudumu kwenye maisha yetu. Tumeambiwa ukishapata hiki na kile, ukishafika kiwango fulani cha elimu au cheo fulani, basi utakuwa na furaha. Tukaweka nguvu, tukasahau maeneo...
  5. misasa

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua maisha ya marehemu Al Habib Alhaji Aziz Massanga (Zingizi)

    Salaam wana JF Natumaini wote ni wazima wa afya na poleni na majukumu ya hapa na pale. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza sina budi kurudia rudia. Mnamo 29/11/2019 huko south Africa ila jina la hospital silijui kuna mtanzania mfanyabishara mkubwa na mwanazuoni kwa jina la Alhabib alhaj...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tiger Woods: Maisha baada ya talaka yake mashuhuri

    Akikabidhiwa tuzo la rais la mcheza golf bora 2019. Mpaka sasa Tiger ni mcheza golf mwenye umri mdogo zaidi kupata tunzo hilo. Alisindikizwa na Erica girl friend wake, mama yake na watoto wake Sam 12 na Charlie 10. Mke wa Tigger aliondoka na $100 million kama malipo ya talaka. Elin ex wife...
  7. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Arusha sio

    Wakuu salama, Sina. Mengi ya kuandika hapa, Nina. Miaka kadhaa hapa Arusha lakini kuna baadhi ya mambo hunishangaza kidogo 1) Ujambazi, wezi wa hapa hawaogopi chochote, mfno mzuri usiku wa. Leo wameingia kwenye nyumba ya mjeda, mwanamke na mume wake wote ni wajeda lakini cha kushangaza wazee wa...
  8. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Nimesoma vitabu 655 na haya ni mapinduzi makubwa saba yaliyotokea maishani mwangu

    Mwaka 2014 nilipata maono ya kusoma vitabu 500 ndani ya miaka mitano. Hii ni baada ya kuanza kusoma vitabu mwaka 2012 na kuona manufaa yake kwenye maisha yangu, na hapo kuamua kuweka nguvu zaidi kwenye kujifunza kupitia usomaji wa vitabu. Maono hayo niliyashirikisha kwenye makala niliyoandika...
  9. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kwa wengine nini maana ya maisha kama mambo ni hivi..?

    Sijui maisha Yana maana gani kwa miondoko hii..!
  10. Parabora

    JamiiForums Tanzania Sirudii tena kupima wanawake Ukimwi tukiwa faragha, kilichonikuta jana sitakaa nisahau, tutapima hospitali

    Wakuu, Tusizoee kupimana ndani bila elimu ya counseling. Jana kidogo mtu anifie, mimi kuanzia leo tutaenda kupimana hospitali habari za ndani hapana aiseee. Usiombe yakukute
  11. janfirst

    JamiiForums Tanzania Madoa matatu yanayo chafua mioyo ya Mama zetu na kuwa acha kuwa watu wapweke zaidi na kwa kipindi kirefu zaidi ya Baba zetu.

    Je, umewahi kufikiria kuwa Mama ndie kiumbe anaepitia upweke kwa kiasi kikubwa zaidi katika maisha zaidi ya Baba? Ni ukweli usiopingika kuwa mama ndie namba mbili baada ya Mungu muumba wetu alieumba ulimwengu, kwani mama ndie binaadamu anaechukua nafasi kubwa zaidi katika kuja kwetu duniani...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Tuliotembea umbali mrefu kwa miguu kwa sababu yoyote ile tukutane hapa

    Binafsi nimewahi kutembea umbali takribani kilometer 100. Ilikuwa ni safari ya kwenda na kurudi na ilinigharimu siku moja ya kwenda na siku ya pili ya kurudi. ilikuwa nimeelekea msibani na nilikuwa na nauli ya kwenda tu, kwa sababu nikapata company ya mtu ambaye hakuwa hata na hiyo ya kwenda...
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu kutoboa ukiwa na maisha magumu. Natoa mbinu za Bure ila ngumu kama unamoyo lelemama

    karibu.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kama Mbowe atapita, CHADEMA waulizwe wana nia na dhumuni lipi la Mbowe kuwa mwenyekiti wa maisha? Je, hawatabadili katiba watawale maisha wakishinda?

    Wapinzani waliposhindwa kusimama mbele ya CCM na mwenyekiti wake katika uchaguzi wa Serikali za mitaa wanadai hakukuwa na uchaguzi ila uchafuzi na hii si mara ya kwanza kulalamika baada ya uchaguzi. Kususia uchaguzi na chama kupita bila kupingwa ni uchafuzi kwa mantiki yao. Tuachane na hayo kwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za maisha magumu na nini utataka baada ya hapo!?

    Hapo ndipo kila MTU alikuwa hapotezi muda kupelekea kwenye Siasa za KUPLAN kupelekea maisha ya mbele.. aliyefika mbele utajua kama unamradi wa matofari ilikuwa hupotezi muda maana IPO siku geti na bati tutayeyusha na kutengeneza mabati ya JAMII mtaa Kwa mtaa.. Tunamawazo Mazuri Ila yataishia...
  16. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo nguvu kubwa iliyopo ndani yako ambayo ukiijua na kuanza kuitumia utakuwa na maisha bora sana

    “Matatizo yote ya binadamu chanzo chake ni mtu kushindwa kukaa peke yake kwenye chumba bila ya kuwa na kitu cha kufanya.” Hii ni kauli ambayo ilitolewa na mwanahisabati, mwanafalsafa na mwandishi Blaise Pascal mwaka 1654. Unaweza kusema kauli hiyo ni ya zamani na haina ukweli kwenye zama...
  17. AHMARDZ

    JamiiForums Tanzania Nashida ya Kuzamia

    Habarini wana JF, mimi ni mhanga wa ajira kwa muda tuu ila nimetafakari na kuona halihalisi ya maisha yanavyozidi kuwa juu nimeona nitafute kazi nje ya nchi, nje ya Africa kazi yoyote ya halali hata kudeki vyoo, kwa anayejua au mwenye ndugu pls aniunganishe, asanteni mtakaoguswa. Maisha magumu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Wale tulioanza maisha ya kujitegemea kigumu tukutane hapa

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, nimeanzisha huu uzi ili ulete hamasa kwa vijana ambao bado wanaishi makwao jinsi wengine tulivyo anza maisha ya kujitegemea kigumu. Ipo hivi binafsi baada ya kuhitimu masomo ya chuo kikuu, nilienda kuishi kwa msela wangu ambapo mimi nilikua katika harakati...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania RIPOTI: Watu wanaojihusisha na kazi za usafi vyooni wako hatarini zaidi kupoteza maisha kutokana na mazingira hatarishi

    SHIRIKA lisilo la kiserikali la Water Aid Tanzania limesema watu wanaojihusisha na kazi za usafi vyooni wako hatarini zaidi kupoteza maisha kutokana na mazingira hatarishi. Ripoti hiyo iliyotolewa jana na shirika hilo likishirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO), Shirika la Kazi Duniani...
  20. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

    Roma Mkatoliki amerudi upya jamani. Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma". Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema kabla hawajauchukulia hatua. Katika wimbo huo mimi nimependa mstari fulani hivi unasema; "Kwetu...
Back
Top Bottom