maisha

  1. Mafanikio: Jinsi ya Kubadili tabia na Mtindo wa Maisha ili kufanikiwa katika biashara

    Tabia ni nini:Tabia ni mambo au matendo ya kimazoea ambayo unaweza kuyafanya au kutokuyafanya bila kutafakari,kuhofia au kujali matokeo yake.Ni utaratibu uliozoeleka na kukubalika kwa mtu mwenyewe kutokana na mazoea aliyojijengea.Tabia inaweza kuwa nzuri au mbaya katika muktadha fulani na...
  2. Elimu inayokosekana na inayowapoteza wengi katika maisha

    Katika mfumo wetu wa elimu kuna elimu muhimu inayokosekana na hakuna sehemu ya kuipata hadi uzinduke mwenyewe ambapo elimu hiyo ni elimu ya kujitambua,asilimia kubwa ya watu wanafeli katika,biashara,mahusiano,ujasiriamali na vingine vingi sababu kuu ni kutokujitambua,na bahati mbaya zaidi...
  3. Tujadili: Wapi wana amani ama wanafurahia maisha kati ya wanandoa na walio nje ya ndoa?

    Habarini WanaJukwaa Pendwa la MMU! Katika Pita pita yangu nimekutana na Msuguano Mkali wa Juu ya Raha ya Kuwa na Ndoa ama Kutokuwa kwenye Ndoa. Kuna Wengine Wamesema Ndoa ina Raha saana maana Ndiyo Utimilifu wa Maisha wenyewe. Wamedai kuwa Ukiwa Nje ya Ndoa maanake kunakuwa kama Kiungo...
  4. Iran: Watu 81 wapoteza maisha kutokana na homa ya mafua

    Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua Watu 81 wamekufa kwa sababu ya janga la homa ya mafua nchini Iran. Naibu Waziri wa Afya wa Iran Ali Riza Reisi, ameliambia shirika rasmi la habari la Iran wiki iliyopita, kuwa watu elfu 8 333 wamefika mahospitalini wakilalamika kandamwa na...
  5. Simplify your life | Rahisisha maisha yako

    Je, una malengo? Kama unayo, basi jaribu kurahisisha maisha yako. Kivipi? Jaribu kupunguza mambo ambayo yataathiri hayo malengo yako. Mambo ambayo kwa namna moja ama nyingine hayana mchango wowote ule katika malengo uliyojiwekea. Mambo kadha wa kadha ambayo uwepo wake katika mwenendo wa...
  6. Harakati Zako Za Kutafuta Furaha Ndiyo Zinakuzuia Usiwe Na Maisha Bora

    Kikwazo cha kwanza kwa mtu kuwa na maisha bora ni furaha. Tumedanganywa sana kwamba kuna njia fulani ya kuwa na furaha ya kudumu kwenye maisha yetu. Tumeambiwa ukishapata hiki na kile, ukishafika kiwango fulani cha elimu au cheo fulani, basi utakuwa na furaha. Tukaweka nguvu, tukasahau maeneo...
  7. Natamani kujua maisha ya marehemu Al Habib Alhaji Aziz Massanga (Zingizi)

    Salaam wana JF Natumaini wote ni wazima wa afya na poleni na majukumu ya hapa na pale. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza sina budi kurudia rudia. Mnamo 29/11/2019 huko south Africa ila jina la hospital silijui kuna mtanzania mfanyabishara mkubwa na mwanazuoni kwa jina la Alhabib alhaj...
  8. Tiger Woods: Maisha baada ya talaka yake mashuhuri

    Akikabidhiwa tuzo la rais la mcheza golf bora 2019. Mpaka sasa Tiger ni mcheza golf mwenye umri mdogo zaidi kupata tunzo hilo. Alisindikizwa na Erica girl friend wake, mama yake na watoto wake Sam 12 na Charlie 10. Mke wa Tigger aliondoka na $100 million kama malipo ya talaka. Elin ex wife...
  9. Maisha ya Arusha sio

    Wakuu salama, Sina. Mengi ya kuandika hapa, Nina. Miaka kadhaa hapa Arusha lakini kuna baadhi ya mambo hunishangaza kidogo 1) Ujambazi, wezi wa hapa hawaogopi chochote, mfno mzuri usiku wa. Leo wameingia kwenye nyumba ya mjeda, mwanamke na mume wake wote ni wajeda lakini cha kushangaza wazee wa...
  10. Nimesoma vitabu 655 na haya ni mapinduzi makubwa saba yaliyotokea maishani mwangu

