maisha

  1. JamiiForums Tanzania Wape Watoto fursa ya kujifunza masuala mengine katika maisha mbali na masomo ya darasani

    Habari za wakati huu jamiiforums Stories nyingi sana za KGB na zile zingine ambazo ninaandikaga kule jukwaa la jamii intelligence ni zile ambazo nilizisoma mwaka 2006 nikiwa kidato cha sita. Kipindi hicho hakuna smartphones lakini nilikuwa ninaiba muda kisha ninakwenda internet cafe moja...
  2. JamiiForums Tanzania Maisha yamenishinda. Madeni mengi sana na mengine yanatangazwa. Nimechoka kabisa

    Sina raha masimango, nishabadili sana namba za simu mpaka kwenye mitandao wanagoma kunipa namba mpya. Nmebaki mimi tu na korodani zangu. Sina kitu kabisa. Najiuliza wapi wananunua figo, ini au firigisi. Hivi viungo vipo viwili viwili naweza uza kimoja angaa nipate pesa nilipe madeni na pia...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha mapya katika nchi za watu

    Hii story inamhusu Henry, kijana wa miaka 32 aliyekuwa mhudumu wa bank kwa miaka 10. Ana mke na watoto wawili wa kiume. Siku mojja waliitwa kazini na kuambiwa bank wanapunguza wafanyakazi, alilipwa kiinua mgongo milioni 15. Alifikiria jinsi atakavyo endesha maisha na ile pesa. Aliamua...
  4. JamiiForums Tanzania Roho inaniuma nimetimiza miaka 35 sina mtoto wala maisha

    Roho inaniuma jamani leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha. Uzee sasa umepiga hodi taratibu hapa nilipo nahisi naanza kuchanganyikiwa kwa umri huu mpaka leo hii naishi maisha ya kubangaiza nipate hela ya kula miaka 35...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Magufuli na kuwabariki Rais Samia na Mwinyi

    Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote. Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini. Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa. Updates: Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa kisiasa waliokulia kwenye maisha ya kimaskini wana roho mbaya sana tofauti na wale wa maisha mazuri?

    Jaribu kufanya utafiti utagundua wanasiasa viongozi waliotoka familia maskini au kwenye uzururaji wanakuwaga na roho mbaya zaidi ya shetani. Mfano ni Idd Amin aliyeokotwa mtaani na kuingizwa jeshini. Lakini wale waliokulia kwenye maisha mazuri na roho zao huwa nzuri tu mfano akina Makongoro...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kitendo gani au tukio gani usilolisahau lililobadilisha maisha yako?

    Kila mtu kwenye maisha nina amini ana turning point yake. Turning point ni sehemu au pointi ambayo ilibadilisha maisha yako. Inaweza ikawa ni tukio, safari, kukutana na mtu au jambo lolote ambalo kwa namna moja ama nyingine limekufanya uwe hapo leo either kukupandisha au kukushusha kimaisha...
  8. JamiiForums Tanzania Upendo wao udumu maisha yao yote

    Nimewapenda bureee Mr and Mrs David😍😍 Mungu awazidishie imani na upendo. Wadumu maisha yao yote.
  9. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa usijisahau Kuna maisha baada ya 2025

    Mbunge wa Jimbo la ukonga Jerry silaa kumbuka ahadi zako ulizozitoa wakati wa kampeni,kumbuka jinsi ulivyopigana na kupiganiwa ili kupata ubunge wa ukonga. Kumbuka wananchi wa ukonga wanakutazama na wanasubiria utekelezaji wa ahadi zako. Tangia uapishwe kuwa mbunge hujawahi kuitisha mkutano...
  10. JamiiForums Tanzania Ni umri gani ukishatimiza katika maisha bila kufanya jambo lolote utaishiwa kuchekwa?

