mahusiano

  1. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulitarajia kabla hujaanza mahusiano?

    Wakati niko shule niliwaona watu (couples) wakiwa na furaha nyakati zote, kusaidiana nyakati zote. Nikajipa matumaini na kusema mapenzi matamu Nami nitainjoy soon. Mda ukafika kila niliyokuwa naye sikuwahi pata Yale niliotarajia nikiwa shule. Nilijua kwenye mapenzi kuna. •Utulivu •Furaha...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri gani ambao ulishawahi kupewa na Mzazi wako kuhusu mahusiano?

    Wakuu, Binafsi mimi wazazi wangu wote walishanipa ushauri japo ilikuwa kiutani Ila meseji ili delivery Kwa wakati tofauti, Father alishawahi nishauri mambo machache kuhusu mahusiano/wanawake 1. Katika kabila letu LA kaskazini kule kuna watu wa mahala fulani kaniambia nisioe huko hata kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mahusiano chuoni huwa kama 'drama'

    Utakuta wanachuo wanatembea kwa kufuatana kama kumbi kumbi; mwanaume hataki kumuacha mwanamke, na mwanamke naye hataki kumuacha mwanaume. Mmoja akienda maktaba, mwenzake anamfuata, hivyo hivyo hata kwenye magrupu ya 'discussion'. Ulikuwa ukiingia kwenye vyumba vyao, utakuta matunda, juisi, wine...
  4. JamiiForums Tanzania Nini suluhisho ya mahusiano yanakunyima amani ya moyo?

    Safari ya mahusiano huwa ni safari yenye mambo mengi kuna wakati mahusiano unaona ndio chombo kinachokupa amani ya moyo Na kuna wakati mahusiano unaona kabisa hayakupi furaha ya moyo mbaya zaidi mwenza anaku treat vizuli anakuheshimu anakupa upendo wote ila basi unaona ila tuu haya mahusiano...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi hawapendi marafiki zao kuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada zao ?

    Yani unakuta mtu anaona bora hata dada yake atoke na mtu asiemjua kabisa lakini linapokuja swala la rafiki yake ku date na dada yake hapo huwa pana utata?
  6. JamiiForums Tanzania Jiulize haya maswali unapokuwa kwenye mahusiano

    Fumba macho kwa dakika 10 hapo ulipo, kisha tafakari yafuatayo:- Ni nani atakuwa na wewe, bega kwa bega ukiwa gerezani? Ni nani atakuwa na wewe, ukiwa kwenye ugonjwa mahututi? Ni nani atakuwa na wewe, pale utakapopata ulemavu? Ni nani atakuwa na wewe, pale familia itakapofariki? Ni nani atakuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Usipokuwa makini na unywaji wa pombe maeneo ya starehe, unaweza kupata mahusiano yasiyokuwa na tija

    Kuna siku nilikuwa nimechoka sana, kutokana na changamoto za kidunia, nikaamua kwenda kiwanja na jamaa yangu kwa ajili kupiga kinywaji pamoja na kuosha osha macho kwa kuangalia watoto wazuri. Siku hiyo tulipiga pombe sana huku tukibembelezwa na ‘ live band’. Baada ya kukaa masaa kazaa, tukaona...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawapendi, bali wanatafuta 'sponsor' kwa kigezo cha mahusiano

    Nimepata uzoefu huu, kupitia mazingira mbalimbali ya kimahusiano. Kila niliyekuwa nakutana naye, awe ameajiriwa, amejiajiri, yuko chuo, au hana ajira; wote wanaomba fedha za matumizi pamoja na gharama za kuendesha maisha yao. Unaweza kushangaa mtu ameajiriwa au amejiajiri na ana kipato kizuri...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

    Wadau, Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa! Nilikuja kujuta...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema anarejesha mahusiano na nchi za Ulaya. Je, kukopa ndio njia bora ya kufanya hivyo?

    Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za Ulaya yalilega sana ila kwa sasa amejitahidi kuyarejesha. Observation yangu ndogo ya matendo...
  11. JamiiForums Tanzania Hatimaye ni miaka 7 na miezi 3 bila mahusiano

    Wakuu! Nimetimiza miaka ipatayo 7 na miezi mitatu bila mahusiano. Naikumbuka sana tarehe hii 21/9/2015 kiumbe yule aliponipiga pigo zito, hali ilopelekea kufunga rasmi kitabu cha mahusiano. Sidhani kama nitakuja kuwa sawa kwasababu lile pigo liliniathiri sana kisaikolojia. Ila, Mbususu...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa aina gani anafaa kuwa naye kwenye mahusiano?