    Mwaka 2014 nilipata maono ya kusoma vitabu 500 ndani ya miaka mitano. Hii ni baada ya kuanza kusoma vitabu mwaka 2012 na kuona manufaa yake kwenye maisha yangu, na hapo kuamua kuweka nguvu zaidi kwenye kujifunza kupitia usomaji wa vitabu. Maono hayo niliyashirikisha kwenye makala niliyoandika...
  11. Kwa wengine nini maana ya maisha kama mambo ni hivi..?

    Sijui maisha Yana maana gani kwa miondoko hii..!
  12. Sirudii tena kupima wanawake Ukimwi tukiwa faragha, kilichonikuta jana sitakaa nisahau, tutapima hospitali

    Wakuu, Tusizoee kupimana ndani bila elimu ya counseling. Jana kidogo mtu anifie, mimi kuanzia leo tutaenda kupimana hospitali habari za ndani hapana aiseee. Usiombe yakukute
  13. Madoa matatu yanayo chafua mioyo ya Mama zetu na kuwa acha kuwa watu wapweke zaidi na kwa kipindi kirefu zaidi ya Baba zetu.

    Je, umewahi kufikiria kuwa Mama ndie kiumbe anaepitia upweke kwa kiasi kikubwa zaidi katika maisha zaidi ya Baba? Ni ukweli usiopingika kuwa mama ndie namba mbili baada ya Mungu muumba wetu alieumba ulimwengu, kwani mama ndie binaadamu anaechukua nafasi kubwa zaidi katika kuja kwetu duniani...
  14. Tuliotembea umbali mrefu kwa miguu kwa sababu yoyote ile tukutane hapa

    Binafsi nimewahi kutembea umbali takribani kilometer 100. Ilikuwa ni safari ya kwenda na kurudi na ilinigharimu siku moja ya kwenda na siku ya pili ya kurudi. ilikuwa nimeelekea msibani na nilikuwa na nauli ya kwenda tu, kwa sababu nikapata company ya mtu ambaye hakuwa hata na hiyo ya kwenda...
  15. K

    Kama Mbowe atapita, CHADEMA waulizwe wana nia na dhumuni lipi la Mbowe kuwa mwenyekiti wa maisha? Je, hawatabadili katiba watawale maisha wakishinda?

    Wapinzani waliposhindwa kusimama mbele ya CCM na mwenyekiti wake katika uchaguzi wa Serikali za mitaa wanadai hakukuwa na uchaguzi ila uchafuzi na hii si mara ya kwanza kulalamika baada ya uchaguzi. Kususia uchaguzi na chama kupita bila kupingwa ni uchafuzi kwa mantiki yao. Tuachane na hayo kwa...
  16. S

    Siasa za maisha magumu na nini utataka baada ya hapo!?

    Hapo ndipo kila MTU alikuwa hapotezi muda kupelekea kwenye Siasa za KUPLAN kupelekea maisha ya mbele.. aliyefika mbele utajua kama unamradi wa matofari ilikuwa hupotezi muda maana IPO siku geti na bati tutayeyusha na kutengeneza mabati ya JAMII mtaa Kwa mtaa.. Tunamawazo Mazuri Ila yataishia...
  17. Hii ndiyo nguvu kubwa iliyopo ndani yako ambayo ukiijua na kuanza kuitumia utakuwa na maisha bora sana

    “Matatizo yote ya binadamu chanzo chake ni mtu kushindwa kukaa peke yake kwenye chumba bila ya kuwa na kitu cha kufanya.” Hii ni kauli ambayo ilitolewa na mwanahisabati, mwanafalsafa na mwandishi Blaise Pascal mwaka 1654. Unaweza kusema kauli hiyo ni ya zamani na haina ukweli kwenye zama...
  18. Nashida ya Kuzamia

    Habarini wana JF, mimi ni mhanga wa ajira kwa muda tuu ila nimetafakari na kuona halihalisi ya maisha yanavyozidi kuwa juu nimeona nitafute kazi nje ya nchi, nje ya Africa kazi yoyote ya halali hata kudeki vyoo, kwa anayejua au mwenye ndugu pls aniunganishe, asanteni mtakaoguswa. Maisha magumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…