Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

Mimi nimekaa sana DSM nikahamia mkoani 2014 kiukweli sijuti kabisa!

Yan inatakuwa kampen kabambe ya kushawishi watu warudi mikoani kuna kuna sehemu zinafursa sana !! Kikukweli dar kuna upotezaji muda mkubwa sana ika watu hawajui
 
Mimi nimekaa sana Dsm nikahamia mkoani 2014 kiukweli sijuti kabisa!!!
Yan inatakuwa kampen kabambe ya kushawishi watu warudi mikoani kuna kuna sehemu zinafursa sana !! Kikukweli dar kuna upotezaji muda mkubwa sana ika watu hawajui
Sure mkuu nimekaa dar mwaka mzima ila nimeunga maisha hadi nimejiogopa, shuguli zenyewe za kipato hata laki 2 haifiki.
 
Dar wengi wanaishi kitumwa
Yaap unafanya kazi kwa mhindi mshahara laki 3 unaishi Goms (g/mboto) bunju, Mbagala au Mbezi unaamka saa 11 asbh kuwahi town kibaruani unatoka kibaruani saa 11 jioni unafika nyumbani choka mbaya njaa uchovu ukiangalia kwa siku umetumia nauli chakula maji jumla kama buku 7 unajikuta umekua mtumwa kazi haikulipi
 
Ukweli mchungu.
 
Yaap unafanya kazi kwa mhindi mshahneara laki 3 unaishi Goms (g/mboto) bunju, Mbagala au Mbezi unaamka saa 11 asbh kuwahi town kibaruani unatoka kibaruani saa 11 jioni unafika nyumbani choka mbaya njaa uchovu ukiangalia kwa siku umetumia nauli chakula maji jumla kama buku 7 unajikuta umekua mtumwa kazi haikulipi
Kuna watu munatumia kazi kama hiyo kuishi....mwenye focus kazi kama hiyo ni Fundrising Machine.
 
Back
Top Bottom