Jinsi ya kumpata mwanamke yeyote unayemtaka

Jinsi ya kumpata mwanamke yeyote unayemtaka

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,042
Kwanza omba namba zake halafu chat naye kikawaida. Kwa siku kaza usiongee naye kuhusu mapenzi wala nini, wewe chat naye au ongea naye kikawaida.

Baada ya hapo tafuta pesa halafu chukua, mfano umepata 50,000 chukua 15,000 au 25,000 mtumie bila yeye kuomba halafu kaa kimya.

Usichat naye wala kuongea naye chochote, wewe tulia kama hujui chochote tu. Siku nyingine ukipata tena unamtumia unatulia tena. Majibu utayapata tu baada ya muda mchache.

Siyo x tu, mwanamke yeyote unayemtaka wewe fanya hivyo tu, hakikisha awe anajua namba zako basi.

Utanishukuru.
 
Na hili tushalisema
JamiiForums885467715.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usioneshe kumtaka sana akikuomba usimpe hapo hapo mwambie subiri nikupambanie jioni ntakutumia hata kama unayo hapo, mwambie akutumie picha tumia ile picha kumsifia then mwombe appointment mtumie hela ya saloon anakuja chapa then pita ivi
 
Back
Top Bottom