    Habari JF Mimi ni kijana wa miaka 25 naishi morogoro na najitegemea nilikuwa naomba ushauri juu ya mwanamke wa aina gani naweza kuwa nae akanipa furaha na hata kufika malengo yetu. Ahsanteni sana 🙏
  13. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani huwafanya wanawake wengi walio katika ndoa kuendeleza mahusiano na ma-ex wao?

    Kuna wakati nawaonea huruma watu wanaoa na wenye mipango ya kuoa kama wanawake wenyewe kumbe wako hivi wakishaolewa na kupata mtoto au watoto wengi huanza harakati za kurudisha mahusiano yao na ex wake wa zamani. Kipindi cha nyuma nilikuwa nina amini wanawake wengi wakishaolewa huwa hubadilisha...
  14. JamiiForums Tanzania MAHUSIANO YA MBALI NA KERO ZAKE

    Wasalaam, bila shaka muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya usiku hapo kitandani. Bila shaka wengi wetu tuna mahusiano ya kimapenzi na watu ambao kutokana na mihangaiko ya maisha wamesambaa mikoa mbalimbali. Binafsi nnao kama watano ktk mikoa tofauti. Na kwa sasa nimeoa na kujaliwa watoto...
  15. JamiiForums Tanzania Je, marehemu Dr. Malecela alikuwa na mahusiano gani na Mange Kimambi?

    Wakuu habari za muda huu. Wakati wa nyuma kipindi cha hayati John Pombe, kulikua na vichwa viwili vilivyokua havikosi kuleteana maneno ya hapa na pale kwenye Instagram, yupo aliyempigania hayati na mwingine anaponda utawala wa hayati. Yupo Mange kimambi na mwenzake Le mutuzi mobimba, hawa watu...
  16. JamiiForums Tanzania Unapomtaarifu mwanamke kuwa mume wake ana mahusiano pembeni unamuharibu kisaikolojia

    Kuna dada mzuri nikisema mzuri ni mzuri kweli. Aliolewa na mume mwenye kipato cha kawaida na waliishi maisha ya kawaida. Nikimaanisha hakutumia usafiri wa wote mume wake alimnunulia gari, shopping ya nguo za kazini akifanyiwa. Kwakua alikua mzuri alipendeza sana. Sasa kuna mazee mafisi...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi mwanamke kuficha makucha kwenye mahusiano kabla ya ndoa inaweza ikawa mwisho miaka mingapi?

    Kuna Jamaa yangu alikuja kwangu kunipa taarifa kuwa ataoa muda si mrefu na akaniambia ameshamchunguza mwenza wake vya kutosha. Nikamuuliza kwani umemchunguza kwa muda gani jamaa anadai ni miezi 4 sasa nikapigwa na butwaa kidogo maana miezi minne tuu! Sasa jamaa akahamaki kweli akaniuliza kwani...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya mahusiano ya kufahamu kabla ya ndoa

    Habari za wakati huu nimepata kitu ningependa kushiriki nanyi wapendwa.. 1)Mahusiano ni magumu na kila uhusiano ni tofauti kikubwa fuata hisia zako tu. 2)Subiri umri sahihi ufike usichekewe sana wala usiwahi sana. Umri sahihi ni ule ambao unaona wewe unaweza kuhimili majukumu na changamoto za...
  19. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwafundisha vijana mahusiano yasiyo na hizi ngono zembe

    Swala la ngono hovyo katika jamii limefikia hali mbaya. Boss kulala na wafanyakazi wa chini yake, akiyewekeza kidogo hata kwa mradi wa chai anataka kulala na wauza chai wake. Huko serikalini ndiyo usiseme. Mbali na utandawazi ambao umechangia sana ngono zembe ni hali mbaya ya uchumi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Mahusiano yanataka kuniumiza akili

    Habari humu ndani? Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha JF Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni mwetu. Ipo hivi, nimekua kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana zaidi ya miaka 9 na huyu mwenzangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…