maharage

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stan john

    Nahitaji maharage ya njano kilo 100 nipo dar mabibo kwa bei ya jumla

    Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0788768480,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana dar es salaam
  2. DR HAYA LAND

    Kama ukila maharage unapata Matatizo ya tumbo kukaa Gas na kutoa ushuzi, Soma hapa

    Hwl Watu wengi wamekuwa wakipata Matatizo ya tumbo kujaa gas baada ya kula maharage na kujamba Sana. Fanya hivi hakikisha katika maharage yako unayaunga na kuweka Sukari kidogo, unaweka tangawizi na limao kwa kufanya hivyo utakula maharage bila kukuletea shida Asante.
  3. GENTAMYCINE

    Mhariri wa Gazeti la Majira umewaza nini hadi kuja na Kichwa cha hovyo hiki cha Habari leo?

    Rais Samia afikia rekodi ya Mwalimu Nyerere Yaani Mtu aliyeifanyia makubwa Tanzania na kuwa Statesman kwa miaka 23 leo hii anaweza Kufananishwa na Mtu aliyeingia tarehe 17 Machi, 2021 hadi leo tarehe 11 Oktoba, 2023? Media ya Tanzania ni kwanini mnapenda sana Kudanganya, Kujipendekeza na...
  4. sky soldier

    Makamba na Maharage Chande walikuwa wanafanya makusudi kuwe na mgawo? Mbona tangu wameondoka ni kama hakuna mgawo?

    Hatua kwa hatua mambo yameanza kuwa gado ndani ya muda mfupi, Sio nchi nzima ila baadhi ya maeneo tunaanza kuona umeme umeanza kuwa na nafuu, kata kata imepungua. Nina duka katika soko kubwa huwa namwacha binti wa kazi, ilikuwa ni kila siku asubuhi mpaka jioni umeme unakata, nikienda jioni ndio...
  5. Stuxnet

    Je, Postamasta wa Zamani Macris Mbodo atakuja kufanya kazi gani? Je, Mamlaka ya Uteuzi ilichemsha kumlinda Maharage?

    Yeye mwenyewe anatuambia kuwa POSTA MASTA aliyekuwapo anafanya kazi nzuri sana. Macris Mbodo ameifanya Tanzania Posts Corporation kuwa mbele kuliko mashirika ya Posta yaliyo mengi katika bara la Afrika. Na kwa kutambua hilo yuko masomoni kujinoa ili afanye vizuri zaidi. Huku nyuma anatuletea...
  6. Mwande na Mndewa

    Maharage Chande ni kioo chetu

    Nikiwa ndio nimeajiriwa NBC mwaka 2008 kuelekea 2009 kwenye mkutano mmoja NBC MD's road tour, nilimsikia mtu mmoja anahutubia anasema "Mtaimba sana Solidarity forever lakini mtabaki hapo hapo,Mimi nimeomba nafasi ya COO wa NBC nimeitwa kwenye interview nimekutana na makaburu tu hakuna Mtanzania...
  7. and 998 others

    Mheshimiwa Chande Maharage karibu Shirika la Posta

    Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu hapa Shirikani. Digitali kizazi sana! Tupo tayari
  8. Erythrocyte

    Kuuliza si Ujinga; Maharage Chande anafanya biashara gani na TTCL? Kwanini Biashara hiyo inafichwa?

    Tunauliza haya kwa uzuri tu, wala hatuna wivu wowote ule na kiongozi Mjasiriamali, na kwa vile Maharage ni Mtumishi wa Umma hatuamini kama ni makosa kujua taarifa zake. Mimi mwenyewe ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa pia, kwahiyo si ajabu mtu mwingine kufanya biashara. Bali kikubwa ni biashara...
  9. MSAGA SUMU

    Maharage: Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta

    Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta. Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo. "Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi...
  10. Roving Journalist

    Rais Samia: Maharage ana biashara ndani ya TTCL ndio maana nimemtoa

    https://www.youtube.com/watch?v=JHMCidEdAKY === Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo. "Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae...
  11. stan john

    Maharage ya kyela

    Hii aina gani gani ya maharage na yanafanya vizuri sokoni dar Nimenunua kutoka kyela
  12. figganigga