    Dunia inaenda kwa kasi mnoo na umri pia unaenda kwa kasi mnoo hivyo kuna jambo ningependa tushare pamoja Hivi ni umri gani ukishatimiza bila kufanya jambo lolote la kimaendeleo utaishiwa kuchekwa na walimwengu?
  11. JamiiForums Tanzania Elimu ya bure juu ya maisha

    ! MJINGA ! Mjinga akimaliza la saba anaanza biashara ya kuchoma mahindi halafu atauza miwa, atalima viazi huku akikatisha mkaa. Baada ya miaka miwili mitatu ivi atafungua duka la nguo atasafiri kwenda Dar kufunga mzigo.... Kila hela atakayopata ataitunza kwa nidhamu kuu. Wafanyabiashara...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

    Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amepata chanjo ya #COVID19 ya Astrazeneca alipokuwa nje ya nchi kibiashara Aidha amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan aharakishe mchakato wa Uchunguzi dhidi ya Corona ili hatua stahii zichukuliwe mapema na kuepusha vifo vinavyoweza kutokea...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  14. JamiiForums Tanzania Finally naanza upya maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni nina laki 8 tuu

    Nilikuwa ninakaa kwa baba mkubwa sasa nimeondoka nimerudi ktk maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni Nina laki 8 ambayo amenipa kama hela ya kuanzia maisha Na kuhusu hela ya kodi nashukuru kuna mwana JF amejitolea kunilipia chumba laki na 80 miezi sita chumba kipo Tabata mawenzi Hivyo naombeni...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kwanini vijana wengi siku hizi wamekuwa waoga wa kutafuta maisha?

    Kuna jambo ningependa kuwashirikisha wana JF wenzangu kumekuwa na tatizo vijana wengi kuogopa maisha. Inafika stage kijana wa kiume ana umri wa miaka 35, 30 au 40 bado anaogopa kujitegemea, anaogopa maisha. Je, tatizo ni nini?
  16. JamiiForums Tanzania CAG Assad Mungu ampe maisha marefu sana. Aliweka wazi kuwa Bunge ni dhaifu halafu kuna watu wakaja juu na kumuondoa

    Mh CAG Assad Mungu ampe maisha marefu sana,aliweka wazi kuwa bunge ni dhaifu halafu kuna watu wakaja juu na kumuondoa. Ule udhaifu aliousema ni huu uliotufikisha hapa leo. KATIBA imeweka wazi kazi ya bunge ni KUSIMAMIA na KUISHAURI serikali. Hii kazi ya KUSIFU tu wameitoa wapi? Tulijiuliza...
  17. JamiiForums Tanzania Sera za nchi zinabadilisha maisha ya mtu na kuamua kuhama nchi kama Darius Phillip

    Darius Philip alizaliwa Tanganyika, wazazi wake walivutiwa na utawalawa wa British East Africa Empire na kusikia Tanganyika kuna ardhi kubwa walihamia miaka ya 1940 na kufanya kilimo cha biashara. Philip alisoma Tanganyika na kumalizia elimu ya juu Uingereza alikosomea uchumi wa kilimo...
  18. JamiiForums Tanzania Mkakati wa kurahishisha maisha ya watoto: Nawezaje kufanya mtoto apate uraia wa Zanzibar?

    Sote tunajua Mzanzibari ni mtu mwenye nafasi kubwa sana nchi nzima ya kupata ahueni ya maisha. Tukianza kazi Wazanzibari walioelimika hata kidogo tu wakija kuomba kazi bara huwa wanapewa kipaumbele kikubwa kwasababu ya kuwa Wazanzibar. Ukija hata jeshini huku wazanzibar huwa wanapewa upendeleo...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha yamenishinda, vita imenishinda

    Nimepambana kwenye nyanja nyingi za kimaisha ila bado, nimeitafuta furaha kwa muda mrefu ila siku zangu za kuishi hapa duniani zimekuwa za mateso na maumivu, Matatizo yako ni yako, binadamu hawajali na hata hawatawaza hicho ndio kitu kikubwa nimekutana nacho, nimehangaika kwa kila namna...
  20. JamiiForums Tanzania Stress za maisha hazisababishi vidonda vya tumbo

    Kumekuwa na imani kuwa vidonda vya tumbo husababishwa kwa kiasi fulani na stress za maisha na msongo wa mawazo . Hili jambo si kweli. Stress zinazosababisha vidonda vya tumbo ni pyhsiological stress, hii ni stress inayotokea pale mwili unaposhindwa kufanya kazi vizuri. Mara nyingi hii hutokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…