Ndugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa...
#tag HUJUI KUPLAN 🚜🚜🚜🚜🚒
#tag Gari inagurudumu 4 kwenye maisha ya kuplan
1. Matumizi Bora ya ardhi (maeneo maalumu ya Kilimo, UVUVI, Mifugo maana IPO siku tutatafuta maekali ya kupima matikiti Dar ES SALAMA na siyo pwani lazima tubomoe majumba huko)
2. Matumizi Bora ya Watu (watu waliopo Kwa...
Hakika kila mwanadamu anapenda kuishi MAISHA ambayo yanamipango ndani yake kuanzia level ya kuwa pekeyako. Tumeshuhudia watoa huduma wengi wakitekeleza maneno ya mwalimu Nyerere Kwa vitendo ikiwemo Ubepari, kutoa na kupoke rushwa, kuwa na vyumba vya Kipanya Kwa ajili ya kuzuia na kucontrol...
Maiga Maginga (18), amehukumiwa kifungo cha maisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Serengeti baada ya kukiri kumlawiti mtoto wa miaka minne.
Hukumu hiyo imetolewa leo Alhamisi Oktoba 31, 2019 na Hakimu Mkazi, Adelina Mzalifu baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kulawiti.
Hakimu...
Spika mstaafu wa bunge la Kenya amewaambia wabunge wa Kenya mbele ya mgeni rasmi Spika wa Tanzania mh Job Ndugai kuwa waache kiburi na kujikweza kwani kuna maisha baada ya siasa.
Spika huyo mstaafu amewakumbusha wabunge hao kuwa wafuasi wao wanaowashangilia leo ndio hao hao watakaowatukana...
Waasalamu
Leo katika tafakuri zangu za hapa na pale nikakumbuka kisa cha dada yangu ambae ni mtoto wa mama yangu mkubwa.
Sister wangu huyu alienda kushitaki kwa babu yetu mzaa mama kwamba mume wa mama mkubwa (baba yake wakambo) huwa anamtongoza na anamtaka kimapenzi.
Kesi ilikuwa kubwa sana...
Ukiishi mpaka kufikia umri huu ni jambo la kumshukuru Mungu. Kutokana na huduma bora za afya wengi hufikia sherehe ya miaka 50, 60, 70, 80 hata 90.
Ukifika miaka 50 hata kama huna tatizo lolote la afya ni muhimu kuufanyia mwili check up. Punguza unywaji wa pombe kama ni mywaji pamoja na...
Huu uzi ni special kwa sie tusie penda kuanzisha thread kwa sababu ya matukio madogo madodo
Lengo la kushare matukio haya ni kuweza kuwasaidia wengine siku akikutana na tukio la aina yeyote aweze kulimudu asione kama kitu kipya sana
Mwaka 2015 niligombana na mshikaj mmoja hivi pool table, asa...
1. Mshkaji wako amekukopesha pesa umrudishie baada ya wiki moja. Anakusisitizia kuwa hakikisha unamlipa kwa wakati kwa kuwa anataka kupeleka mtoto shule. Siku inafika, bahati mbaya unakuwa kwenye kikao kizito ofisini kwenu kinachochukua muda mrefu sana mpaka simu yako inazima. Jamaa kila akipiga...
“Harmonize ana nguo ameshanunua kwa gharama ya Tsh. Milioni 6-7 na zipo zimekaaa kabatini, kitu ambacho mimi katika maisha yangu yote sijawahi kukifanya na wala ujinga huo kwanza sina”
Hayo sio maneno yangu mimi ni maneno ya Diamond mwenyewe akimuongelea Harmonize
Unajifunza nini katika...
Habari wana JF, natumaini mtakuwa wazima. Hili litakuwa chapisho langu la kwanza humu jukwaani na ningependa kuongelea kuhusu impact ya hayo mambo mawili( furaha na utajiri) kwenye saikolojia ya mwanao.
Kwanza nitatanguliza kisa hiki;
Nina rafiki yangu wa kitambo mno---nadhani toka tunasoma...
Naam! Nawaletea neno la siku; tupo likizo kidogo.
1. KUWA NA MARAFIKI AMBAO WANA FAIDA KATIKA MAISHA YAKO: Unaweza kuta mtu katika simu yake ana marafiki zaidi ya 200 lakini hawa wote anapopata tatizo au shida akianza kuomba msaada katika hao marafiki hata shilingi laki 5 haifiki, sasa kuna...
1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi.
2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.
3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.
4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
Nilizaliwa miaka kadhaa iliyopita. Katika familia ya watoto 7, mimi nilikuwa wa 6.
Kama watoto walivyo, nilikuwa mtundu kiasi ila sio mtukutu. Nakumbuka nikiwa darasa la 5,niliitwa mbele na ticha nikafanye swali la hesabu. Nikafanya swali kwa mbwembwe, nilikuwa nasumbuliwa na mafua, kabla...
Maisha ni fumbo kwa kila mmoja wetu, na kila mwanadamu anaishi kwenye ulimwengu wake katika maisha yake. Fumbo la maisha ni kubwa na haijawahi kutokea mwanadamu ambaye ameweza kutoa mwanga kuhusiana na fumbo la maisha na jinsi ambavyo falsafa mbalimbali zimekuwa zikielezea. Ni fumbo ambalo tangu...
Habari zenu wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja
Mimi sio mgeni humu ila nimetumia ID mpya so niwatoe hofu ya hiyo username yangu.
Mara nyingi vijana hawatambui ni vitu gani wanapaswa kufanya na kwa wakati gani.
Kijana tambua kuwa muda unaoutumia sasa una matokeo mbeleni Ujana una...
Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea.
Janga hili linawakumba wana vyuo wengi,unakuta mtu anamalza chuo akiwa labda ana 25 then anarud nyumbani, mbaya zaidi...
Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa.
by Saidi Makini MAFANIKIO
1. Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi,ana pesa za kununua nguo lakini hana PESA za kununua kitabu kitakachomuongezea maarifa.
2. Siku Zote ana muda wa kuchart watsapp, kuangalia...
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
Hapa...
There was a blind girl who hated herself just because she was blind.
She hated everyone, except her loving boyfriend.
He was always there for her.
She said that if she could only see the world, she would marry her boyfriend.
One day, someone donated a pair of eyes to her and then she could...