    Kama MDDU Unit ya TANESCO ni Mali ya Maharage, Basi astaafishwe kwa manufaa ya Umma

    Pale TANESCO kuna tatizo, wafanyakazi wameshajikatia tamaa sababu wanaona Ofisi ya Umma imekuwa Ofisi ya Upigaji kwa Viongozi wa juu. Maharage alipo pelekwa pale TANESCO, alianzisha mfumo wake wa kupiga hela, akaanzisha Managing Director delivery unit - MDDU. Akaweka watu wake, halafu...
  13. Msanii

    Maharage Chande kutoka Ukurugenzi TANESCO hadi Postamasta - amepanda au ameshuka?

    Umofia kwenu Uteuzi uliofanywa na Rais Samia kwa kumtoa Maharage Chande TANESCO na kumpeleka kuwa Mkurugenzi TTCL na hatimaye ndani ya siku mbili akamteua kuwa PostaMasta inaleta tafakuri jadidifu kidogo. Sisi wanaNzengo tunaweza kuwa na maswali yanayosumbua bongo zetu Cheo cha Postamsta kina...
  14. Boss la DP World

    Maharage Chande: Mtanzania Aliyeongoza Taasisi 3 Nyeti ndani ya saa 96

    Ikumbukwe kuwa aliteuliwa mnamo 25/09/2021 kuwa mkurugenzi mkuu wa TANESCO Na ndani ya saa 96 zilizopita ndugu Maharage Chande ameongoza taasisi 3 nyeti. 1. TANESCO 22/09/2023 (cheo cha awali) 2. TTCL 23/09/2023 (cheo kipya) 3. TPC 25/09/2023 (cheo kipya kabisa) Nahisi ana kitu unique sana...
  15. nyboma

    UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo: Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF). Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja...
  16. K

    Kati ya Waziri January Makamba na Rais Samia, nani alimteua Maharage kuwa Mkurugenzi Tanesco?

    Salam wakuu. Naomba kwanza kupandisha clip ya January Makamba akiwa Waziri wa Nishati na pia kuweka barua ya Ikulu ya teuzi. Baada ya kumsikiliza January Makamba na kurejea barua ya Ikulu, je ni nani haswa alihusika na anahusika na hizi teuzi zinazotangazwa kutoka Ikulu? Kwa sasa tumeona...
  17. stan john

    Msaada: Debe la maharage ya njano Mbeya ni bei gani?

    Debe la maharage ya njano sh ngapi mkoa wa Mbeya?
  18. figganigga

    Wafanyakazi wa TANESCO wagoma kutoa asante kwa Maharage kwa Utumishi ukiotukuka

    Baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO wamepinga graphics zinazosambaa za kumpongeza Maharage na mwenyekiti wa Bodi. Wanahoji hizo pongezi wamezitoa wakiwa wapi? Imedaiwa ni kikundi cha watu kimeshinikiza watu wakae na kutoka ASANTE na Shukurani. Hizo Pongezi za Mkurugenzi mpya tumezitoa wapi hata...
  19. Idugunde

    Watu wa Dar hivi supu ya maharage inakata Hangover? Au ndio kufosi mambo kwa sababu ya ugumu wa mambo?

    Vijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage. Unakuta watu wa Dar wanakatakata chapati na kuchanganya na maharage nao wanaona wanapata supu kukata hangover Mbona sisi huku Igunga ni mwendo wa supu ya kuku, mbuzi n.k Dar mbona kila kitu tabu?
  20. Dr Akili

    Hii ndiyo mipango na maneno ya mwisho ya January na Maharage. Jee yataendelea kuwa na mashiko?

    1. Mwaka jana walituambia kwamba uzalishaji wa umeme nchini umefikia 1,872 MW, wa gesi ukiwa 1,350 MW sawa na asilimia 65% na ule wa maji ukiwa 450 MW sawa na asilimia 35%. Umeme wa maji hasa unazalishwa kutoka kwenye mabwawa ya Kidatu (200MW), Kihansi (180MW) na Mtera (70MW). Tuliambiwa...
Back
Top Bottom