Natamani kujua maisha ya marehemu Al Habib Alhaji Aziz Massanga (Zingizi)

misasa

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
13,642
9,338
Salaam wana JF

Natumaini wote ni wazima wa afya na poleni na majukumu ya hapa na pale. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza sina budi kurudia rudia.

Mnamo 29/11/2019 huko south Africa ila jina la hospital silijui kuna mtanzania mfanyabishara mkubwa na mwanazuoni kwa jina la Alhabib alhaj Aziz Massanga alias ZINGIZI aliaga dunia,lakini akuwa maarufu kama wengine wakiwa na ukwasi.

Sikuwa namjua ila mnamo tarehe 2/12/2019 pita pita zangu mitaa ya magomeni nilionana umati wa watu wakijipanga kupeleka mwili wa MAREHEM katika makaburini ya msasani,sikuishia hapo niliingia kwenye akaunti ya Instagram ya msemaji wa simba nikaona CLIP ya umati wa watu wakilia si waarabu, si waafrika walikuwa wakilia uku wakisindikiza mwili makaburi.

Mwenye kujua maisha ya MAREHEM AL HABIB Alhaj Massanga alias ZINGIZI(mzaramo aliyeliliwa hadi na waarabu, waafrika, wahindi ni nani huyu?

Mwenyezi amuweke mahali pema peponi Mwamba ZINGIZI.

Born:1973

Died:2019

Innallihai wainallillah rajiun
 
Zamani huyu jamaa alianzia biashara ya mgahawa, alikuwa na mgahawa kinondoni unaitwa kapirimposhi kitambo sana
Alikujaga Kuingia kwenye biashara ya vipodozi hapo ndipo alipoanza kupiga Hela
Binafsi alikuwa mchakarikaji sana
Alikuja mwanazuoni, na mtu aliyekuwa anafuatilia sana dini yake ya kislam
Ngoja niishie hapo

Ova
 
Alikuwa pia akitoa misaada kwa jamii
Kuna msikiti uko nyuma ya tmj yeye aliujenga kwa Gharama zake mwenyewe, kwa kifupi jamaa hakuwa na mkono mfupi kama una line au shida ukimsemesha akikuelewa anakutoa
Kwa kifupi mm binafsi nlikuwa namjua tokea anakaa kwao msasani kitambo kile tokea anauza kwenye mgahawa wake badaye a kaingia kwenye biashara ya vipodozi Mara paap a kapiga sana Hela, alikuwa na team Ile ya kina sauli

Ova
 
Usijali....
Hapana mwanamboka haishi kinondoni

Ova

O.K nimetumia reference mbovu ya Mwanamboka Petrol Station Kinondoni cha miaka ileee lakini je aliishia wapi maana enzi zile barabarani kuelekea Rwanda, Kongo, Burundi lori zake zilikuwa zinaongoza kwa uwingi tofauti na sasa je kunanini kilitokea?
 
Biashara zipo petrol station ipo
Watoto wanasimamia, mm namjua zaidi yule k. Mwanamboka
Sahv lorri zake haziko sana
Sinza Wana sehemu pia kubwa tu

Ova
 
O.K nimetumia reference mbovu ya Mwanamboka Petrol Station Kinondoni cha miaka ileee lakini je aliishia wapi maana enzi zile barabarani kuelekea Rwanda, Kongo, Burundi lori zake zilikuwa zinaongoza kwa uwingi tofauti na sasa je kunanini kilitokea?
Sasa Enzi hzo kawawa road njia moja alafu vumbi fulani, duh Kweli tumetoka mbali
Sahv Watoto wadogo hawawezi kuelewa hii

Ova
 
mrangi,
Dah!!

Mkuu nilijaribiu ku Google kumjua zaidi nikatoka kapa si kuwa na maana kujua mali zake ila ukarimu na moyo wake na kujishusha kwake kwa jamii, niliuzunika sana sikumjua kabla
 
Alikuwa pia akitoa misaada kwa jamii
Kuna msikiti uko nyuma ya tmj yeye aliujenga kwa Gharama zake mwenyewe, kwa kifupi jamaa hakuwa na mkono mfupi kama una line au shida ukimsemesha akikuelewa anakutoa
Kwa kifupi mm binafsi nlikuwa namjua tokea anakaa kwao msasani kitambo kile tokea anauza kwenye mgahawa wake badaye a kaingia kwenye biashara ya vipodozi Mara paap a kapiga sana Hela, alikuwa na team Ile ya kina sauli

Ova
Nasikia alinunua nyumba nane kwa mpigo mikocheni akatoa kwa WAKFU( kama nitakuwa na natafsiri nzuri kwa YATIMA).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom