Tuachane na maisha ya majina ya NCHI wakati Siasa za Job Creation

Bookman Oldstyle

Senior Member
Nov 3, 2019
147
47
#tag HUJUI KUPLAN ๐Ÿšœ๐Ÿšœ๐Ÿšœ๐Ÿšœ๐Ÿš’

#tag Gari inagurudumu 4 kwenye maisha ya kuplan

1. Matumizi Bora ya ardhi (maeneo maalumu ya Kilimo, UVUVI, Mifugo maana IPO siku tutatafuta maekali ya kupima matikiti Dar ES SALAMA na siyo pwani lazima tubomoe majumba huko)

2. Matumizi Bora ya Watu (watu waliopo Kwa mujibu wa Takwimu sahihi na projection mtakuwa wangapi 2456 ๐Ÿšฒ๐Ÿšฒ watakao kufa kumbuka ardhi siyo kuzika katikati maana IPO siku makabuli hayana MAANA)

3. Masoko ya Bidhaa (Kwa uhalisia huwezi zalisha kila kitu Kwa serikali zasizojali hela unatakiwa Kuzalisha Sana kama inavyozalisha wanafunzi vyuoni bila kuzingatia soko la Akira ikiwezekana kuwa donor country ya Bidhaa)

4. Nationality (kuwa zombie la mipango ya nchi matharani Reli ya Mwendokasi yalazima ichangamshe uzalishaji Kwa kuzingatia gurudumu mamba 1 ili kuwe na value for money Kwa miradi husika utasafirisha watu wanaosafirisha mbuzi + kugonga ngombe wanaohamahama)

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom