Kutokula nyama si umasikini ni aina tu ya maisha unayoamua kuishi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1623184756981.png
Hiki chakula ni mchuzi wa njugu mawe, mtindi umekatiwa hoho juu, wali na mkate wa naan. Anaekula hivi si masikini bali ni maamuzi.

Kuna ambao kukosa nyama kwao ni dalili ya ufukara, si kweli.
 
kama mtanzania wa leo ana kipato cha elfu 7 kwa siku na bei ya nyama ni elfu 8 kwa kilo, basi asipo kula nyama ni sahihi yeye kujiona maskini
 
Back
Top Bottom